Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Sato anapenda kudeka sana mpwa😂
Mm nipo mpwa niletee mume huyo😀
 
kama yamekushinda wewe mrudie mola wako, wacha tujaribu na sisi tujionee
wewe siyo SI unit
 
Kataa ndoa, towa tako, kutowa tako ndio akili.
Huna hoja na PhD uchwara umebakiza dhihaka, kebehi na kejeli Ila hoja kwa hoja unapigwa TKO moja matata sana hurudii tena,

KATAA NDOA
NDOA NI UTAPELI
NDOA NI SINIA LA KIFO
NDOA NI UDANGANYIFU
UKIFUNGA NDOA UTACHAPIWA TU
KATAA CHETI CHA NDOA
SHERIA YA NDOA NI MBOVU
 
Una oa ili ugundue nini sasa?


Baadhi ya wanawake ni mikosi, jela, ugonjwa wa akili na kifo cha kujitakia.

Nilijichanganya kuoa hadi leo ninepoteza kila kitu kasoro roho yangu ,now nimemkimbia kabisa naishi angalau kwa amani.

Ngoja nilee mtoto wangu tu. Na nabeba mahitaji simpi pesa. Dadeeeki.
 
kama yamekushinda wewe mrudie mola wako, wacha tujaribu na sisi tujionee
wewe siyo SI unit
Wamejaribu wangapi ambao kwa sasa wanalia na kusaga meno? Wanatembea barabarani peke yao na kusonya, nusu wagongwe na magari

Karibu mkuu, ndoa yangu ya kwanza ilikuwa na ubwabwa wa kushanta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…