Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uchoko umeanza kabla watu hawajakataa ndoaWakataa ndoa ni waeneza uchoko.
Kwa Tz wapo bagamoyo
Ifike hatua mjikite kwenye kujibu hoja sio huu utoto.Kama mama yako alipewa mimba kisela sela na wahuni bila ndoa au alibakwa una haki ya kukataa ndoa
Kama ww ni mwanaume kuna point huwa tunakutana kuhusu mwanamke mzuri sina mengi yakuongea nafikiri umeelewa tayrTabia ni kigezo common kwa wanaume wote wenye akili wanaohitaji kuwa na familia yenye mama na mke. Vingine vyote vinategemeana na ubongo wa mwanaume husika unavyotafsiri neno uzuri/urembo.
Mwanamke mbaya ni yupi? Hili ni suala very personal. Wakati wewe tako kubwa ndo uzuri mwingine sauti nyororo ndo uzuri na kwake sauti nzuri inakamilisha uzuri unaotazamwa nje.
Muda mwingine tuache utumwa wa kifikra, tukiongea vijana wasioe mnatwambia oohh mara mashoga,ooh mara ni uoga, ooh mara tutafute pesa, mara ooh dini inasemaje, mara ohh.
Kijana ogopa ku-OA, kuoa ni kujiweka hatarini, jela, utumwani, utakuwa bwege utachoka, ukicheza utachelewa kufanya maendeleo, ukicheza na BAADHI ya hawa viumbe utaingia madeni ufe na stress halafu yeye atafute mwingine.
Mwanamke kwanza una mvumilia kazi hata za ndani hajui vizuri, kitandani hajui anatega tu kama mtengo wa nungunungu, una vumilia, akili kichwani holaaa!! Unajitahidi kumvumilia na kumfundisha maisha holaaa!! Yaani ujinga ujinga tuu.
Halafu unaona kabisa UNANYONYWA PESA ZAKO unakuja kugundua sio UPENDO bali ni ujambazi tena sometimes wanashirikiana kupeana mbinu na WAZAZI. Mzazi anamwambia mwanae wa kike usizubae umepata mwanaume ana kazi nzuri na pesa usikae kijinga.
Mungu wanguu.!!! Nasema hivi hakuna KUOA.
HUU MSIMAZO WA VIJANA MUUACHIE WENYEWE KAMA UNATAKA KUOA AU USHAOA WEWE TUNAKUOMBEA MAISHA MEMA LAKINI SIO KUJA HAPA NA KUBEZA HOJA YA KUTOKUOA !!
HAKUNA KUOA NI KUKARIBISHA UMASIKINI NA KUHARIBU AFYA YAKO YA MWILI NA AKILI.
HAKUNA KUOA ,SIJUI TUNAELEWA??
Tafuta mwanamke zaa nae lea mtoto, kwenye malezi usilete ujinga wala kukwepa majukumu. Lea mtoto/watoto kwa haki kabisa, hudumia kabisa ndo picha zako zitakazobaki ukitangulia.
Usioe, zaa mtoto/watoto halafu LEA WATOTO WAKO!!
Hakuna mkuu ndio maana nakataa ndoa , maziwa ni bei nafuu kuliko ufugaji ya nini nifuge ? Wakati maziwa yapo tu kwa bei nzuriUpo sawa, alikuwa pisi kali kwa baba yako, kwa % kubwa Wanawake wakiwa watupu ni warembo na wanavutia kuwaingilia kwa rijali yoyote, ni suala la ubongo wako unavyotafsiri maana ya kuvutia.
Narudia Baba yako kama alikulea ukiwa na mama yako, mtazame mama yako uoe mwenye tabia zinazofanana naye sababu baba yako hakuwa Fala. Kinyume na hapo upo sahihi usipooa.
Ukitaka mapenzi yasikusumbue njia ni moja tu, kupata mwanamke sahihi atakayekuwa mke na mama bora kwa vizazi vyako, ukimkosa ni sahihi kutokuoa.Ukitaka mapenzi yasikusumbue kuna njia mbili tuu
Umalaya na uongo ....
