Sambusa kavu
JF-Expert Member
- May 4, 2015
- 806
- 1,296
Alimuoa mwaka 2016 na mpaka sasa hivi wamezaa watoto wa 3
🤔 labda kama watoto wengine walishazaa kabla hawajaoana
🤔 labda kama watoto wengine walishazaa kabla hawajaoana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu yupo.Hayo uliyoandika hapo ndo yalinifanya niache mwanamke tukiwa na watoto wadogo wawili, niliacha mwanamke tukiwa na mtoto mmoja wa miaka miwili na nusu na mwingine wa miezi mitatu
Yaani changamoto nilizopitia ningeendelea kuishi na yule mwanamke angeweza kuniua au mimi kumuua yeye, yaani ilifikia kipindi nikawa naishi nae kwa tahadhari,
Kuna kipindi hata kurudi nyumbani nikawa sitamani, yaani nikiwa kazini ukifika muda wa kurudi nyumbani naanza kunyong'onyea, furaha yote inaisha, nikawa najikuta napachukia nyumbani
Wacha niishie hapa, nimeshachukua kadi ya uanachama kwa Liverpool VPN
Sasa braza ikiwa private part zake anakuachia uzichezee muda wotee...Kwa mentality hii sahau kuoa mzee. Ulifukunyua simu ili ugundue nini?
Unaijua sifa ya mwanamke mwenye Domo?Kwahio kumkimbia mke ndo suluhu?
Si mkae mzungumze kero zenu
Kubwa jinga
MkaripieUnaijua sifa ya mwanamke mwenye Domo?
1. Anaongea sanaa, hawezi kukupa nafasi ya wewe kuongea.
Akiona unamshinda ataongea huku hujamaliza ili tu usimshinde.
2. Ye huwa hakosei.
Kila jambo ukimueleza ataishia "Mwanaume una gubu sanaa" "Mwanaume kutwa mdomo"
3. Yeye ni Professor wa mada.
Kwa maongezi yoyote lazima awe yeye mahindi.
4. Ye ni malaika.
Hajawahi kukosea, na hata ukimueleza kosa lake ili ajirekebishe ataishia kushinda tu hiyo mada.
Nakuuliza tena ""UNAWEZA KUONGEA NA MWANAMKE MWENYE GUBU?""
#YNWA
Unadhani yalianza tu ghafla akakimbia?Mkaripie
Na muongee
Kubali makosa yako na ye akubali yake
Mlioana vipi and u cant even have a discussion?
Anamkimbia anadhani ndo suluhu
What happened to responsible communicating?
Mshindeni kwa hojaUnadhani yalianza tu ghafla akakimbia?
Unadhani hakutafuta suluhu kabla ya kukimbia?
Nadhani humjui mwanamke mwenye Domo..
Yuko mmoja ofisini kwetu ye ni PS ila hajawahi kukosea, na hata akikosea kukubali huwa hawezi.
Yaani ye huwa ni mahindi tuu.
Suluhu ya kudeal na mwanamke mwenye Domo ni kukaa mbali nae na kila kitu chake sema YES.
Huyu PS huwa namuonea huruma sanaa mumewe.
#YNWA
Wengine kubishana huwa hatuwezi, wala kukalipia hatuwezi, mimi naongea neno moja tu, nikisema, "Kimya" akiendelea kuongea atakuwa anatafuta mengine, hii wanangu wanaijua vizuri tu, nikiwaambia,"acha" basi wanaacha na hata mama yao pia ni hivyo hivyo, huwa sina muda wa kushindana na mtu aliyechini yanguMkaripie
Na muongee
Kubali makosa yako na ye akubali yake
Mlioana vipi and u cant even have a discussion?
Anamkimbia anadhani ndo suluhu
What happened to responsible communicating?
So mnajadili vipi changamoto zenu kama mke na mume na kama familia??Wengine kubishana huwa hatuwezi, wala kukalipia hatuwezi, mimi naongea neno moja tu, nikisema, "Kimya" akiendelea kuongea atakuwa anatafuta mengine, hii wanangu wanaijua vizuri tu, nikiwaambia,"acha" basi wanaacha na hata mama yao pia ni hivyo hivyo, huwa sina muda wa kushindana na mtu aliyechini yangu
And how is ur rlshp wth ur wifeWengine kubishana huwa hatuwezi, wala kukalipia hatuwezi, mimi naongea neno moja tu, nikisema, "Kimya" akiendelea kuongea atakuwa anatafuta mengine, hii wanangu wanaijua vizuri tu, nikiwaambia,"acha" basi wanaacha na hata mama yao pia ni hivyo hivyo, huwa sina muda wa kushindana na mtu aliyechini yangu
Mbona siku hizi kila mtu anakimbilia kukaa upande wa dereva? Mmeshashtuka hua wanaliangushia upande wa pili eeeh..?😄😄Mi niko siti ya nyuma dirishani upande wa dereva
Sio kama simpi uhuru no, nampa uhuru na huwa namsikiliza vizuri tu, na sijawahi kumdharau kwa ushauri au mawazo yake atakayotoaAnd how is ur rlshp wth ur wife
From my moms experience
She is not a happy woman
How can u be happy kwny mazingira where u bottle all emotions hamna majadiliano??
Women tuko very very emotional
Kama ni kitu i value the most about my partner ni vile we talk nyakati zote from good times to hata kama tunaumia tunajifunza kusema bila kuumizana
I fee safe kumuambia ukifanya kitu xx unaniumiza sana moyoni and he can say why does xyz nk...
