Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Urudi kwenye asili wakati ndoa sio asili una maana gani ?Mbona miaka ya 90 hadi 2000 hakukuwa na mambo hayo, kila familia inajua umuhimu wa kijana wao kuoa/kuolewa.
Turudi kwenye asili yetu wakuu
Hahahaha...................Mungu ni Mkuu, utafanikiwa kupata wa kufanana nayeSasa hadi nikaopoa binti wa kanisani unahisi nani niliemshirikisha Iblis Bin Shetan au Kaka yake shetani ?
Wakati ule Eden, Adam anafanyiwa msaidizi ambaye ni Hawa ilikuwa ndipo asili ya Ndoa ilipoanzia.Urudi kwenye asili wakati ndoa sio asili una maana gani ?
Bas sawa hiyo mm ninayo ila huyu mke wangu bado anataka tufunge ndoaWakati ule Eden, Adam anafanyiwa msaidizi ambaye ni Hawa ilikuwa ndipo asili ya Ndoa ilipoanzia.
Achana na hizi ndoa za miaka hii ya Same sex, nazungumzia Ndoa ile ambapo Mungu anasema mtu Mke atawaacha Wazazi wake naye ataungana na Mume wake nao watakuwa mwili mmoja
Mtimizie hitaji lake Mkuu, najua umeshafanya utafiti wa kutosha dhidi yakeBas sawa hiyo mm ninayo ila huyu mke wangu bado anataka tufunge ndoa
Haina faida kwangu akae kwa kutulia ,siku nikifunga bora nife tu kabla hilo tukio halijatimia.Mtimizie hitaji lake Mkuu, najua umeshafanya utafiti wa kutosha dhidi yake
Yaani bora ufe kuliko kuoa?Haina faida kwangu akae kwa kutulia ,siku nikifunga bora nife tu kabla hilo tukio halijatimia.
Huyo sio Mwalimu kweli??Ni yule niliyemshauri mda mwingi tukiwa sehemu za starehe kitambaa cheupe tukipata K vant kubwa na Windhoek za Kopo baridi, mda mwingi tuliwaza pesa na kula bata ila mwenzangu akawa busy kukusanya pesa za Mahali. Nilikwambia hiyo million mbili bora twende kidimbwi tuagize kuku wa kuchoma na jack Daniel kubwa ila akasema mimi sio mtu mzuri namfudisha upumbavu
Vijana nawasihi mjipende wenyewe kwanza, hawa wanawake siku hizi wamekuwa tooo cheap Sasa unaowa ili iweje. Unaleta stress za ajabu tu nakujaza majukumu ndani ya Familia unakosa hata pesa ya kula kitumbua barabarani mda wote unawaza bajeti ya kula na kusomesha watoto
Sasa kwakumalizia jamaa kaja kwangu Jana usiku analia anaomba msaada mke wake kamtoroka alimtumia meseji akasema hawezi ishi na JITU ambalo halina pesa. Ona Sasa haya mambo, kabla ya sasa jamaa alikuwa yupo vzr ila mke ndokamfilisi. Jamaa kawajengea wakwe zake ila wazazi wake wa kumzaa wanaishi kwenye banda la nyasi na kuta la Mavi ya punda. Mke wake waliyeachana saizi yupo Kwa wazazi wake anakaa kwenye mjengo mpyaa ambao jamaa aliwajengea
Finally, jamaa yupo hapa kwangu mda huu Hana hata pakulala mke ameuza kila kitu kodi ya nyumba anadaiwa. Linakoroma tu sijui nilipake mafuta [emoji30][emoji31]🥱
Bora nife kuliko kufunga ndoa , unataka kuniwekea maneno sasa ,kuoa nimeoa ila ndoa apana.Yaani bora ufe kuliko kuoa?
