dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,901
- 58,103
he is one smart son of a gun on the planetTena ukute CR7 ana enjoy mahusiano yake kuliko hata hao walioahidiana kifo kiwatenganishe
Ndoa haisolve hayo uliorodhesha...Kampeni ya kataa ndoa ina malengo yafuatayo mbadala wa ndoa unaleta vitu vifuatavyo
- Kuhimiza watu kununua malaya kama hutakua na mahusiano ya kudumu ya mwanamke ni ngumu sana kuepukana na hii tabia
- Kuhimiza mustarbation
- Kuhimiza kusagana
- Kuhimiza ushoga
- Kuhimiza biashara ya umalaya kama mtoto anazaliwa anajua baba au mama anabadilisha partner kila siku nayeye pia atafuata hizo nyendo
Asap Rocky kamtandika Rihanna mimba nyingine na muhuni hataki kabisa kusikia habari za kufunga ndoaTena ukute CR7 ana enjoy mahusiano yake kuliko hata hao walioahidiana kifo kiwatenganishe
MkuuMnaopinga ndoa ni dhaifu, waoga wa changamoto, mmeoa au mnadate vimeo...
Hii kampeni ilianza utani utani, ila naona inashika kasi sasa, hata kama umeoa unaanza kuwaza faida na hasara za ndoa yako.
Kuna mtu humu amesema kama cheti kingekuwa kinatolewa miezi kadhaa baada ya ndoa basi %kubwa ya vyeti hivyo vingetelekezwa vinakotolewaWaliopo nje wanatamani kuingia na walipo ndani wanatamani kutoka.
Hii ndio taasisi ya NDOA.
Na rihanna ni bilionea...Asap Rocky kamtandika Rihanna mimba nyingine na muhuni hataki kabisa kusikia habari za kufunga ndoa
Sasa nyie mtakuwa kama CR7😂😂😂CR7 hana ndoa, Aliko Dangote hana ndoa, Elon hana ndoa, Bezo hana ndoa, Gates hana ndoa, DiCaprio hana ndoa, Platinumz, etc
wewe mchimba chumvi wa Kisewe ndiyo wa kuona umuhimu wa ndoa(Wizi)
Yaan mie kila siku kuna swali najiuliza sipati jibu.Mimi nipo kwenye ndoa na ninapambana bila kuchoka nichomoke kwenye ndoa kutokana na mambo ya ndani ya ndoa yalivyo.
Nilikuwa kimya nasoma maoni ya wanaokataa ndoa na wanaoipa chapuo ndoa.
Hoja yangu imebase kwenye mantiki zolizowekwa na sheria. Sheria ya ndoa ya Tanzania inapeleka hasara kubwa kwa wanaume na kumfaidisha sana mwanamke.
KUna vitu vingi havijakaa sawa kwenye ndoa ambavyo vinawasababisha vijana kuwa bold and clear kukataa ndoa.
- Sheria ya ndoa inamtaka mwanaume kumtunza mke wakati wote wawapo kwenye ndoa
- Sheria ya ndoa inammilikisha mwanamke mali za mwanaume za ndani ya ndoa. Hapa maana yake jasho la mwanaume linagawanywa kuwa jasho la wanandoa wote wakati wa ndoa
- Endapo wakaamua kutalikiana, mwanaume hupewa gawio lisiloakisi jasho lake na mwanamke hupata gawiwo zaidi ya jasho lake.
- Sheria ya ndoa haimpi jukumu mwanamke ndani ya ndoa bali majukumu.yote anapewa.mwanamume
Tuzungumze maboresho ya sheria ya ndoa ndipo vijana waanze kurejea ndoani.
Mie.mwenyewe nataka leo kesho.kutemana na mwanandoa mwenzangu..
Hebu imagine mkuu, na mtoto mzuri yule RiRi kutoka visiwa vya Barbados. Lakini mwanetu naye ni KATAA NDOA NDOA NI UTAPELI
dah, ila huyu fala anakojolea pazuri mno, yaani mno,Asap Rocky kamtandika Rihanna
[emoji2] Alikuambia?Asap Rocky kamtandika Rihanna mimba nyingine na muhuni hataki kabisa kusikia habari za kufunga ndoa
Unapinga ndoa then unapromote nini? Ushoga au unapinga ndoa na huna suluhu yake?
Kweli ndoa sio kwa kila mtu lakini usije na mabango yako hapa kupinga kusudi la Mungu, unataka tuwe na kizazi gani kisicho na wazazi wote wa kuwalea?
Pale ni kumwagia ndani tu halafu rounds kama zote. We si umeona miezi 8 tu imepita jamaa kamwagia tena ndani hadi kibendidah, ila huyu fala anakojolea pazuri mno, yaani mno,
kwa Rihanna hata ukojoe mara ngapi, kutembelea RIM ni kamwe
sishangai jamaa anamwagia ndani tu
Ndoa sio mpngo wa Mungu hata kidgo , utakua ni mpngo wa kizembe sna kama ni mpngo wa Mungu , mpngo gani anashindwa ku update kulingana na kizazi husika?Ndoa ni wito. Kupinga ndoa ni mpango shetani.. ili aje aintroduce ndoa zake za kishetani shetani.. kupinga ndoa ni kumpinga Mungu na mapenzi yake ya ndoa kwa mwanadamu na makusudi anayotaka yapitisha kupitia ndoa
Ndoa nzuri hawaziletagi humu. Kuna mtu siku alianzisha uzi anamsifia mke wake, ndoa yake kiujumla ni nzuri anaifurahia heee kuna genge lilivamia ooh subiri mkae miaka 20 ndio uje useme ndoa nzuri [emoji23] nikasema kwa hizi akili ni haki yao kukataa ndoa.Bora umeongea ukweli hata wanawake somtym tunaaminishna hivo ni ujinga
Alafu Kuna watu wanaenjoy ndoa mbona hawawatolei mifano
jamaa anafaidi sana wallahi, Rihanna aniambie tu, niwe natumia ulimi badala ya mb<><> kumgegeda, mimi ni nani nikatae ?Pale ni kumwagia ndani tu halafu rounds kama zote. We si umeona miezi 8 tu imepita jamaa kamwagia tena ndani hadi kibendi
Shida yenu ndo hiyo ubishi tu ndio maana ndoa zinawashinda 🤣🤣🤣