I wish we heard her side of the storySio kama simpi uhuru no, nampa uhuru na huwa namsikiliza vizuri tu, na sijawahi kumdharau kwa ushauri au mawazo yake atakayotoa
Nisichokitaka mimi ni ujinga ujinga ila point nyingine zote huwa tunajadiliana ila ananijua kabisa sipendi tabia ya kujifanya mjuaji, mara nyingi kama hana uhakika huwa ananiuliza, "unaonaje tukifanya kitu fulani kiwe hivi na hivi?"
Kifupi nimempa uhuru wa kutoa mawazo yake mimi ninachofanya ni utekelezaji tu, yes ni utekelezaji yaani yeye ni kama Boss ananipa maagizo ila kwa mfumo wa kuomba au mawazo na mimi nikiona lina umuhimu huwa natekeleza
Ila akitaka kuniletea ubishi wa kijinga huwa ndo namnyamazisha
Note; Huyu ni mama watoto wangu nilishaachana nae ila kwa sasa amekuwa kama rafiki yangu kwa ajili ya kulea watoto tu japo anapambana turudiane lakini mimi nilishamwambia sina mpango wa kurudiana nae, tulee watoto basi mengine tuyaache kama yalivyo
Huyo mzee wako ni mtemi,So mnajadili vipi changamoto zenu kama mke na mume na kama familia??
Unatengeneza nidhamu ya woga
Kuficha maumivu badala ya safe spaces for discussion
Hata km we ndio umekosea ni amri tu
Unanikumbusha my father..years later kila mtu kashakua na hatuongei nae
Mtu unarusha hela imeisha hio
Sababu u dont feel safe/comfortable to hold any conversations baada ya salamu
Hajatuzoesha kuongea nae esp nyakati za changamoto
Fikiria kesho
Aah wapi, maana kama nilikuwa namnyanyasa au namwonea asingekuwa anapambana kurudiana na mimi, maana ye mwenyewe aliolewa huko kisha akaachika baada ya kushindwana na mumewe, nikamuuliza sababu ananijibu kwa kifupi tu, "yule mwanaume ni mshenzi ndo maana sikutaka hata kuzaa naye"I wish we heard her side of the story
U might be shocked...
Huyo ni kimeoAah wapi, maana kama nilikuwa namnyanyasa au namwonea asingekuwa anapambana kurudiana na mimi, maana ye mwenyewe aliolewa huko kisha akaachika baada ya kushindwana na mumewe, nikamuuliza sababu ananijibu kwa kifupi tu, "yule mwanaume ni mshenzi ndo maana sikutaka hata kuzaa naye"
Baadae nikagundua ule uhuru niliokuwa nampa mimi alikuwa haupati
Mi nikamwambia, "tatizo ulipokuwa unaishi na mimi ulikuwa unajisifia umenikamata kisha ukaanza madharau huku ukijua mimi huwa sipendagi ujinga"
Akanijibu, "naomba unisamehe kwa yote niliyokufanyia naomba turudiane nimeshajifunza"
Nikamwambia, "mimi ni Baba watoto wako tu maswala ya kurudiana achana nayo sina mpango wa kuishi na mwanamke kwa sasa na hata nikijisikia kuishi na mwanamke nitaoa mwingine lakini sio wewe maana tabia zako nazijua"
Akajitetea, "sa hivi nimeshakua na nimeshajifunza hivyo najua thamani yako kama mwanaume"
Ili kuepusha usumbufu nikamjibu, "nipe muda nifikirie ila ukiolewa na mwanaume mwingine itakuwa vizuri zaidi kuliko kurudiana na mimi maana mimi kwa sasa sina imani na wanawake huenda nisioe maisha yangu yote yaliyobakia hapa duniani"
Sa hv anajua namfikiria kumbe huku nimechukua kadi ya uanachama kwa Liverpool VPN
Izo kadi zinatolewa kwa utaratibu upi em tusaidiane niipateAah wapi, maana kama nilikuwa namnyanyasa au namwonea asingekuwa anapambana kurudiana na mimi, maana ye mwenyewe aliolewa huko kisha akaachika baada ya kushindwana na mumewe, nikamuuliza sababu ananijibu kwa kifupi tu, "yule mwanaume ni mshenzi ndo maana sikutaka hata kuzaa naye"
Baadae nikagundua ule uhuru niliokuwa nampa mimi alikuwa haupati
Mi nikamwambia, "tatizo ulipokuwa unaishi na mimi ulikuwa unajisifia umenikamata kisha ukaanza madharau huku ukijua mimi huwa sipendagi ujinga"
Akanijibu, "naomba unisamehe kwa yote niliyokufanyia naomba turudiane nimeshajifunza"
Nikamwambia, "mimi ni Baba watoto wako tu maswala ya kurudiana achana nayo sina mpango wa kuishi na mwanamke kwa sasa na hata nikijisikia kuishi na mwanamke nitaoa mwingine lakini sio wewe maana tabia zako nazijua"
Akajitetea, "sa hivi nimeshakua na nimeshajifunza hivyo najua thamani yako kama mwanaume"
Ili kuepusha usumbufu nikamjibu, "nipe muda nifikirie ila ukiolewa na mwanaume mwingine itakuwa vizuri zaidi kuliko kurudiana na mimi maana mimi kwa sasa sina imani na wanawake huenda nisioe maisha yangu yote yaliyobakia hapa duniani"
Sa hv anajua namfikiria kumbe huku nimechukua kadi ya uanachama kwa Liverpool VPN