Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Kampeni ya kataa ndoa ina malengo yafuatayo mbadala wa ndoa unaleta vitu vifuatavyo
  • Kuhimiza watu kununua malaya kama hutakua na mahusiano ya kudumu ya mwanamke ni ngumu sana kuepukana na hii tabia
  • Kuhimiza mustarbation
  • Kuhimiza kusagana
  • Kuhimiza ushoga
  • Kuhimiza biashara ya umalaya kama mtoto anazaliwa anajua baba au mama anabadilisha partner kila siku nayeye pia atafuata hizo nyendo
Ndoa haisolve hayo uliorodhesha...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnaopinga ndoa ni dhaifu, waoga wa changamoto, mmeoa au mnadate vimeo...
Mkuu

Well said

Kukwama watu wanakwama kwenye malengo ya ndoa. Shida kubwa ya zama hizi vimeo ndio fungu kubwa pande zote.

Hivyo, umakini kwenye malengo ni mbinu sahihi maana ndoa kama ndoa sio issue.
 
Hii kampeni ilianza utani utani, ila naona inashika kasi sasa, hata kama umeoa unaanza kuwaza faida na hasara za ndoa yako.

Ndoa iliharibika pale ambapo sheria za keserikali zote kwa pamoja ziliamua kuegemea upande mmoja wa ndoa(kikeni). Msingi mkubwa wa wanaume kukataa ndoa ni kuopa kutapeliwa nguvu na mafanikio yao ambayo wanatumia nguvu kubwa sana kuyafanikisha.

Kila mwenye akili timamu ambaye hajashikwa na hisia za kijingakijinga za kimapenzi za huyo aliyenae kwenye mahusiano akikaa akalichunguza hilo ni lazima akubali.

Vijana wameamua kuikataa ndoa kwa nguvu zote bila kupepesa macho, leo hii kwenye hii miji mikubwa unaweza kukaa hata miezi sita bila kuona shamrashamra za ndoa mabarabarani kama ilivyokuwa zamani, Makanisani na misikitini hakuna matangazo ya ndoa. Sio kwamba zimekuwa siri, ni kwamba ndoa hazifungwi na watu hawana muda nazo kabisa.

Ndiomaana wanasheria wa nchi jirani (Kenya) kwakutambua ubovu wa sheria ya ndoa juu ya mgawanyo wa mali na majukumu wameamua kuibadilisha ili kunusuru kizazi chao dhidi ya hili baa lililoibuka la vijana wa kiume kukataa ndoa.

HII ISSUE ILIANZA KIUTANI ILA SASA IMESHIKA KASI.
 
Waliopo nje wanatamani kuingia na walipo ndani wanatamani kutoka.
Hii ndio taasisi ya NDOA.
Kuna mtu humu amesema kama cheti kingekuwa kinatolewa miezi kadhaa baada ya ndoa basi %kubwa ya vyeti hivyo vingetelekezwa vinakotolewa
 
Mimi nipo kwenye ndoa na ninapambana bila kuchoka nichomoke kwenye ndoa kutokana na mambo ya ndani ya ndoa yalivyo.

Nilikuwa kimya nasoma maoni ya wanaokataa ndoa na wanaoipa chapuo ndoa.

Hoja yangu imebase kwenye mantiki zolizowekwa na sheria. Sheria ya ndoa ya Tanzania inapeleka hasara kubwa kwa wanaume na kumfaidisha sana mwanamke.

  1. Sheria ya ndoa inamtaka mwanaume kumtunza mke wakati wote wawapo kwenye ndoa
  2. Sheria ya ndoa inammilikisha mwanamke mali za mwanaume za ndani ya ndoa. Hapa maana yake jasho la mwanaume linagawanywa kuwa jasho la wanandoa wote wakati wa ndoa
  3. Endapo wakaamua kutalikiana, mwanaume hupewa gawio lisiloakisi jasho lake na mwanamke hupata gawiwo zaidi ya jasho lake.
  4. Sheria ya ndoa haimpi jukumu mwanamke ndani ya ndoa bali majukumu.yote anapewa.mwanamume
KUna vitu vingi havijakaa sawa kwenye ndoa ambavyo vinawasababisha vijana kuwa bold and clear kukataa ndoa.