MajutoNi yule niliyemshauri mda mwingi tukiwa sehemu za starehe kitambaa cheupe tukipata K vant kubwa na Windhoek za Kopo baridi, mda mwingi tuliwaza pesa na kula bata ila mwenzangu akawa busy kukusanya pesa za Mahali. Nilikwambia hiyo million mbili bora twende kidimbwi tuagize kuku wa kuchoma na jack Daniel kubwa ila akasema mimi sio mtu mzuri namfudisha upumbavu
Vijana nawasihi mjipende wenyewe kwanza, hawa wanawake siku hizi wamekuwa tooo cheap Sasa unaowa ili iweje. Unaleta stress za ajabu tu nakujaza majukumu ndani ya Familia unakosa hata pesa ya kula kitumbua barabarani mda wote unawaza bajeti ya kula na kusomesha watoto
Sasa kwakumalizia jamaa kaja kwangu Jana usiku analia anaomba msaada mke wake kamtoroka alimtumia meseji akasema hawezi ishi na JITU ambalo halina pesa. Ona Sasa haya mambo, kabla ya sasa jamaa alikuwa yupo vzr ila mke ndokamfilisi. Jamaa kawajengea wakwe zake ila wazazi wake wa kumzaa wanaishi kwenye banda la nyasi na kuta la Mavi ya punda. Mke wake waliyeachana saizi yupo Kwa wazazi wake anakaa kwenye mjengo mpyaa ambao jamaa aliwajengea
Finally, jamaa yupo hapa kwangu mda huu Hana hata pakulala mke ameuza kila kitu kodi ya nyumba anadaiwa. Linakoroma tu sijui nilipake mafuta [emoji30][emoji31]🥱
Mwambie aache kuliaNi yule niliyemshauri mda mwingi tukiwa sehemu za starehe kitambaa cheupe tukipata K vant kubwa na Windhoek za Kopo baridi, mda mwingi tuliwaza pesa na kula bata ila mwenzangu akawa busy kukusanya pesa za Mahali. Nilikwambia hiyo million mbili bora twende kidimbwi tuagize kuku wa kuchoma na jack Daniel kubwa ila akasema mimi sio mtu mzuri namfudisha upumbavu
Vijana nawasihi mjipende wenyewe kwanza, hawa wanawake siku hizi wamekuwa tooo cheap Sasa unaowa ili iweje. Unaleta stress za ajabu tu nakujaza majukumu ndani ya Familia unakosa hata pesa ya kula kitumbua barabarani mda wote unawaza bajeti ya kula na kusomesha watoto
Sasa kwakumalizia jamaa kaja kwangu Jana usiku analia anaomba msaada mke wake kamtoroka alimtumia meseji akasema hawezi ishi na JITU ambalo halina pesa. Ona Sasa haya mambo, kabla ya sasa jamaa alikuwa yupo vzr ila mke ndokamfilisi. Jamaa kawajengea wakwe zake ila wazazi wake wa kumzaa wanaishi kwenye banda la nyasi na kuta la Mavi ya punda. Mke wake waliyeachana saizi yupo Kwa wazazi wake anakaa kwenye mjengo mpyaa ambao jamaa aliwajengea
Finally, jamaa yupo hapa kwangu mda huu Hana hata pakulala mke ameuza kila kitu kodi ya nyumba anadaiwa. Linakoroma tu sijui nilipake mafuta [emoji30][emoji31]🥱
AiseehBora nife kuliko kufunga ndoa , unataka kuniwekea maneno sasa ,kuoa nimeoa ila ndoa apana.
Akiwa na mapacha moja wakike na mmoja wakiume vipi naruhusiwa kuoa??
ni kweli mkuu mi siku nikienda kwa mchepuko mwanae wa kiume anakuwa haendi kokote kunibanabana!Narudia tena mkuu never marry single mother with a boy child.
Bila kutoa sababu ni nini hoja yako ni mfu kabisa... umetumia space ya jf vibayaKumeanzishwa nyuzi nyingi za usioe na kataa ndoa namimi nakazia ikitokea umeoa basi kamwe usije ukaoa singo maza mwenye mtoto wa kiume utajuta. Ikikulazimu oa S.M mwenye girl child. Utakuja kunishukuru baadae.
Hivi S. M mwenye mapacha anahesabika kazaa mara mbili au mara moja?🙂Akiwa na mapacha moja wakike na mmoja wakiume vipi naruhusiwa kuoa??
SureManeno haya yana busara na hekima.