Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
Ndo hivyo mkuuKufa kinyachusaaa Tena[emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo hivyo mkuuKufa kinyachusaaa Tena[emoji23][emoji23][emoji23]
Nahisi Mtukutu wa Nyaigela ataelewa baada ya kupitia hapaUna oa ili ugundue nini sasa?
Baadhi ya wanawake ni mikosi, jela, ugonjwa wa akili na kifo cha kujitakia.
Nilijichanganya kuoa hadi leo ninepoteza kila kitu kasoro roho yangu ,now nimemkimbia kabisa naishi angalau kwa amani.
Ngoja nilee mtoto wangu tu. Na nabeba mahitaji simpi pesa. Dadeeeki.
Mkuu anaetetea ndoa nampongeza hajakutana na balaa,ila nowdays hawa wanawake ni kama wanazaliwa na shetani ili waje kutuuwa wanaume.Nahisi Mtukutu wa Nyaigela ataelewa baada ya kupitia hapa
Haina shida mkuu, mwaga madini ili wanajukwaa waendelee kujifunzaNashukuru kwa kuniongezea sababu za kuendelea kuwa mwenyewe. Kuna issue imewahi kunitokea miaka kadhaa iliyopita naomba niweke hapa kwenye uzi wako mkuu.
KATAA CHETI CHA NDOANyie mnaopinga ndoa mnataka wanaume waishije?
Sababu kama huoi ni lazima utakuwa mtu wa kutembea hovyo na wan awake, huwezi bishana na maumbile! Hicho ndo mnakipigania?
Naamini hii no kampeni maalumu kupeleka watu wengi kuzimu, HII KITU SIO MZAHA TENA!
Sawa mimi ndio huyo kakamkubwa lakini hizi kampeni zenu zimekaa kishetani Sana. Nadhani mashoga Sasa wamepania kuhakikisha wanawake hawaolewi tena. Yaani shoga anakuwa na wivu wa ndoa za watu? Vijana mgutuke,hizi ni kampeni za kishetani.Ogopa sana mwanamke anayekulazimisha kumuoa, anayekupigia kelele kila muda za eti tuoane tuoane, mpaka unioe n.k
Anadai kuwa mke mdogo huyo ndiye amani ya moyo wake. Mke huyo humpatia tabasamu la moyo. Anadai tatizo la mke mkubwa ni chuki, visa na minuno isiyo na miguu
Kaka mkubwa, unafahamu anayokufanyia mkeo mdogo?
Kama una tabia ya kukagua simu ya mwanamke uache mara moja, na hiyo miaka 50+ uliyonayo utakuja kufa kiholo kama mbuzi wa kafara
Kaka mkubwa, kabla hatujafahamiana, hata mimi nimewahi kumtongoza huyo mkeo, ila nilikuja kukimbia hilo balaa baada ya kugundua kuwa huyo mwanamke ana damu ya dudu ya kujaribu mikuyenge ya kila aina
Kaka mkubwa, pesa unazompatia za matumizi anazitumia kuandaa msosi kwa ajili ya kijana mmoja mrefu hivi, mweupe na mvaa mi ear phone nyeupe ndefu na vipensi visivyoistili vyema mironjo yake. Kwa mtazamo, huyo kijana anao. Kama anampeleka mkeo peku, basi jua tu ushauvaa
Bado ana ka kibenteni kengine keusi keusi hivi ambako kanamfanyia visa vya hapa na pale. Unaporudi nyumbani na kumkuta mkeo yuko na majonzi, jua tu sio kwa sababu yako, bali ni maumivu anayopatiwa na huyo kijana
Kaka mkubwa, unagharamia sana aisee, chumba cha mkeo kimesheheni mali ndani. Pongezi sana, unamjali! Isingekuwa kuficha codes ningelikutajia pako vipi na nisingehitaji kujibu swali la nilifika vipi humo ndani
Kaka mkubwa, mkeo ana bahati ya mtende. Hujawahi hata siku moja kuwahi tukio. Mkeo anagegedewa kwenye kitanda chako, ila tu unapofika kwako, dakika tano nyuma, mkeo anakuwa amekwisha agana na kipande cha kidali chenye midevu yake
Kaka mkubwa, mkeo sio mkimya kama unavyomuona, wala usidhani kwamba anaogopa wanaume kama anavyoku act ia. Kaka, umepigwa. Nakuomba utulie hivyo hivyo kama unaogeshwa, ukikurupuka tu, kile kiwanja mlichonunua na kile kiduka cha nafaka mtakipiga pasu. Mkeo tayari kashaandaa mashambulizi, pia wanaume wawili wamekwisha weka hisa zao hapo
UJUMBE: KATAA NDOA, NDOA NI WIZI, NDOA NI USALITI, NDOA NI KIFO, NDOA NI ZAIDI YA SHETANI, NDOA NI JEHANAMU
KIJANA, UTAKUFA KINYAKYUSA. ACHANA NA NDOA
MTAKUJA KUNIKUMBUKA
Hapana mkuu, mimi sio shoga. Nafanya hivyo ili kunusuru vifo visivyo na ulazima. Mwaka jana nimeshuhudia tukio la baba mmoja kumchoma visu vya macho mkewe wakati akiwa usingizini baada ya kukuta sms ikisema "Hakuna siku nime enjoy uchi wako kama siku ya leo, lakini si umeona ni jinsi gani nilivyo fundi? Nimekichapa aisee mpaka kimekuwa katerero"Sawa mimi ndio huyo kakamkubwa lakini hizi kampeni zenu zimekaa kishetani Sana. Nadhani mashoga Sasa wamepania kuhakikisha wanawake hawaolewi tena. Yaani shoga anakuwa na wivu wa ndoa za watu? Vijana mgutuke,hizi ni kampeni za kishetani.
