Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Hahahah ndomana nasema ngoja siku ujitele
Yakukute mzee ntacheka sana

Ova
Hahahahah huwa type zangu ni hustlers wenzangu ama wenye paychecks! Huyo tukiingia penzini najua inakuwa for real ila sio hawa sedentary chicks.

Sipendi niwe na mwanamke ambaye najua yupo na mimi sababu nampa hela yani dah inanimalizaga sana.
 
Yani kama wewe umeshindwa kujihudumia mwili wako, unadhani yupo atakayeweza kukuhudumia? Weak mentality ndio zinasema "nataka kuolewa ili nipumzike"!
Nimekuuliza unataka kusaidiwa majukumu yako na mwanamke wewe unaweza kumsaidia yake?
 
Hoja yangu umeielewa au umerukia tu mkuu? Nasemea mtu ambaye ameshindwa hata kuhudumia mwili wake, anatafuta relief kwa kuingia kwenye ndoa. Yaani huwezi kuhudumia mwili wako tu unaomba Mungu apatikane wa kukuhudumia ili wewe upumzike. Ukiingia mwenye ndoa na mentality ya namna hiyo huna faida yoyote.

Ndoa ni kusaidiana, mume afanye majukumu yake na mke afanye yake, sio mmoja aingie ile apumzike.
 
Kama huwezi kuhudumia familia yako unategemea mkeo wewe sio Mwanaume.
Sijaandika mwanaume amtegemee mwanamke acha kutumia hard feelings zinafanya utoke kwenye reli issue ni kama ninyi mmeamua kugeuza mapenzi kuwa pesa basi saidieni wenzenu kuzitafuta maana penzi halijengwi na mmoja. Yaani unapenda pesa alafu hujui kuzitafuta we una akili timamu kweli? Yaani unataka uletewe tu uzitumie? Huoni Kuna mmoja anakandamizwa hapo?
 
Mwanamke kupenda pesa ya mumewe hilo haliepukiki so hata akiwa na zake lazima atumie zako.hapo pakuletewa na kutumia kama unaona anafaidi na we we kuwa mwanamke usikandamizwe.ndomama kizazi cha sasa kimejaa mashoga kisa kukwepa majukumu.
 
Hoja yangu umeielewa au umerukia tu mkuu? Nasemea mtu ambaye ameshindwa hata kuhudumia mwili wake, anatafuta relief kwa kuingia kwenye ndoa. Yaani huwezi kuhudumia mwili wako tu unaomba Mungu apatikane wa kukuhudumia ili wewe upumzike. Ukiingia mwenye ndoa na mentality ya namna hiyo huna faida yoyote.

Ndoa ni kusaidiana, mume afanye majukumu yake na mke afanye yake, sio mmoja aingie ile apumzike.
Unataka akusaidie nini mfano?
 
Back
Top Bottom