Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

"Ukiona wapo kimya ujue ishu husika inawanufaisha. Women are very selfish creatures"

💯🤝
 
Mkuu maisha ni changamoto na mwanaume kaumbiwa kupambana na changamoto kama unaogopa changamoto ni bora ukakubali kuhemewa kisogoni
 
Tatizo lako wewe na wapinga ndoa mnashinda na wanawake, kamwe mwanaume aliyekamilika hawez mlalamikia mwanaume sababu hashindani naye
Acheni ujinga wa kumshambulia mtu badala ya kushambulia hoja. Mtoa mada kasema kwanini kampeni ya kataa ndoa ina mantiki kwa kuangazia suala la sheria. Mambo kama mali zigawanywe wakati aliezitafuta ni mwanaume, mwanamke anaweza kuchukua mkopo kwa jina la mumewe n.k ni unyonyaji njoo na hoja kuonesha izo sheria ni sawa. Shambulia hoja usimshambulie mtoa hoja
 
"Aliyesema ndoa ndoano, hivi huyu mjinga ni nani;
Kafanya nivue samaki kwenye bahari yenye sunami;"

Maneno ya Stamina hayo......
 
Siku nikipata anayefaa kuolewa nitaoa

ila hiki kizazi cha feminist sio kwaajili ya ndoa ni kwaajili ya matumizi madogomadogo

by the way ndoa ni muhimu kwa mustakabali wa kizazi bora

Hawa feminist wanawaharibia sana wenzao

NDOA NI MUHIMU ILA SIO LAZIMA
 
Unapinga ndoa then unapromote nini? Ushoga au unapinga ndoa na huna suluhu yake?

Kweli ndoa sio kwa kila mtu lakini usije na mabango yako hapa kupinga kusudi la Mungu, unataka tuwe na kizazi gani kisicho na wazazi wote wa kuwalea?
Hujamuelewa mtoa mada

Dhumuni la mtoa mada limejikita kwenye sheria za kisasa ambazo zinamkandamiza zaidi mwanaume

Kama ndoa ni kusudio la Mungu ebu angalia mazingira ya ndoa zile tunazosoma kwenye vitabu vya dini na sheria zake, ndio hizi ambazo zipo sasa?

Point ya mleta mada ipo hapo
 
Moja; kwa mtoto stability inakuwepo kama watu wakiwa paired na offsprings wakija wakiwa na wasaidizi wawili ni bora kuliko mmoja hususan zama za kale ambapo mwanaume alikuwa mtafutaji na mwanamke mama wa nyumbani muangalizi wa hao watoto

Mbili kwa Taifa inasaidia watu wakiwa wana majukumu inawafanya waendelee ku-toil (have something to loose)

Tatu; kila mtu na utashi wake kumlazimisha fulani afanye hiki au wewe kufanya kile sababu jamii itakuona vipi au itakuchukulia vipi au kufanya kama fashion ni upuuzi ambao mwisho wa siku inapelekea watu badala ya kuwa na furaha wanakuwa kama wafungwa... Mwisho wa siku inakuwa hatari kwa mama / baba na watoto as well as taifa kwa ujumla..

To each his /her own...
 
Ndoa ni kwa wanaume maskini. Ukiwa na hela wala hujisumbui na mambk ya ndoa. Wanawake wanjilengesha wenyewe tuu. Wee ni kabamiza bamiza tuu mbususu zao.
 
Mwisho wa siku tukubaliane tu kuwa

NDOA SIO LAZIMA

Hata kwenye vitabu vitakatifu Mungu hakusema lazima mwanaume aoe au
mwanamke aolewe

Kila mtu aheshimu uamuzi wa mwenzake mambo ya kuitana mashoga sio vizuri bana mbona tunawachapia wake zenu tumetulia tu
 
Mpumbavu wewe. Uko busy kuzuia ndoa ili kuhamasisha ndoa za jinsia moja. Una akili timamu?

Kama ndoa imekushinda ni wewe. Pambana na hali yako. Acha wanaofaidi ndoa zao wafaidi. Kwanini uwakataze?
 
Watu mmevulugwa. Tatizo mlipenda misambwanda badala ya kupenda wanawake.

Tuliwashauri mkasema Bora shape tabia mtavumiliana sasa mbona mnazikimbia Ndoa?
[emoji2][emoji3] Mkuu me sijaoa, na wala sijawahi kupita kwenye ndoa,,, tena bado kijana mdogo sana ila nilichoandika nina-experience nacho kutoka kwa kaya nyingi tu.
 

Sheria ya ndoa inaboreshwa na Mwanume Nyumbani kwake.
 
Tatizo mkitemana anaondoka na jasho lako jingi labda iwe hujawekeza sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…