Hutoumia kamwe
Nyie kufa na kuzikana ndio mnaotusumbua humu ndani
Sio mwanaume tu, mwanaume mwenye watoto wa kike na kiume na mama yao.Kama ww ni mwanaume kuna point huwa tunakutana kuhusu mwanamke mzuri sina mengi yakuongea nafikiri umeelewa tayr
Maziwa yenye uti. Kila siku kukimbizana na vipimo na mipira. Hapana boss, hayo kwangu sio maisha. Shemeji yako akiniprove wrong kuwa nilikosea kumfanya mke nitamuacha na kurekebisha kosa ila siwezi kuishi maisha ya kukimbizana na malaya. By the way, hiyo nyumba yangu itakuwaje? Kila baada ya wiki kadhaa kuna sura mpya ninayoiita mwanamke wangu?Hakuna mkuu ndio maana nakataa ndoa , maziwa ni bei nafuu kuliko ufugaji ya nini nifuge ? Wakati maziwa yapo tu kwa bei nzuri
Na uhakika 100% hapa tz kwenye kila ndoa kuna malaya mmojaUkitaka mapenzi yasikusumbue njia ni moja tu, kupata mwanamke sahihi atakayekuwa mke na mama bora kwa vizazi vyako, ukimkosa ni sahihi kutokuoa.
Kwenye ukoo wenu wazee wa ukoo ni malaya na waongo? Mashangazi na dada zako wamezaa hovyo hovyo? Kama sivyo kwann uhitimishe hitimisho la kisenge hivi?
Hahaha, tukisema hivi nani yupo salama? Maisha yako yote yakiwa live watu wataona nini? Mambo mazuri tu? Maisha ya binadamu yamejaa makosa, na sio wanandoa tu hata wasiooa maisha yao yana makosa. Umalaya ni umalaya, uufanye ukiwa na ndoa au bila ndoa. Malaya ni malaya. Ukikosea ukakutana na malaya achana nae, utakuwa ulikosea kama binadamu wengine wanavyofanya makosa. Mbona tunapanda ndege na huwa zinapata ajali? Ila huwezi panda ndege ambayo unajua kabisa ina hitilafu, utapanda unayoamini ni nzima japo huna uhakika. Same to ndoa, unaoa unayeamini ni sahihi, ikitokea vinginevyo basi unaachana nae. That is life.Na uhakika 100% hapa tz kwenye kila ndoa kuna malaya mmoja
Sema ndio ivo mungu ametupo uwezo wa kuona machache ila right maisha ya mwanadamu yangekuwa live kwenye screen yote ayafanyayo tungekimbiana binadamu ndio kiumbe mwenye siri kali kupita kiumbe chochote hapa chini ya jua km unabisha waulize watu wa hospital,lodge, na waganga
Sip kwel mkuu unaweza fuga ng'ombe akapata brusela ukanyw maziwa yake ukaharisha piaMaziwa yenye uti. Kila siku kukimbizana na vipimo na mipira. Hapana boss, hayo kwangu sio maisha. Shemeji yako akiniprove wrong kuwa nilikosea kumfanya mke nitamuacha na kurekebisha kosa ila siwezi kuishi maisha ya kukimbizana na malaya.
Maisha yana changamoto. Ikitokea hiyo changamoto nitaitatua kwa namna sahihi. Utatuzi wake hauwezi kuwa ni kukimbizana na slay queens na wauza uchi ili wawe sehemu ya maisha yangu yaliyobaki duniani.Sip kwel mkuu unaweza fuga ng'ombe akapata brusela ukanyw maziwa yake ukaharisha pia
KabisaTunakoelekea kwa hali hii ni kubaya
Ni kwel mkuu kama una ndoa tulia tu mkuu sisi tumeamua tuzichakate bila kikomo kupanga ni kuchagua master.Maisha yana changamoto. Ikitokea hiyo changamoto nitaitatua kwa namna sahihi. Utatuzi wake hauwezi kuwa ni kukimbizana na slay queens na wauza uchi ili wawe sehemu ya maisha yangu yaliyobaki duniani.
Sasa kwanini mtu aingie kwenye ndoa kimazingira ya nje aonekane smart ila nafsi ndio uovu..Hahaha, tukisema hivi nani yupo salama? Maisha yako yote yakiwa live watu wataona nini? Mambo mazuri tu? Maisha ya binadamu yamejaa makosa, na sio wanandoa tu hata wasiooa maisha yao yana makosa. Umalaya ni umalaya, uufanye ukiwa na ndoa au bila ndoa. Malaya ni malaya. Ukikosea ukakutana na malaya achana nae, utakuwa ulikosea kama binadamu wengine wanavyofanya makosa. Mbona tunapanda ndege na huwa zinapata ajali? Ila huwezi panda ndege ambayo unajua kabisa ina hitilafu, utapanda unayoamini ni nzima japo huna uhakika. Same to ndoa, unaoa unayeamini ni sahihi, ikitokea vinginevyo basi unaachana nae.