Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Kama mama yako alipewa mimba kisela sela na wahuni bila ndoa au alibakwa una haki ya kukataa ndoa
 
Ukitaka mapenzi yasikusumbue kuna njia mbili tuu

Umalaya na uongo ....

Hutoumia kamwe
Nyie kufa na kuzikana ndio mnaotusumbua humu ndani
 
Kama ww ni mwanaume kuna point huwa tunakutana kuhusu mwanamke mzuri sina mengi yakuongea nafikiri umeelewa tayr
 

NDOA ni kwaajili ya wanaume dhaifu wasioweza kuishi wenyewe na kujitegemea, mwisho wa siku wanapata sonona wanakufa mapema.

Embu fikiria hoja kama usipooa eti uzeeni utateseka hutapata wakukuhudumia, sijui wapenda ndoa huwa wanawaza nini.

Fikiria tu unakutana na mwanamke mtu mzima, unamuoa, unaanza kuishi kwa wasi wasi akicheka na mwanaume unahisi hajiheshimu atakuwa analiwa 😂😂 upuuzi tu.

Itokee mkeo huyo akaliwa na jamii ikajua, mzigo woote unatupiwa wewe mwanaume unaonekana bwege mzembe, wakati kaamua kuliwa yeye kwa starehe zake.

Mliooa komaeni na tabu yenu, tunajua mnatamani kuwa kama sisi ila mnaogopa wakwe na wake zenu. 😂😂
 
Hakuna mkuu ndio maana nakataa ndoa , maziwa ni bei nafuu kuliko ufugaji ya nini nifuge ? Wakati maziwa yapo tu kwa bei nzuri
 
Reactions: Tsh
Stamina ni dhaifu, wanaume wenzake walimsaidia...

Bushoke ni SI unit ya mwanaume anayelelewa...
 
Ukitaka mapenzi yasikusumbue kuna njia mbili tuu

Umalaya na uongo ....

Hutoumia kamwe
Nyie kufa na kuzikana ndio mnaotusumbua humu ndani
Ukitaka mapenzi yasikusumbue njia ni moja tu, kupata mwanamke sahihi atakayekuwa mke na mama bora kwa vizazi vyako, ukimkosa ni sahihi kutokuoa.

Kwenye ukoo wenu wazee wa ukoo ni malaya na waongo? Mashangazi na dada zako wamezaa hovyo hovyo? Kama sivyo kwann uhitimishe hitimisho la kisenge hivi?
 
Hakuna mkuu ndio maana nakataa ndoa , maziwa ni bei nafuu kuliko ufugaji ya nini nifuge ? Wakati maziwa yapo tu kwa bei nzuri
Maziwa yenye uti. Kila siku kukimbizana na vipimo na mipira. Hapana boss, hayo kwangu sio maisha. Shemeji yako akiniprove wrong kuwa nilikosea kumfanya mke nitamuacha na kurekebisha kosa ila siwezi kuishi maisha ya kukimbizana na malaya. By the way, hiyo nyumba yangu itakuwaje? Kila baada ya wiki kadhaa kuna sura mpya ninayoiita mwanamke wangu?
 
Na uhakika 100% hapa tz kwenye kila ndoa kuna malaya mmoja

Sema ndio ivo mungu ametupo uwezo wa kuona machache ila right maisha ya mwanadamu yangekuwa live kwenye screen yote ayafanyayo tungekimbiana binadamu ndio kiumbe mwenye siri kali kupita kiumbe chochote hapa chini ya jua km unabisha waulize watu wa hospital,lodge, na waganga
 
Hahaha, tukisema hivi nani yupo salama? Maisha yako yote yakiwa live watu wataona nini? Mambo mazuri tu? Maisha ya binadamu yamejaa makosa, na sio wanandoa tu hata wasiooa maisha yao yana makosa. Umalaya ni umalaya, uufanye ukiwa na ndoa au bila ndoa. Malaya ni malaya. Ukikosea ukakutana na malaya achana nae, utakuwa ulikosea kama binadamu wengine wanavyofanya makosa. Mbona tunapanda ndege na huwa zinapata ajali? Ila huwezi panda ndege ambayo unajua kabisa ina hitilafu, utapanda unayoamini ni nzima japo huna uhakika. Same to ndoa, unaoa unayeamini ni sahihi, ikitokea vinginevyo basi unaachana nae. That is life.
 
Maziwa yenye uti. Kila siku kukimbizana na vipimo na mipira. Hapana boss, hayo kwangu sio maisha. Shemeji yako akiniprove wrong kuwa nilikosea kumfanya mke nitamuacha na kurekebisha kosa ila siwezi kuishi maisha ya kukimbizana na malaya.
Sip kwel mkuu unaweza fuga ng'ombe akapata brusela ukanyw maziwa yake ukaharisha pia
 
Sip kwel mkuu unaweza fuga ng'ombe akapata brusela ukanyw maziwa yake ukaharisha pia
Maisha yana changamoto. Ikitokea hiyo changamoto nitaitatua kwa namna sahihi. Utatuzi wake hauwezi kuwa ni kukimbizana na slay queens na wauza uchi ili wawe sehemu ya maisha yangu yaliyobaki duniani.
 
Maisha yana changamoto. Ikitokea hiyo changamoto nitaitatua kwa namna sahihi. Utatuzi wake hauwezi kuwa ni kukimbizana na slay queens na wauza uchi ili wawe sehemu ya maisha yangu yaliyobaki duniani.
Ni kwel mkuu kama una ndoa tulia tu mkuu sisi tumeamua tuzichakate bila kikomo kupanga ni kuchagua master.
 
Reactions: Tsh
Sasa kwanini mtu aingie kwenye ndoa kimazingira ya nje aonekane smart ila nafsi ndio uovu..
Hii kitu ndio unaona kuna mtu anahangaika kwa makanisa na kinamwamposa ila ukimuona unajiuliza huyu kaenda kufanyaje mbna yupo smart hana makandokando ...kumbe mwenzio anayajua ya Moyoni aliyofanya kisirisiri nafsi imeshachoka kubeba maovu bora kuwa Black or white
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…