Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)


[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
WAKUU, KAMPENI YA KATAA NDOA PEKEE HAITOSHI,TUkATAE PIA KUHONGA. KAMPENI IWE KUKATAA NDOA NA KUHONGA
 
Soma mdogo mdogo.. utaelewa

Mafarisayo kadhaa walimjia, wakamwuliza kwa kumtega, “Je, ni halali mume kumpa talaka mkewe kwa kisa chochote?”
Yesu akawajibu, “Je, hamkusoma katika Maandiko Matakatifu kwamba Mungu aliyemuumba mtu tangu mwanzo alimfanya mwanamume na mwanamke, na akasema: ‘Kwa sababu hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake, ataungana na mke wake, nao wawili watakuwa mwili mmoja?’

Kwa hiyo, wao si wawili tena bali mwili mmoja. Basi, alichounganisha Mungu, binadamu asikitenganishe.”

Lakini wao wakamwuliza, “Kwa nini basi, Mose alituagiza mwanamke apewe hati ya talaka na kuachwa?”
Yesu akawajibu, “Mose aliwaruhusu kuwaacha wake zenu kwa sababu ya ugumu wa mioyo yenu.

Lakini haikuwa hivyo tangu mwanzo. Basi nawaambieni, yeyote atakayemwacha mke wake isipokuwa kwa sababu ya uzinzi, akaoa mke mwingine, anazini.”

Wanafunzi wake wakamwambia, “Ikiwa mambo ya mume na mkewe ni hivyo, ni afadhali kutooa kabisa.”
Yesu akawaambia, “Si wote wanaoweza kulipokea fundisho hili, isipokuwa tu wale waliojaliwa na Mungu.

Maana kuna sababu kadhaa za kutoweza kuoa: Wengine ni kwa sababu wamezaliwa hivyo, wengine kwa sababu wamefanywa hivyo na watu, na wengine wameamua kutooa kwa ajili ya ufalme wa mbinguni. Awezaye kulipokea fundisho hili na alipokee.”
Yesu anawabariki watoto wadogo
 
Kama hakuna hiyo kampeni mbona kampeni ya 50/ 50 imenasa dunia toa nchi kma Iran [emoji1130] na Afghanistan [emoji1023] na kwa nini mnaogopa tusishauri viumbe wngne wakati kila sku nyuzi za kulalamika mara mke wa ndoa kafanya hiv mara vile
Wewe unafanya kampeni kama zile za anza na jogoo wawili baada ya mwaka watakuwa 100. Usijifananishe na hao beijing. Angalau wao wanapigania maslahi binafsi na usidhani zinafanyika bure, kuna bajeti, hao wa iran wanapigania maslahi ya kisiasa. Wewe utapiga keleeee na watu wataoa tu bila kujali athari zinazokufanya upige kelele.

BY THE WAY BIASHARA YA UKUMBI WA SHEREHE INALIPA, WEKEZA HUKO.
 
Baba Paroko 😀😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…