Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

kataa ndoaa mwishowe singo mama na singo dadi wataongezeka kwa kasi
 
Huwa naishi kwenye dunia nyengine katika ulimwengu wa kifikra,;-

Kwenye ulimwengu wa mapenzi {Mume,Mke}

I}Ikitokea nimekoseana na mtu wangu basi najua ni sehemu ya ubidamu wetu.
II}Si kila siku ntakua naelewana nae.
III}Nje ya ndoa na ndani ya ndoa kuna matamanio
IV}Kuna usuluhisho baada ya kutoelewana
V}Kuna kuachana
VI}Siwesi kila siku kumtangazia mabaya ikiwa kuna mengi mema na mazuri tumefanya

Ahsante.

Sikatai ndoa na Sipingi ndoa.
 
Wa mtaani kwangu !!! Kwani nyie ni wa kwenye Pluto?
Wewe si unataka mwanamke mzuri, mwenye tacco sijui mavitu gani. Wa mtaani kwako ni rahisi zaidi sababu unakutana nao live kabla ya yote. Kama mimi zaidi ya maandishi humu umewahi kuniona ukajua hata nafananaje? Anzia mtaani kwako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uyasemayo niya kwel mkuu ila naonaga wanaume wanochukua wake wabay kisa tu tabia kma wanazingua , ndio maana mwisho wa sku wanakula bata na watoto wazur mama anashindia uji nikutesa viumbe tu.
 
Unataka kuniambia wewe hata siku umeoa huyo mwanamke wako mkali, hutakula nje? Ni hulka ya wengi wenu. Alafu naamini kila mwanaume anajua nini anataka ndio mana utakuta mtu ana mke wa kawaida wewe ukamshangaa kumbe mwenzako pale ndio kapenda, pale ndio anapata amani hamna purukushani hivyo yaani. Akitaka minofu mikali ataitafuta.

Kwa hyo issue ya kuoa na kuendelea kuwinda wazur unaiunga mkono?
 
Back
Top Bottom