Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Kwa hiyo solution ni kukataa ndoa au kuongea na mamlaka husika juu ya maboresho ya baadhi ya sheria za ndoa!
 
Mzee nakuheshimu jiheshimu, sio kila unaemuona humu JF ni saizi yako kumsemea vile unavyojisikia kumsemea wewe jitunzie heshima yako, niheshimu nikuheshimu usivuke mipaka kumdandia kila mtu usiemjua utakuja kuumia vibaya
Nasubiria uniumize na kamwe siumwizi na mtetezi wa mashoga
 
Huyo Kelsea mwenyewe hajaolewa hapo alilpo anasubiri ampate mwenye mihela aolewe naye wakizinguana waende mahakamani ale chake maisha mbele

[emoji23][emoji23] Sijaolewa ndio, Mungu akinijaalia nitaolewa na nitakualika. Alafu niombee ndoa ya kheri mambo ya kuzinguana sijui kugawana mali mmeyakariri sana mbona ndoa nzuri hamzizungumzii?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanni ke wait hawakatai zaidi n me tu ndio wanakataa ndoa? Je wanawake nyie mna maoni gani? Na nyie mnakataa au mnahitaji ndoa mbona hakuna anawunga mkono?
Wahanga ni sisi me
 
Nadhani hatujaelewana mkuu,
Ukipinga kitu kuja na solutions ili uisaidie jamii, ukipinga kitu bila kuleta namna ya kukitatua unaongeza tatizo tu.

Sasa una ndoa na imekushinda, unakuja na bango la kila mtu akatae ndoa kisa kwako imekuwa mtihani? Unaona ni sawa mkuu?
 
Hauhitaji solution kama hamna tatizo...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani Mkuu we unasomaje?

Mbona mdau ameeleza hapo kuwa tatizo ni "sheria" maana yake kwa upande wake hicho kitu kikiwa fixed hutaona ana complain kuhusu ndoa
 
Mkuu wakataa ndoa tupo makundi mawili kuna wakuteleza na kutembea na kuna wakuishi na mama kwa mda fulani bila pingu za aina yoyote wote hawa wanakataa ndoa na kuepuka single mother
 
[emoji23][emoji23] sijaolewa ndio Mungu akinijaaliwa nitaolewa na nitakualika. Alafu niombee ndoa ya kheri mambo ya kuzinguana sijui kugawana mali mmeyakariri sana mbona ndoa nzuri hamzizungumzii?

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo mnaingia kwenye ndoa mkiwa na hiyo mindset likitokea la kutokea utasikia kama umenichoka niache


πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Kwenye mpunga nisikosekane aisee nataka tena niwe meza ya kikeni kabisa nishuhudie tukio. Mungu mkubwa kila jambo na wakati wake
 
Nasubiria uniumize na kamwe siumwizi na mtetezi wa mashoga
Huko ndio mnapokimbilia mkikosa hoja, kiufupi huna hoja na haujui kuitetea hoja ulichobakiza ni matusi, kejeli na kebehi Ila kichwani ni mtupu haujui chochote kuhusu Ndoa, Cheti cha Ndoa na Sheria ya Ndoa, haujui chochote kwanini watu wanailalamikia Sheria Mbovu ya Ndoa ndio maana unamuona kila anaepinga Ndoa ni km mtetea watu wanaofanya mapenzi mapenzi ya jinsia moja yaani mashoga na wasagaji Ila ungekuja na hoja ya kutetea watu waendelee kufunga Ndoa ningekuona una akili kinyume na hapo nakuona PUNGUANI tu EMPTY HEAD huna cha kuniambia

KATAA NDOA
KATAA CHETI CHA NDOA
NDOA NI UTAPELI
SHERIA YA NDOA NI MBOVU
 
Kama hakuna hiyo kampeni mbona kampeni ya 50/ 50 imenasa dunia toa nchi kma Iran [emoji1130] na Afghanistan [emoji1023] na kwa nini mnaogopa tusishauri viumbe wngne wakati kila sku nyuzi za kulalamika mara mke wa ndoa kafanya hiv mara vile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…