Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Urudi kwenye asili wakati ndoa sio asili una maana gani ?
Wakati ule Eden, Adam anafanyiwa msaidizi ambaye ni Hawa ilikuwa ndipo asili ya Ndoa ilipoanzia.

Achana na hizi ndoa za miaka hii ya Same sex, nazungumzia Ndoa ile ambapo Mungu anasema mtu Mke atawaacha Wazazi wake naye ataungana na Mume wake nao watakuwa mwili mmoja
 
Binadamu wanaandaliwa na kukua kwa malezi mema
Siku hizi wasichana wanaachiwa au kuondoka au kutoroka kwa wazazi na kutokomea kusikojulikana

Unakutana na mdada huwajui hata wazazi wake na wewe humtamhulishi wazazi wako

Leo binadamu mmekuwa kama mimea au mbuzi wa mnadani anaenunuliwa na kupelekwa sehemu nyingine peke yao ndio bye bye [emoji112]

Wazazi wamekuwa hawana thamani tena
Sisi tuliooa kwenye familia na kuwafuata wazazi na kujitambulisha ndio ndoa nyingi zimedumu maana tunalindwa na dua na ushauri wa Wazazi mara kwa mara

Kuna bond baina yetu kwa hiyo kukosana inakuwa ngumu kidogo

Maadili na kama mwanamke anajua kuwa unawajua wazazi wake hapo anakuwa na heshima ya ziada

Waliokimbia na kukataa au kuwasahau wazazi ndio hao wanaohangaika na ndoa zao
Pia wale waliokubali kuishi bila ndoa kwa miaka kibao na kuzaa juu, hao ndio hata kufunga ndoa ni unafiki tu

Poleni sana kwa wale ambao wamewadharau na kukataa kujitambulisha kwa wazazi wajue laana inawatafuna Kiaina

Na wanawake wanaowadanganya wazazi wao eti niko single huku akiwa anaamka kwa mshikaji hapo nao wakipata misukosuko na kutimuliwa wasishangae pia wajue laana iko alikutoka

Mkawaombe radhi wazazi na hao wapendwa wakajitambulishe kwenu kabla hamjarukiana kama paka
 
Wakati ule Eden, Adam anafanyiwa msaidizi ambaye ni Hawa ilikuwa ndipo asili ya Ndoa ilipoanzia.

Achana na hizi ndoa za miaka hii ya Same sex, nazungumzia Ndoa ile ambapo Mungu anasema mtu Mke atawaacha Wazazi wake naye ataungana na Mume wake nao watakuwa mwili mmoja
Bas sawa hiyo mm ninayo ila huyu mke wangu bado anataka tufunge ndoa
 
Ni yule niliyemshauri mda mwingi tukiwa sehemu za starehe kitambaa cheupe tukipata K vant kubwa na Windhoek za Kopo baridi, mda mwingi tuliwaza pesa na kula bata ila mwenzangu akawa busy kukusanya pesa za Mahali. Nilikwambia hiyo million mbili bora twende kidimbwi tuagize kuku wa kuchoma na jack Daniel kubwa ila akasema mimi sio mtu mzuri namfudisha upumbavu

Vijana nawasihi mjipende wenyewe kwanza, hawa wanawake siku hizi wamekuwa tooo cheap Sasa unaowa ili iweje. Unaleta stress za ajabu tu nakujaza majukumu ndani ya Familia unakosa hata pesa ya kula kitumbua barabarani mda wote unawaza bajeti ya kula na kusomesha watoto

Sasa kwakumalizia jamaa kaja kwangu Jana usiku analia anaomba msaada mke wake kamtoroka alimtumia meseji akasema hawezi ishi na JITU ambalo halina pesa. Ona Sasa haya mambo, kabla ya sasa jamaa alikuwa yupo vzr ila mke ndokamfilisi. Jamaa kawajengea wakwe zake ila wazazi wake wa kumzaa wanaishi kwenye banda la nyasi na kuta la Mavi ya punda. Mke wake waliyeachana saizi yupo Kwa wazazi wake anakaa kwenye mjengo mpyaa ambao jamaa aliwajengea

Finally, jamaa yupo hapa kwangu mda huu Hana hata pakulala mke ameuza kila kitu kodi ya nyumba anadaiwa. Linakoroma tu sijui nilipake mafuta [emoji30][emoji31]🥱
Huyo sio Mwalimu kweli??
 
Majuto
 
Mwambie aache kulia
Awwelimishe vijana kupitia yaliyomkuta.

Maisha hayana riverse
 
Kumeanzishwa nyuzi nyingi za usioe na kataa ndoa namimi nakazia ikitokea umeoa basi kamwe usije ukaoa singo maza mwenye mtoto wa kiume utajuta. Ikikulazimu oa S.M mwenye girl child. Utakuja kunishukuru baadae.
Bila kutoa sababu ni nini hoja yako ni mfu kabisa... umetumia space ya jf vibaya
 
Back
Top Bottom