Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Piga chini dada mmoja bana😂
Kuoa ni agizo la Mungu kama tu hutoweza kuishinda tamaa ya uzinifu na tamaa.
Sasa kama wewe unaweza kuishi na kuishinda tamaa ya uzinifu na ukamcha Mungu ni ruksa kutokuoa.

Tofauti na hapo wanawake wema, wazuri, wasiojua kusaliti, wenye kuridhika wapo na wapo wengi tu.

Sijui ninyi wa kwenu mnawatoaga wapi jamani? Mimi sijaoa ila Nina wadada wawili kwenye mahusiano ( nimakosa najua) ila hawana makando kando na ni watu safi kabisaa.

Sasa sijui hao unaosemea ni wa wapi na wanapatikana wapi

Lakini tu vijana tuoe kwa alie na utayari na pia Wanawake bora na jasiri wapo.
 
Unajua kwasababu gani vijana bado ndoa wataiona ni scam na hata mimi pamoja na imani yangu na kuheshimu ndoa nitawasupport! Nikwasababu upande wa kike ndio uliianza kuikataa ndoa na kuwademinise wanaume ila hamkulivalia njuga wala kuwakanya mabinti zenu juu ya ulimwengu halisi baada ya nyumbani. Hoja hiyo ilikuwa na ikawa ndio inaitwa women empowerment, kwamba mwanamke kumkataa mwanaume na kuikimbia ndoa ndio kuwa a strong woman ukiongeza na independent.

Consequences ambazo hamkuzifikiria nikuwa, a man adopts and goes with the flow maana yeye ni survivor, basi naye akajenga narrative kuwa nami siitaji kuoa maana mwanamke alishaikana ndoa na kusema kuwa haitaji mwanaume, nahamkuipinga wala kuizuia.

Je, kwanini leo uje umzuie kijana wakiume asifanye ya kwake ilihali mlishindwa kuuzuia mapema kwaupande wa jinsia ya pili. Hivyo let men live upon their narrative, kama mlivyo mruhusu women. Otherwise achaneni kupigania gender equality bali mpiganie female superiority!
Siku hizi vijana wa kiume wameanzisha MGTOW na The Manosphere. Kiukweli kinachohubiriwa kwenye hizi falsafa ni kwamba watoto wa kiume wajikite kwenye kutafuta furaha zao kwenye vitu na mwanamke ni adui kabisa. Ukiwaangilia The Radical Femist huwezi kupingana kabisa na hoja zao hawa jamaa....

Kuna mwamba mmoja amefanikiwa kupata fedha nyingi akiwa kijana wa miaka 35, yuko kwenye shirika moja kubwa la kigeni. Mshahara wake ni mkubwa mno. Mambo ya ndoa hataki kabisa kuyasikia.

Siku aliwahi kuniandikia hivi "Brother, I have two houses, three cars and a motor bike. I tithe and donate to charity. I can go for vacation to places like Dubai atleast twice a year. Why would I allow a woman to come and take this away from me"

Nikasema hiiiiiiiii, kazi ipo sana.
 
Labda tu hujamuelewa huyo ndugu hapo.......

Kwa hali na Dunia ya sasa hata ndoa pia haikuhakikishii kukuondolea upweke wa kudumu kwani wapo watu walioishi kwa amani maisha ya ndoa lakini baada ya uzee wakatengana au kuishi Kwa manyanyaso na wake zao.....hali zinazopelekea kufa mapema.......

Bado ni taasisi nzuri lakini matendo na mienendo ya ulimwengu wa sasa unatoa vigugumizi kwa watu kuingia ndoani.........

Ndoa zimegubikwa na changamoto ambazo zinawafanya vijana wawaze mara mbili mbili kuingia kwenye ndoa..........

Takwimu zinatanabaisha kwamba watu walio kwenye ndoa wanaishia kwenye upweke mkubwa hali ya kuwa wanaonekana wapo wawili......

Ndoa ni kama kucheza kamari.......
Dunia imefika pabaya mno...
Ila chanzo ni wale waliotaka haki sawa...
 
Nipo ndugu yangu tunazidi kupambana na maisha yasiyoisha mapambano.same here P..

Waendeleaje na afya wewe pamoja wapendwa wako?
Nimefurahi sana.
Kwetu tupo salama kabisa, tunaendelea kumalizia mwaka.

Endelea kupambana ndugu yangu ujaliwe wepesi , na zaidi sana 2023 ikawe nyepesi kwako na walio wako
 
Nimefurahi sana.
Kwetu tupo salama kabisa, tunaendelea kumalizia mwaka.

Endelea kupambana ndugu yangu ujaliwe wepesi , na zaidi sana 2023 ikawe nyepesi kwako na walio wako
Ohoo…Amen 👏

Nina pokea Kwa Imani iliyokuu..na ikawe kama unenavyo P.

Baraka hizi zikurudie popote pale ulipo ndugu yangu
 
Bandiko lako na hoja nyingi ulizo orozesha hapo, ni kweli hayo matukio yako.

Mungu ametuumba wawili ili tuwe wawili wawili yaani KE na mbususu yake ambayo itatumika kwa kuingiliwq na kutu chenye ncha kali kutoka kwa ME, Sasa unaposema watu wasiowe maana yake nini?

Nimezaliwa mwanaume, na AK 47 ipo mbele hapa kwenye boxer imetulia inasumburi kazi kwa ushirikiano na mbususu ya mke wangu wewe unasema tusiowe, sikuelewi kabisa.

Wapo wanawake wanaojielewa, kama wewe ulibeba mikahaba barabarani shauri lako. Inaonyesha wewe ni muoga waajukumu. Na ukiwa muoga maana yake utahudumiwa.

Ukiwa mwanaume umekamilika. Nasema OA , narudia tena OA, la sivyo utaolewa wewe.
 
Kuna ndg yangu anaolewa ila mchepuko wake ambaye ni mume wa mtu yupo kwenye kamati ya sendoff kama ndugu wa mke mtarajiwa. Hakosi vikao na yuko mstari wa mbele kuhamasisha. Hapa nimewaza hadi nimewaza tena maana mchepuko kashakuwa ndugu yetu kilazima
 
Back
Top Bottom