Iblis Bin Shetan
JF-Expert Member
- Sep 24, 2018
- 1,824
- 2,445
Mwambie Amos mungu ndio shetani mwenyewe ila wengi hawalijui hili jamboKwani Mungu ana sauti gani na Iblis Bin Shetan ana sauti gan?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwambie Amos mungu ndio shetani mwenyewe ila wengi hawalijui hili jamboKwani Mungu ana sauti gani na Iblis Bin Shetan ana sauti gan?
Kosa lake sio KUOA bali.... KUSHINDWA KUCHAGUA MWANAMKE SAHIHI KWA AJILI YA NDOA.Ni yule niliyemshauri mda mwingi tukiwa sehemu za starehe kitambaa cheupe tukipata K vant kubwa na Windhoek za Kopo baridi, mda mwingi tuliwaza pesa na kula bata ila mwenzangu akawa busy kukusanya pesa za Mahali. Nilikwambia hiyo million mbili bora twende kidimbwi tuagize kuku wa kuchoma na jack Daniel kubwa ila akasema mimi sio mtu mzuri namfudisha upumbavu
Vijana nawasihi mjipende wenyewe kwanza, hawa wanawake siku hizi wamekuwa tooo cheap Sasa unaowa ili iweje. Unaleta stress za ajabu tu nakujaza majukumu ndani ya Familia unakosa hata pesa ya kula kitumbua barabarani mda wote unawaza bajeti ya kula na kusomesha watoto
Sasa kwakumalizia jamaa kaja kwangu Jana usiku analia anaomba msaada mke wake kamtoroka alimtumia meseji akasema hawezi ishi na JITU ambalo halina pesa. Ona Sasa haya mambo, kabla ya sasa jamaa alikuwa yupo vzr ila mke ndokamfilisi. Jamaa kawajengea wakwe zake ila wazazi wake wa kumzaa wanaishi kwenye banda la nyasi na kuta la Mavi ya punda. Mke wake waliyeachana saizi yupo Kwa wazazi wake anakaa kwenye mjengo mpyaa ambao jamaa aliwajengea
Finally, jamaa yupo hapa kwangu mda huu Hana hata pakulala mke ameuza kila kitu kodi ya nyumba anadaiwa. Linakoroma tu sijui nilipake mafuta [emoji30][emoji31]🥱
Mbona hayo kawaida tu, huyu alikimbilia ndoa wakati haja komaa kiakili......Narudia tena ndoa ni utumwa mkubwa saaana, broo tafuteni tu watoto Lakini tusioe kabisa.
Jamaa yangu mmoja kafunga ndoa mwaka Juzi tena kwa mbwembwe nyingii saaana, Lakini jana kakuta sms kutoka kwa mke wake "akichat" na Mwanaume mwingine (hawakufanya mapenzi Lakini walikua wanapangana wakadinyane), kambana mke wake kasema huyo jamaa ni classmate wake huko mikoani so wamekutana mkoa Mwingine baada ya miaka mingi ndio wakapeana namba.
Msela yupo na stress nyingii mno, kamwambia mke wake aondoke arudi kwao mwanamke amegoma hataki kuondoka jamaa anawaza afanyaje? Maana Kila akimuona mwanamke wake anawaza kufanya kitu kibaya mno, na jinsi wanawake walivyo kagoma kabisa kuondoka kamwambia "wewe kama unanipiga wewe nipige Lakini siondoki" mshikaji ananiambia anataka aondoke Kabisa apotee aende mkoa Mwingine akaanze maisha. kwa sababu sijaoa nikakosa Cha kumshauri kabisa, Lakini alichonisaidia ni Mimi kuongeza miaka mbele ya kuvuta tu mwanamke kumweka ndani (sio kuoa).....
Waliooa Wana stress nyingii mno. Just imagine unakutana na mwanamke kalelewa katika mazingira yao na wewe umelelewa katika mazingira yenu, ukitaka kumbadilisha tabia Hapo ndani lazima moto uwake.
Kijana USIOE ukioa utakutana na vingi vya ajabu, ukikutana na mwanamke anapenda kuchat USIOE, ukikuta mwanamke anao marafiki wa kiume USIOE (broo hakunaga urafiki wa Mwanaume na mwanamke ataliwa tu), ukikutana na mwanamke anaejifanya charming saana anazoeleka na wanaume kihurahisi USIOE , Ukiwa na Mwanamke anapenda kuvaa nguo za kubana saaana kwa ajili ya ku_impress mtu USIOE. SASA WEWE JIFANYE MKAIDI.
