Kwa hiyo solution ni kukataa ndoa au kuongea na mamlaka husika juu ya maboresho ya baadhi ya sheria za ndoa!Wanake wanaposikia vijana hawataki ndoa wanapinga ndoa, huja na kejeli na matusi eti ni mashoga utasikia upinde wa mvua., ila kimsingi vijana wana hoja.
Binafsi niko kwenye ndoa na namshukuru Mungu sipitii changamoto huenda kwasababu nilioa kitambo kidogo ila hata ningekua mimi kwa nyakati hizi za 50/50, haki sawa na haya mafeminist hakika mimi pia ningepinga ndoa.