Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Jana kuna single dad alileta uzi humu ana watoto wawili aliwapeleka kulelewa kwa bibi yao(mama yake huyo single dad)wa kiume miaka 8 anambaka mdogo wake(miaka 5) mpaka kumuumiza. Sasa hapo mnazalisha nini mkuu. Bora mkatae ndoa na kuzalisha ili kulinda kizazi kijacho
Bora nini ? Ukomalie ndoa ufe au uzalishe uendelee kuishi na mtoto umlee?
 
Jana kuna single dad alileta uzi humu ana watoto wawili aliwapeleka kulelewa kwa bibi yao(mama yake huyo single dad)wa kiume miaka 8 anambaka mdogo wake(miaka 5) mpaka kumuumiza. Sasa hapo mnazalisha nini mkuu. Bora mkatae ndoa na kuzalisha ili kulinda kizazi kijacho
Watoto watakaa kwangu mkuu , ninae mama mzur sana atawalea vizur sna huku nikipambana kutuma chochote kitu , angalau mama afurahie na wajukuu wake
 
Kama hauna mwanamke sahihi USIOE. Mwenye mwanamke sahihi OA. Maisha ya ndoa ni mazuri pale tu unapokua na mwanamke sahihi, kinyume chake utakufa mapema.
 
Jana kuna single dad alileta uzi humu ana watoto wawili aliwapeleka kulelewa kwa bibi yao(mama yake huyo single dad)wa kiume miaka 8 anambaka mdogo wake(miaka 5) mpaka kumuumiza. Sasa hapo mnazalisha nini mkuu. Bora mkatae ndoa na kuzalisha ili kulinda kizazi kijacho
Inatokea ata kwenye ndoa watoto kubakwa na hata kulawitiwa kabsa , kwa hiyo bado sio sababu.
 
Mkuu haya matukio yanaweza kutokea popote, kwanza wanawake wenyewe HAWAJUI KULEA siku hizi.

So sometimes ni kuomba Mungu watoto wanalelewa na jamii yote ni kuwa makini tu.
 
Hizo ni scenerio chache hasa kwa wazazi wasiofatilia lakini hawa wakulelewa na bibi zao ndio wahanga wakubwa sana wa hayo matukio
Inatokea ata kwenye ndoa watoto kubakwa na hata kulawitiwa kabsa , kwa hiyo bado sio sababu.
 
Watoto wanaolelewa na single parent wana matatizo mengi,stress sana na kujishtukia. Ndo maana nasema mnazalisha kizazi cha ovyo
Hasa wanaoachwa upande wa mama , mtoto ili awe mtoto hasa wakiume akae na baba yake
 
Kama hauna mwanamke sahihi USIOE. Mwenye mwanamke sahihi OA. Maisha ya ndoa ni mazuri pale tu unapokua na mwanamke sahihi, kinyume chake utakufa mapema.
Yaani kufa kuko karibu sana na idadi ya wanawake wa sifa hizo nzuri imepungua.
 
Ndio hao hao mnaowazalisha na kuwatosa mnawapunguzia umakini wa malezi mwisho wake majanga

Back
Top Bottom