Nowdays usipokufa wewe utaua mtoto wa watu, kwanza hawana heshima kila kitu wanaiga. Kelele nyingi, mpe biashara ashike visenti au umkute na visenti vyake utasikia....Hapana mkuu, mimi sio shoga. Nafanya hivyo ili kunusuru vifo visivyo na ulazima. Mwaka jana nimeshuhudia tukio la baba mmoja kumchoma visu vya macho mkewe wakati akiwa usingizini baada ya kukuta sms ikisema "Hakuna siku nime enjoy uchi wako kama siku ya leo, lakini si umeona ni jinsi gani nilivyo fundi? Nimekichapa aisee mpaka kimekuwa katerero"
Hiyo sms tuliikuta ikidisplay kwenye kioo cha simu ya mama huyo tulipokuwa na maafande tunakusanya mwili
DahNakumbumbuka mwaka X nikiwa kidato cha pili mkoa fulani, nilikuwa nikiishi na mjomba, pale nyumbani kulikuwa na duka kwa mbele.
Duka hili lilikuwa la mpangaji wetu aliyekuwa akiishi nyumba za nyuma. Kila siku asubuhi kati ya saa mbili mpaka saa tatu alikuwa akipita mdada pale dukani kununua vitu vidogovidogo kama pipi, big G, pemba nk. Nilikuwa nikimcheki kila siku kupitia dirisha langu la chumbani. Siku moja nikamuomba funguo yule mama mwenye duka nikamhudumie mdada yule coz tamaa zilishaanza kuniingia.
Yule mama wa kisukuma hakuwa na neno akanipa key nikakaa mule dukani na kama kawaida yule dada akafika kutaka huduma. Nikamhudumia na kuomba namba ya simu akatia kilaini kabisa. Alivyopiga hatua kadhaa nikaanza kutembea nae kwa txt akawa anareply safi, na hata nilivyokuja kuomba mchezo kama baada ya siku tano mbele hakuwa mbishi.
Nikawa nakula hiyo mama palepale home. Siku moja akaniambia kwann usije kwangu ili tuwe huru? Kwanza nilishangaa na kumuuliza kwako au kwenu? Akacheka sana na baadaye tutkakubaliana juoni ile akitika dukani ataniambia niende hapo kwake.
Jioni ikafika akanicheki na kunielekeza nikaenda kumbe hapakuwa mbali hata na pale home. Kwanza nilivyofika nikashangaa mazingira ya mule ndani, ni kwamba ni pazuri kupitiliza na sikuwahi kuwaza kama huyu dada anaweza kuwa maisha ya aina hii pamoja na kumiliki duka kubwa la nguo ila nikaamua kujikaza kiume. Kuanzia siku hii pale kwa huyu dada pakawa nyumbani, nakuja muda naotaka, natoka myda naotaka mimi. Nilidumu katika maisha ya aina hii kwa miezi kama minne. Katika kipindi chote hiki sikuwahi kumsikia dada huyu akiongea na simu ya mwanaume, wala kutumiwa txt na mwanaume kitu kilichonifanya nijiachie kupitiliza. Lakini kuna kipindi nillkuwa nikibaki mwenyewe pale ndani yeye akiwa dukani najaribu kupekua kama nitakutana na nguo labda za mume wake kwani sikuwahi kuamini kama huyu mtu lile duka ndo linampa maisha ya aina hii. Lakini sikuona chochote zaidi kulikuwa na kabati moja kubwa limefungwa na funguo nilisaka sikupata nikaamua kupiga chini.
