Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Wanake wanaposikia vijana hawataki ndoa wanapinga ndoa, huja na kejeli na matusi eti ni mashoga utasikia upinde wa mvua., ila kimsingi vijana wana hoja.

Binafsi niko kwenye ndoa na namshukuru Mungu sipitii changamoto huenda kwasababu nilioa kitambo kidogo ila hata ningekua mimi kwa nyakati hizi za 50/50, haki sawa na haya mafeminist hakika mimi pia ningepinga ndoa.
Kwa hiyo solution ni kukataa ndoa au kuongea na mamlaka husika juu ya maboresho ya baadhi ya sheria za ndoa!
 
Mzee nakuheshimu jiheshimu, sio kila unaemuona humu JF ni saizi yako kumsemea vile unavyojisikia kumsemea wewe jitunzie heshima yako, niheshimu nikuheshimu usivuke mipaka kumdandia kila mtu usiemjua utakuja kuumia vibaya
Nasubiria uniumize na kamwe siumwizi na mtetezi wa mashoga
 
Huyo Kelsea mwenyewe hajaolewa hapo alilpo anasubiri ampate mwenye mihela aolewe naye wakizinguana waende mahakamani ale chake maisha mbele

[emoji23][emoji23] Sijaolewa ndio, Mungu akinijaalia nitaolewa na nitakualika. Alafu niombee ndoa ya kheri mambo ya kuzinguana sijui kugawana mali mmeyakariri sana mbona ndoa nzuri hamzizungumzii?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inategemea na wewe ulivyochagua maisha yako kuyaishi

Kama yeye kipaumbele chake ni furaha basi lazima aangalie namna anayoweza kuipata furaha

Furaha ina define vitu vingi, ikiwemo hata nafasi ya kuishi miaka mingi.

Pengine kabla hajaoa alikuwa akiwaza maslisha ya ndoa yatamuongezea furaha zaidi

Sasa kama anaona maisha ya ndoa yanamletea stress kuliko alivyokuwa akiishi awali wakati hajaoa, si lazima afanye maamuzi anayoona kwake ni sahihi?
Nadhani hatujaelewana mkuu,
Ukipinga kitu kuja na solutions ili uisaidie jamii, ukipinga kitu bila kuleta namna ya kukitatua unaongeza tatizo tu.

Sasa una ndoa na imekushinda, unakuja na bango la kila mtu akatae ndoa kisa kwako imekuwa mtihani? Unaona ni sawa mkuu?
 
Nadhani hatujaelewana mkuu,
Ukipinga kitu kuja na solutions ili uisaidie jamii, ukipinga kitu bila kuleta namna ya kukitatua unaongeza tatizo tu.

Sasa una ndoa na imekushinda, unakuja na bango la kila mtu akatae ndoa kisa kwako imekuwa mtihani? Unaona ni sawa mkuu?
Hauhitaji solution kama hamna tatizo...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani hatujaelewana mkuu,
Ukipinga kitu kuja na solutions ili uisaidie jamii, ukipinga kitu bila kuleta namna ya kukitatua unaongeza tatizo tu.

Sasa una ndoa na imekushinda, unakuja na bango la kila mtu akatae ndoa kisa kwako imekuwa mtihani? Unaona ni sawa mkuu?
Kwani Mkuu we unasomaje?

Mbona mdau ameeleza hapo kuwa tatizo ni "sheria" maana yake kwa upande wake hicho kitu kikiwa fixed hutaona ana complain kuhusu ndoa
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Kwakwel mambo ni mengii..
[emoji91] Watu hawataki ndoa ila wanataka kuzaa na kuwa na watoto[emoji16]
[emoji91]alafu hawataki single mothers[emoji23][emoji23][emoji23],
[emoji91]wala kuwa na watu waliolelewa na single parent kwamba watakua na malezi mabaya[emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23]
[emoji91]wonders shall never end[emoji111]
Mkuu wakataa ndoa tupo makundi mawili kuna wakuteleza na kutembea na kuna wakuishi na mama kwa mda fulani bila pingu za aina yoyote wote hawa wanakataa ndoa na kuepuka single mother
 
[emoji23][emoji23] sijaolewa ndio Mungu akinijaaliwa nitaolewa na nitakualika. Alafu niombee ndoa ya kheri mambo ya kuzinguana sijui kugawana mali mmeyakariri sana mbona ndoa nzuri hamzizungumzii?

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo mnaingia kwenye ndoa mkiwa na hiyo mindset likitokea la kutokea utasikia kama umenichoka niache


😀😀😀 Kwenye mpunga nisikosekane aisee nataka tena niwe meza ya kikeni kabisa nishuhudie tukio. Mungu mkubwa kila jambo na wakati wake
 
Nasubiria uniumize na kamwe siumwizi na mtetezi wa mashoga
Huko ndio mnapokimbilia mkikosa hoja, kiufupi huna hoja na haujui kuitetea hoja ulichobakiza ni matusi, kejeli na kebehi Ila kichwani ni mtupu haujui chochote kuhusu Ndoa, Cheti cha Ndoa na Sheria ya Ndoa, haujui chochote kwanini watu wanailalamikia Sheria Mbovu ya Ndoa ndio maana unamuona kila anaepinga Ndoa ni km mtetea watu wanaofanya mapenzi mapenzi ya jinsia moja yaani mashoga na wasagaji Ila ungekuja na hoja ya kutetea watu waendelee kufunga Ndoa ningekuona una akili kinyume na hapo nakuona PUNGUANI tu EMPTY HEAD huna cha kuniambia

KATAA NDOA
KATAA CHETI CHA NDOA
NDOA NI UTAPELI
SHERIA YA NDOA NI MBOVU
 
Ndoa ni utapeli kwako, kwako ww unaouona huo utapeli. Ila kuna wengine ndoa ni baraka na wanaziona hizo baraka. Sasa la muhimu kuheshimiana maamuzi. Kama ambavyo inakera kushawishiwa uoe ndivyo inavyokera kushawishi watu wasioe. Kila mtu avune anachopanda.

Hatuwezi kufanana na HAKUNA KAMPENI INAYOWEZA KUFANIKISHA BINADAMU WAFANANE MAAMUZI.
Kama hakuna hiyo kampeni mbona kampeni ya 50/ 50 imenasa dunia toa nchi kma Iran [emoji1130] na Afghanistan [emoji1023] na kwa nini mnaogopa tusishauri viumbe wngne wakati kila sku nyuzi za kulalamika mara mke wa ndoa kafanya hiv mara vile
 
Back
Top Bottom