Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipo ndugu yangu tunazidi kupambana na maisha yasiyoisha mapambano.same here P..Upo ndugu yangu, I'm so glad to see you
Kuoa ni agizo la Mungu kama tu hutoweza kuishinda tamaa ya uzinifu na tamaa.
Sasa kama wewe unaweza kuishi na kuishinda tamaa ya uzinifu na ukamcha Mungu ni ruksa kutokuoa.
Tofauti na hapo wanawake wema, wazuri, wasiojua kusaliti, wenye kuridhika wapo na wapo wengi tu.
Sijui ninyi wa kwenu mnawatoaga wapi jamani? Mimi sijaoa ila Nina wadada wawili kwenye mahusiano ( nimakosa najua) ila hawana makando kando na ni watu safi kabisaa.
Sasa sijui hao unaosemea ni wa wapi na wanapatikana wapi
Lakini tu vijana tuoe kwa alie na utayari na pia Wanawake bora na jasiri wapo.
Siku hizi vijana wa kiume wameanzisha MGTOW na The Manosphere. Kiukweli kinachohubiriwa kwenye hizi falsafa ni kwamba watoto wa kiume wajikite kwenye kutafuta furaha zao kwenye vitu na mwanamke ni adui kabisa. Ukiwaangilia The Radical Femist huwezi kupingana kabisa na hoja zao hawa jamaa....Unajua kwasababu gani vijana bado ndoa wataiona ni scam na hata mimi pamoja na imani yangu na kuheshimu ndoa nitawasupport! Nikwasababu upande wa kike ndio uliianza kuikataa ndoa na kuwademinise wanaume ila hamkulivalia njuga wala kuwakanya mabinti zenu juu ya ulimwengu halisi baada ya nyumbani. Hoja hiyo ilikuwa na ikawa ndio inaitwa women empowerment, kwamba mwanamke kumkataa mwanaume na kuikimbia ndoa ndio kuwa a strong woman ukiongeza na independent.
Consequences ambazo hamkuzifikiria nikuwa, a man adopts and goes with the flow maana yeye ni survivor, basi naye akajenga narrative kuwa nami siitaji kuoa maana mwanamke alishaikana ndoa na kusema kuwa haitaji mwanaume, nahamkuipinga wala kuizuia.
Je, kwanini leo uje umzuie kijana wakiume asifanye ya kwake ilihali mlishindwa kuuzuia mapema kwaupande wa jinsia ya pili. Hivyo let men live upon their narrative, kama mlivyo mruhusu women. Otherwise achaneni kupigania gender equality bali mpiganie female superiority!
Dunia imefika pabaya mno...Labda tu hujamuelewa huyo ndugu hapo.......
Kwa hali na Dunia ya sasa hata ndoa pia haikuhakikishii kukuondolea upweke wa kudumu kwani wapo watu walioishi kwa amani maisha ya ndoa lakini baada ya uzee wakatengana au kuishi Kwa manyanyaso na wake zao.....hali zinazopelekea kufa mapema.......
Bado ni taasisi nzuri lakini matendo na mienendo ya ulimwengu wa sasa unatoa vigugumizi kwa watu kuingia ndoani.........
Ndoa zimegubikwa na changamoto ambazo zinawafanya vijana wawaze mara mbili mbili kuingia kwenye ndoa..........
Takwimu zinatanabaisha kwamba watu walio kwenye ndoa wanaishia kwenye upweke mkubwa hali ya kuwa wanaonekana wapo wawili......
Ndoa ni kama kucheza kamari.......
Hakika ndugu.,....yaani baada ya ndoa kuwa muunganiko wa furaha zimegeuka kuwa magereza ya matesoDunia imefika pabaya mno...
Ila chanzo ni wale waliotaka haki sawa...
Nimefurahi sana.Nipo ndugu yangu tunazidi kupambana na maisha yasiyoisha mapambano.same here P..
Waendeleaje na afya wewe pamoja wapendwa wako?
Ohoo…Amen 👏Nimefurahi sana.
Kwetu tupo salama kabisa, tunaendelea kumalizia mwaka.
Endelea kupambana ndugu yangu ujaliwe wepesi , na zaidi sana 2023 ikawe nyepesi kwako na walio wako
Nigga,u know all em female shyts...then who's pu**y here?Ur so p**ssy nigga..!!!
#YNWA
Nigga,u know all em female shyts...then who's pu**y here?
Its yuh!
YumkiniKwahiyo wale matajiri huko nchi zilizoendelea ambao HAWAJAOA ni MASHOGA?
#YNWA
i'm a dick,u are a pu**y,we are neighbors!Still pus**y
#YNWA
Njoo tukuowe basi wewe, acha hasira za kipumbavuUkichunguza sana wanaohamasisha watu wasioane basi huwa ni mashoga wanaona wivu wanawake wakiolewa wanataka waolewe wao mwamba mleta mada nina mashaka naye
familia sio ndoaKuna mmoja yuko na mkewe na watoto wake chachi wakitoka wanaenda zao beach kula bata wanamshukuru Mungu kwa zawadi ya familia
😂😂😂 Ikiuma chomoaNjoo tukuowe basi wewe, acha hasira za kipumbavu