Siku moja nikiwa sebleni naangalia movie(hidden identity) mida ya ngoma saba usiku ndani ya boxer sebleni, niliskia mlango wa geti unagongwa na kuita jina la dada huyo(sauti ya kiume).
Kabla ya kwenda kufungua nilienda chumbani nikamkuta kadinzia ila simu yake inaita namba mpya, ilipokata nikaona namba hiyo ilikuwa ishapiga zaidi ya mara 12. Nikaogopa kwanza, ikabidi nimuamshe na kumuonesha ile simu yake. Asee yule dada alikuwa kama mwehu, akaanza kutapatapa huku na kule na kuongea hovyo,.
Nikamvuta sebleni na kumuuliza kuna nini, akjibu huyo ni mume wangu jagwar(jina la sio sahihi). Tulichangangikiwa wote, na kwa mazingira ya nyumba ile hakuna uwezo wa kuescape aliyeko nje ya get asikuone.
Ikabidi tuvae bomu na mama akafungue mlango, jamaa akaingia yupo full battle order(amevaa combat za JWTZ na nyota mbili mabegani. Alivyoingia na kunikuta hakuonesha kushtuka wala kushangaa ila alisema "relax mdogo wangu haya niliyategemea"
Jamaa akatukalisha kwenye kochi moja na yeye kukaa mbele yetu, akaaza kusema, " dogo kama ulijua huyu ni mke wa mtu, na ukaamua kufanya basi Mungu anajua, lakini kama hukujua huyu mwanamke ndio mwenye makosa sababu mke wa mtu hana alama usoni zaidi ya yeye kujitambua. Hapa upo kwangu, kakini mpaka picha yangu ukutani katoa sijajua huko chumbani kukoje na sitaki kujua. Cha msingi mdogo wangu kwa bahati nzuri wewe ni wa kiume kuna siku utafikahapa nilipo na utakutana na haya then utajua jinsi mimi ninavyosikia sasa hivi"
Aliongea mambo mengi sana ila mwisho akaondoka zake hata bila kuingia chumbani.
Niliogopa sana, nikasepa usiku huohuo kwenda home. Baada kama ya miezi miwili yule jamaa akanitafuta na kupiga na mimi kikao kikubwa sana.
Pole sana mkuuMimi binafsi nilishakataa ndoa tangu nipo darasa la sita baada ya kupokonywa demu kwa kuhongwa kalami 3 za mkaa!
Kama sio shoga sawa, lakini mashoga nao wanatembea Sana na kampeni hizi huku Jf na mitandao mingine ya kijamii. Na mara nyingi kampeni kama hizi zinasimamiwa na satanic church katika utekelezaji wa mpango mkakati wao New world order. Wengi tunaingia kukamilisha missions zao na kuzipigia debe Kwa kutokujua. Ila Mashoga na wasagaji ndo wasimamizi wa huu ujumbe kuhakikisha unawaingia watu kisawasawa.Hapana mkuu, mimi sio shoga. Nafanya hivyo ili kunusuru vifo visivyo na ulazima. Mwaka jana nimeshuhudia tukio la baba mmoja kumchoma visu vya macho mkewe wakati akiwa usingizini baada ya kukuta sms ikisema "Hakuna siku nime enjoy uchi wako kama siku ya leo, lakini si umeona ni jinsi gani nilivyo fundi? Nimekichapa aisee mpaka kimekuwa katerero"
Hiyo sms tuliikuta ikidisplay kwenye kioo cha simu ya mama huyo tulipokuwa na maafande tunakusanya mwili
Kama umeamua kuoa, fanya haya:Kama mama yako alipewa mimba kisela sela na wahuni bila ndoa au alibakwa bila ndoa una haki ya kukataa ndoa
Dah, Mola atunusuru tu kwa kweliNowdays usipokufa wewe utaua mtoto wa watu, kwanza hawana heshima kila kitu wanaiga. Kelele nyingi, mpe biashara ashike visenti au umkute na visenti vyake utasikia....
Mme wa nini mm nina biashara yangu!!! Unajiuliza anaolewa na biashara au!!