Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Bado mchakato unaendelea. Tena kafika jana tu. Nishampa mwongozo hapa na leo jioni tutakutafuta mpwa. Tatizo ni huyo dkt maana anakaba mpaka penati. Juzi nikamwona anajibebisha kwako kisa eti ana mafua. Kwani wewe umegeuka hospitali? [emoji51][emoji51][emoji51]

Kama PM yako iko open sema nije nikutumie snaps zake leo umuone. Tunakutaka sana katika ukoo wetu mpwa [emoji91][emoji91][emoji91][emoji3590][emoji3590]
Sato anapenda kudeka sana mpwa😂
Mm nipo mpwa niletee mume huyo😀
 
Ogopa sana mwanamke anayekulazimisha kumuoa, anayekupigia kelele kila muda za eti tuoane tuoane, mpaka unioe n.k

Anadai kuwa mke mdogo huyo ndiye amani ya moyo wake. Mke huyo humpatia tabasamu la moyo. Anadai tatizo la mke mkubwa ni chuki, visa na minuno isiyo na miguu

Kaka mkubwa, unafahamu anayokufanyia mkeo mdogo?
Kama una tabia ya kukagua simu ya mwanamke uache mara moja, na hiyo miaka 50+ uliyonayo utakuja kufa kiholo kama mbuzi wa kafara

Kaka mkubwa, kabla hatujafahamiana, hata mimi nimewahi kumtongoza huyo mkeo, ila nilikuja kukimbia hilo balaa baada ya kugundua kuwa huyo mwanamke ana damu ya dudu ya kujaribu mikuyenge ya kila aina

Kaka mkubwa, pesa unazompatia za matumizi anazitumia kuandaa msosi kwa ajili ya kijana mmoja mrefu hivi, mweupe na mvaa mi ear phone nyeupe ndefu na vipensi visivyoistili vyema mironjo yake. Kwa mtazamo, huyo kijana anao. Kama anampeleka mkeo peku, basi jua tu ushauvaa

Bado ana ka kibenteni kengine keusi keusi hivi ambako kanamfanyia visa vya hapa na pale. Unaporudi nyumbani na kumkuta mkeo yuko na majonzi, jua tu sio kwa sababu yako, bali ni maumivu anayopatiwa na huyo kijana

Kaka mkubwa, unagharamia sana aisee, chumba cha mkeo kimesheheni mali ndani. Pongezi sana, unamjali! Isingekuwa kuficha codes ningelikutajia pako vipi na nisingehitaji kujibu swali la nilifika vipi humo ndani

Kaka mkubwa, mkeo ana bahati ya mtende. Hujawahi hata siku moja kuwahi tukio. Mkeo anagegedewa kwenye kitanda chako, ila tu unapofika kwako, dakika tano nyuma, mkeo anakuwa amekwisha agana na kipande cha kidali chenye midevu yake

Kaka mkubwa, mkeo sio mkimya kama unavyomuona, wala usidhani kwamba anaogopa wanaume kama anavyoku act ia. Kaka, umepigwa. Nakuomba utulie hivyo hivyo kama unaogeshwa, ukikurupuka tu, kile kiwanja mlichonunua na kile kiduka cha nafaka mtakipiga pasu. Mkeo tayari kashaandaa mashambulizi, pia wanaume wawili wamekwisha weka hisa zao hapo

UJUMBE: KATAA NDOA, NDOA NI WIZI, NDOA NI USALITI, NDOA NI KIFO, NDOA NI ZAIDI YA SHETANI, NDOA NI JEHANAMU

KIJANA, UTAKUFA KINYAKYUSA. ACHANA NA NDOA

MTAKUJA KUNIKUMBUKA
kama yamekushinda wewe mrudie mola wako, wacha tujaribu na sisi tujionee
wewe siyo SI unit
 
Kataa ndoa, towa tako, kutowa tako ndio akili.
Huna hoja na PhD uchwara umebakiza dhihaka, kebehi na kejeli Ila hoja kwa hoja unapigwa TKO moja matata sana hurudii tena,

KATAA NDOA
NDOA NI UTAPELI
NDOA NI SINIA LA KIFO
NDOA NI UDANGANYIFU
UKIFUNGA NDOA UTACHAPIWA TU
KATAA CHETI CHA NDOA
SHERIA YA NDOA NI MBOVU
 
Una oa ili ugundue nini sasa?


Baadhi ya wanawake ni mikosi, jela, ugonjwa wa akili na kifo cha kujitakia.

Nilijichanganya kuoa hadi leo ninepoteza kila kitu kasoro roho yangu ,now nimemkimbia kabisa naishi angalau kwa amani.

Ngoja nilee mtoto wangu tu. Na nabeba mahitaji simpi pesa. Dadeeeki.
 
kama yamekushinda wewe mrudie mola wako, wacha tujaribu na sisi tujionee
wewe siyo SI unit
Wamejaribu wangapi ambao kwa sasa wanalia na kusaga meno? Wanatembea barabarani peke yao na kusonya, nusu wagongwe na magari

Karibu mkuu, ndoa yangu ya kwanza ilikuwa na ubwabwa wa kushanta
 
Back
Top Bottom