Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

1. KATAA NDOA ( HII KITU NI SAFI SANA)
2. KATAA KUNUNUA MALAYA
3. KATAA NEGOTIATION NA MASHOGA
4. KATAA KUANZISHA MAHUSIANO NA SINGLE MATHER/SINGLE MATHER PROMAX
5. KATAA KUTEMBEA NA WAKE ZA WATU
6. KATA KUFANYA MASTURBATION
7. KATAA KUANZISHA MAHUSIANO NA WACHEZA NGOMA, VIGODORO NA WATU WA SHUHURI(MADERA WACHEZA UCHI)
8. KATAA KUTUMA NAURI NA PESA ZA SALON, ISIPOKUWA KAMA NA YEYE ANATUMA NA YA KUTOLEA
9. KATAA KUONGEA SANA, KUJIBISHANA NA WANAWAKE
10. KATAA KUWATAFUTA WATU, WASIO KUTAFUTA
11. KATAA KUANZISHA MAHUSIANO NA WAVAA VIPINI NA VIKUKU, BREACH,SIKIO MOJA, HERENI 6, WAPIGA TATOO,
12. KATAA KUANZISHA MAHUSIANO NA WANAWAKE WASIO JISHUGHULISHA, MIZIGO PROMAX
13. KATAA KUSOMESHA MPENZI, MKE
14. KATAA KUJIBEMBELEZA SANA, KWA WANAWAKE ( TAFUTA PESA)
15. KATAA KUBEBA POCHI YA MWANAMKE NJIANI NI USALITI WA CHAMA
16. MWANAMKE AKIKUACHA, HAKUNA KURUDI TENA, KATAA UBWEGE

NI kupiga kazi, tafuta pesa, tafuta kibunda, wakumbuke wazazi wako, kula vizuri, fanya mazoezi, tembelea Mbuga za wanyama, Mrudie Mungu wako,nunua asset za viwanja na mashamba, anzisha biashara zako, weka mbali ndoa, weka mbali wanawake hawa sio ndugu zako wapende watoto wako.
Mkuu achana na hii mambo unatuwekea maneno mdomoni mkuu point [emoji117] apo ni moja tu kataa ndoa.
 
Sasa kwanini mtu aingie kwenye ndoa kimazingira ya nje aonekane smart ila nafsi ndio uovu..
Hii kitu ndio unaona kuna mtu anahangaika kwa makanisa na kinamwamposa ila ukimuona unajiuliza huyu kaenda kufanyaje mbna yupo smart hana makandokando ...kumbe mwenzio anayajua ya Moyoni aliyofanya kisirisiri nafsi imeshachoka kubeba maovu bora kuwa Black or white
Mkuu Binadamu wote huwa tunafanya makosa. Sio kuwakosea tu wengine, hata sisi wenyewe tunajikosea. Unafanya jambo kwa ajili yako ila baadae unajilaumu kwann ulifanya. Huwezi kuwa mwovu kamili au mwema kamili. Mwema kuna maovu atayatenda na mwovu kuna mema atayatenda. We furahia maisha kwa namna inayofaa, kama kuwa na mke sio sehemu ya furaha yako basi usiwe naye.
 
Kuna dada apa jirani anapigwa na mumewe kavunjwa meno matatu ,ukimshauri asepe eti ana Linda ndoa ,utafikiri yeye ni mwenyekiti wa ndoa dunian .
Mshauri na mumewe awe anampiga kwa kanga na sio kumsokomezea bakora ama mingumii ka Ile ya mandonga
 
Sitaki ushauri kwa akili zangu timamu wala sijalazimishwa nimeamua kuwa balozi wa chama hiki ukizingatia wanakawe wameanza na bodaboda zao full stress

Jamani tusioe piga tembea mambo ya moto wamechomwa wangapi mpaka uogope

Mf Mwizi tu kachomeka duniani na aendapo

Tuache kuwalea hawa wadada wakizani tuna upwiru kama wa alikiba

KATAAAA NDOA
NDOA NI UTAPELI

JALI AFYA YAKO

Naomba ukaribisho mzuri dronedrake
 
Pole sana ila nikushauri

Kama umefata mkumbo wa humu nakupa pole.... Wenzio ni entertainer humu, wakilog off , wana go there and hug their wives and kids.

Usichukue kila kitu kwenye hii mitandao unless umeridhia.

Pole sana
 
Kama hutaki ndoa Hakikisha unatengeneza pesa za kutosha uweke na mfanyakazi awe anakusaidia kwenye ishu ndogo ndogo.

Yaani unakuta kijana wa makamo miaka 30+ na upara kichwani anakomaa kusugua sufuria
 
Back
Top Bottom