Tuzungumze maboresho ya sheria ya ndoa ndipo vijana waanze kurejea ndoani.

Mie.mwenyewe nataka leo kesho.kutemana na mwanandoa mwenzangu..
Yaan mie kila siku kuna swali najiuliza sipati jibu.

Unajua chanzo cha haya matatizo ni sheria mbovu, na majority ya viongozi wakubwa toka tupate uhuru ni wanaume, sasa kwa nn hizo sheria hazirekebishwi? Au hii ni agenda ya vikundi fln vya watu kama WEF ambavyo vinataka kufanya dunia iende wanavyotaka wao kwa kuwapa mid range power wanawake(weak), top power wakae nayo wao ili baadae maamuzi yao yasije kupingwa?
 
Unapinga ndoa then unapromote nini? Ushoga au unapinga ndoa na huna suluhu yake?

Kweli ndoa sio kwa kila mtu lakini usije na mabango yako hapa kupinga kusudi la Mungu, unataka tuwe na kizazi gani kisicho na wazazi wote wa kuwalea?

Sidhani kama itakuwa sawa kusema kuwa kila anaekataa ndoa basi anapigia chapuo ushoga vinginevyo tutakuona ni punguani, kwasababu nina uhakika kinacho jadiliwa hapa ni mkataba wa kindoa ambayo imekuwa ya kinyonyaji kwa jinsia ME na si swala la MWANAUME kujamiiana na mwanamke. Hizo hoja za ushoga umezitoa wapi??


Ndoa iliacha kuwa mpango wa Mungu baada ya kuingiliwa na akili za kibinadamu kwa kuingiza sheria ambazo kila zikifikiria kimantiki hazileti maana. Watu hawawezi kukaa kimya kudajili maswala ya kijinga(sheria za ndoa) yanayoingizwa kwenye ndoa, kwa kisingizo cha "ni mpango wa Mungu" , Mungu gani aliagiza haya tunayoyaona kwenye sheria za ndoa??

Mimi nadhani suluhu ni kuzerekebisha hizo sheria kama jinsi walivyofanya wenzetu wa KENYA.
 
dah, ila huyu fala anakojolea pazuri mno, yaani mno,
kwa Rihanna hata ukojoe mara ngapi, kutembelea RIM ni kamwe
sishangai jamaa anamwagia ndani tu
Pale ni kumwagia ndani tu halafu rounds kama zote. We si umeona miezi 8 tu imepita jamaa kamwagia tena ndani hadi kibendi
 
Ndoa ni wito. Kupinga ndoa ni mpango shetani.. ili aje aintroduce ndoa zake za kishetani shetani.. kupinga ndoa ni kumpinga Mungu na mapenzi yake ya ndoa kwa mwanadamu na makusudi anayotaka yapitisha kupitia ndoa
Ndoa sio mpngo wa Mungu hata kidgo , utakua ni mpngo wa kizembe sna kama ni mpngo wa Mungu , mpngo gani anashindwa ku update kulingana na kizazi husika?
 
Bora umeongea ukweli hata wanawake somtym tunaaminishna hivo ni ujinga
Alafu Kuna watu wanaenjoy ndoa mbona hawawatolei mifano
Ndoa nzuri hawaziletagi humu. Kuna mtu siku alianzisha uzi anamsifia mke wake, ndoa yake kiujumla ni nzuri anaifurahia heee kuna genge lilivamia ooh subiri mkae miaka 20 ndio uje useme ndoa nzuri [emoji23] nikasema kwa hizi akili ni haki yao kukataa ndoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pale ni kumwagia ndani tu halafu rounds kama zote. We si umeona miezi 8 tu imepita jamaa kamwagia tena ndani hadi kibendi
jamaa anafaidi sana wallahi, Rihanna aniambie tu, niwe natumia ulimi badala ya mb<><> kumgegeda, mimi ni nani nikatae ?

kuna clip yake aki make out na yule tajiri mwarabu kwenye pool , daah, jamaa anakula lita za Rihanna beseni zima huku akishikashika makalio, ile clip niliipiga nyeto sana, yaani sana qmmmq
 
Back
Top Bottom