Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Mkuu achana na hii mambo unatuwekea maneno mdomoni mkuu point [emoji117] apo ni moja tu kataa ndoa.
 
Mkuu Binadamu wote huwa tunafanya makosa. Sio kuwakosea tu wengine, hata sisi wenyewe tunajikosea. Unafanya jambo kwa ajili yako ila baadae unajilaumu kwann ulifanya. Huwezi kuwa mwovu kamili au mwema kamili. Mwema kuna maovu atayatenda na mwovu kuna mema atayatenda. We furahia maisha kwa namna inayofaa, kama kuwa na mke sio sehemu ya furaha yako basi usiwe naye.
 
Kuna dada apa jirani anapigwa na mumewe kavunjwa meno matatu ,ukimshauri asepe eti ana Linda ndoa ,utafikiri yeye ni mwenyekiti wa ndoa dunian .
Mshauri na mumewe awe anampiga kwa kanga na sio kumsokomezea bakora ama mingumii ka Ile ya mandonga
 
Sitaki ushauri kwa akili zangu timamu wala sijalazimishwa nimeamua kuwa balozi wa chama hiki ukizingatia wanakawe wameanza na bodaboda zao full stress

Jamani tusioe piga tembea mambo ya moto wamechomwa wangapi mpaka uogope

Mf Mwizi tu kachomeka duniani na aendapo

Tuache kuwalea hawa wadada wakizani tuna upwiru kama wa alikiba

KATAAAA NDOA
NDOA NI UTAPELI

JALI AFYA YAKO

Naomba ukaribisho mzuri dronedrake
 
Pole sana ila nikushauri

Kama umefata mkumbo wa humu nakupa pole.... Wenzio ni entertainer humu, wakilog off , wana go there and hug their wives and kids.

Usichukue kila kitu kwenye hii mitandao unless umeridhia.

Pole sana
 
Kama hutaki ndoa Hakikisha unatengeneza pesa za kutosha uweke na mfanyakazi awe anakusaidia kwenye ishu ndogo ndogo.

Yaani unakuta kijana wa makamo miaka 30+ na upara kichwani anakomaa kusugua sufuria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…