NDOA ni utapeli tu, unamleta mwanamke ndani kula Hela yako na Bado akufanyie kiburi, just imagine ujaoa na unaingiza kipato Cha 800k na kuendelea, hayo maraha yake yakoje mzee? Yaani kazi yako ni kwenda vacation, kula maisha kufanya unalolitaka bila kuulizwa na mtu Wala stress na kitu furaha iliyoje? Ukipata likizo nenda sehemu ambayo hujawahi kufika furahia maisha.
Ukioa utaweza kufanya hayo?...kwanza ndani ya miezi 6 tu ya ndoa utapigwa wimbi la stress mpaka unyonyoke kama kuku[emoji3][emoji3]
MWISHO!
WANAWAKE WAZURI BADO WAPO NA WENYE HESHIMA RUDI KWA WAZEE WAKUTAFUTIE MKE KIJIJINI KWENU.
Kivipi, kuchapiwa unachapiwa either umekomaa au hujakomaa akiliMbona hayo kawaida tu, huyu alikimbilia ndoa wakati haja komaa kiakili......
Shida mnaoa Malaya kuliko wakeNarudia tena ndoa ni utumwa mkubwa saaana, broo tafuteni tu watoto Lakini tusioe kabisa.
Jamaa yangu mmoja kafunga ndoa mwaka Juzi tena kwa mbwembwe nyingii saaana, Lakini jana kakuta sms kutoka kwa mke wake "akichat" na Mwanaume mwingine (hawakufanya mapenzi Lakini walikua wanapangana wakadinyane), kambana mke wake kasema huyo jamaa ni classmate wake huko mikoani so wamekutana mkoa Mwingine baada ya miaka mingi ndio wakapeana namba.
Msela yupo na stress nyingii mno, kamwambia mke wake aondoke arudi kwao mwanamke amegoma hataki kuondoka jamaa anawaza afanyaje? Maana Kila akimuona mwanamke wake anawaza kufanya kitu kibaya mno, na jinsi wanawake walivyo kagoma kabisa kuondoka kamwambia "wewe kama unanipiga wewe nipige Lakini siondoki" mshikaji ananiambia anataka aondoke Kabisa apotee aende mkoa Mwingine akaanze maisha. kwa sababu sijaoa nikakosa Cha kumshauri kabisa, Lakini alichonisaidia ni Mimi kuongeza miaka mbele ya kuvuta tu mwanamke kumweka ndani (sio kuoa).....
Waliooa Wana stress nyingii mno. Just imagine unakutana na mwanamke kalelewa katika mazingira yao na wewe umelelewa katika mazingira yenu, ukitaka kumbadilisha tabia Hapo ndani lazima moto uwake.
Kijana USIOE ukioa utakutana na vingi vya ajabu, ukikutana na mwanamke anapenda kuchat USIOE, ukikuta mwanamke anao marafiki wa kiume USIOE (broo hakunaga urafiki wa Mwanaume na mwanamke ataliwa tu), ukikutana na mwanamke anaejifanya charming saana anazoeleka na wanaume kihurahisi USIOE , Ukiwa na Mwanamke anapenda kuvaa nguo za kubana saaana kwa ajili ya ku_impress mtu USIOE. SASA WEWE JIFANYE MKAIDI.
NDOA ni utapeli tu, unamleta mwanamke ndani kula Hela yako na Bado akufanyie kiburi, just imagine ujaoa na unaingiza kipato Cha 800k na kuendelea, hayo maraha yake yakoje mzee? Yaani kazi yako ni kwenda vacation, kula maisha kufanya unalolitaka bila kuulizwa na mtu Wala stress na kitu furaha iliyoje? Ukipata likizo nenda sehemu ambayo hujawahi kufika furahia maisha.
Ukioa utaweza kufanya hayo?...kwanza ndani ya miezi 6 tu ya ndoa utapigwa wimbi la stress mpaka unyonyoke kama kuku😀😀
MWISHO!
WANAWAKE WAZURI BADO WAPO NA WENYE HESHIMA RUDI KWA WAZEE WAKUTAFUTIE MKE KIJIJINI KWENU.
Asilimia kubwa Hawa mabinti wa siku hizi ni walewale tuShida mnaoa Malaya kuliko wake
Mimi nimeoa huu mwaka wa 6 sasa nipo nae tu nilioa kipindi nipo form six mpaka leo nipo nae na nadunda nae tuAsilimia kubwa Hawa mabinti wa siku hizi ni walewale tu
Kamwe huwez pangia maisha watu ya kuishi na uzuri neno lako sio sheriaNarudia tena ndoa ni utumwa mkubwa saaana, broo tafuteni tu watoto Lakini tusioe kabisa.