Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Ni yule niliyemshauri mda mwingi tukiwa sehemu za starehe kitambaa cheupe tukipata K vant kubwa na Windhoek za Kopo baridi, mda mwingi tuliwaza pesa na kula bata ila mwenzangu akawa busy kukusanya pesa za Mahali. Nilikwambia hiyo million mbili bora twende kidimbwi tuagize kuku wa kuchoma na jack Daniel kubwa ila akasema mimi sio mtu mzuri namfudisha upumbavu

Vijana nawasihi mjipende wenyewe kwanza, hawa wanawake siku hizi wamekuwa tooo cheap Sasa unaowa ili iweje. Unaleta stress za ajabu tu nakujaza majukumu ndani ya Familia unakosa hata pesa ya kula kitumbua barabarani mda wote unawaza bajeti ya kula na kusomesha watoto

Sasa kwakumalizia jamaa kaja kwangu Jana usiku analia anaomba msaada mke wake kamtoroka alimtumia meseji akasema hawezi ishi na JITU ambalo halina pesa. Ona Sasa haya mambo, kabla ya sasa jamaa alikuwa yupo vzr ila mke ndokamfilisi. Jamaa kawajengea wakwe zake ila wazazi wake wa kumzaa wanaishi kwenye banda la nyasi na kuta la Mavi ya punda. Mke wake waliyeachana saizi yupo Kwa wazazi wake anakaa kwenye mjengo mpyaa ambao jamaa aliwajengea

Finally, jamaa yupo hapa kwangu mda huu Hana hata pakulala mke ameuza kila kitu kodi ya nyumba anadaiwa. Linakoroma tu sijui nilipake mafuta [emoji30][emoji31]🥱
Kosa lake sio KUOA bali.... KUSHINDWA KUCHAGUA MWANAMKE SAHIHI KWA AJILI YA NDOA.

Wengi wanakosea kuchagua wenza hivyo kujikuta ndoa inageuka kuwa shubiri.
 
Maisha ni safari ya majuto kama hutojuta kwa kuchelewa kitu fulani basi utajuta kwa kuwahi kitu fulani ndio maisha yalivyo mnaokataa ndoa matokeo yake mtayapata umri ukienda.

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
 
Salaam JF,

Dini ni upendo na kusaidia wasio jiweza, hii tafsiri ya Yesu Kristo Mwana wa Mungu. Nitanabaishe wazi wazi ya kwamba. Mapenzi yoyote yale kati ya mwanaume na mwanamke yenye kweli ya dhati, Nia na dhumuni ipasaya mbele zake Kristo hio ni ndoa na si vinginevyo. Sitaki kuumiza kichwa kueleza jambo lililo wazi kama hili.

Na kama hamtaki nawaambia tuendelee kupambana ila ndoa ni ufala.
Msingi wa ndoa ni mapenzi ya Mungu hio ndio ndoa.

Ndoa gani za mchina hamna cha kutushawishi.

Wadiz
 
Narudia tena ndoa ni utumwa mkubwa saaana, broo tafuteni tu watoto Lakini tusioe kabisa.
Jamaa yangu mmoja kafunga ndoa mwaka Juzi tena kwa mbwembwe nyingii saaana, Lakini jana kakuta sms kutoka kwa mke wake "akichat" na Mwanaume mwingine (hawakufanya mapenzi Lakini walikua wanapangana wakadinyane), kambana mke wake kasema huyo jamaa ni classmate wake huko mikoani so wamekutana mkoa Mwingine baada ya miaka mingi ndio wakapeana namba.

Msela yupo na stress nyingii mno, kamwambia mke wake aondoke arudi kwao mwanamke amegoma hataki kuondoka jamaa anawaza afanyaje? Maana Kila akimuona mwanamke wake anawaza kufanya kitu kibaya mno, na jinsi wanawake walivyo kagoma kabisa kuondoka kamwambia "wewe kama unanipiga wewe nipige Lakini siondoki" mshikaji ananiambia anataka aondoke Kabisa apotee aende mkoa Mwingine akaanze maisha. kwa sababu sijaoa nikakosa Cha kumshauri kabisa, Lakini alichonisaidia ni Mimi kuongeza miaka mbele ya kuvuta tu mwanamke kumweka ndani (sio kuoa).....

Waliooa Wana stress nyingii mno. Just imagine unakutana na mwanamke kalelewa katika mazingira yao na wewe umelelewa katika mazingira yenu, ukitaka kumbadilisha tabia Hapo ndani lazima moto uwake.
Kijana USIOE ukioa utakutana na vingi vya ajabu, ukikutana na mwanamke anapenda kuchat USIOE, ukikuta mwanamke anao marafiki wa kiume USIOE (broo hakunaga urafiki wa Mwanaume na mwanamke ataliwa tu), ukikutana na mwanamke anaejifanya charming saana anazoeleka na wanaume kihurahisi USIOE , Ukiwa na Mwanamke anapenda kuvaa nguo za kubana saaana kwa ajili ya ku_impress mtu USIOE. SASA WEWE JIFANYE MKAIDI.

NDOA ni utapeli tu, unamleta mwanamke ndani kula Hela yako na Bado akufanyie kiburi, just imagine ujaoa na unaingiza kipato Cha 800k na kuendelea, hayo maraha yake yakoje mzee? Yaani kazi yako ni kwenda vacation, kula maisha kufanya unalolitaka bila kuulizwa na mtu Wala stress na kitu furaha iliyoje? Ukipata likizo nenda sehemu ambayo hujawahi kufika furahia maisha.

Ukioa utaweza kufanya hayo?...kwanza ndani ya miezi 6 tu ya ndoa utapigwa wimbi la stress mpaka unyonyoke kama kuku😀😀

MWISHO!
WANAWAKE WAZURI BADO WAPO NA WENYE HESHIMA RUDI KWA WAZEE WAKUTAFUTIE MKE KIJIJINI KWENU.
 
Ukioa utaweza kufanya hayo?...kwanza ndani ya miezi 6 tu ya ndoa utapigwa wimbi la stress mpaka unyonyoke kama kuku[emoji3][emoji3]

MWISHO!
WANAWAKE WAZURI BADO WAPO NA WENYE HESHIMA RUDI KWA WAZEE WAKUTAFUTIE MKE KIJIJINI KWENU.
Mbona hayo kawaida tu, huyu alikimbilia ndoa wakati haja komaa kiakili......
 
Umeanza vizuri ila umemaliza hovyo...

Nasema hivi Hakuna cha kurudi kijijini et wazee wakutafutie mke bora,hao wazee wetu wenyewe saiz wanaungaunga tu...

KATAA NDOA,NDOA NI KUJIDALALIA WEWE MUOAJI...
NDOA NI MTAJI KWA MWANAMKE WEWE UNAGEUKA FAIDA..
 
Narudia tena ndoa ni utumwa mkubwa saaana, broo tafuteni tu watoto Lakini tusioe kabisa.
Jamaa yangu mmoja kafunga ndoa mwaka Juzi tena kwa mbwembwe nyingii saaana, Lakini jana kakuta sms kutoka kwa mke wake "akichat" na Mwanaume mwingine (hawakufanya mapenzi Lakini walikua wanapangana wakadinyane), kambana mke wake kasema huyo jamaa ni classmate wake huko mikoani so wamekutana mkoa Mwingine baada ya miaka mingi ndio wakapeana namba.

Msela yupo na stress nyingii mno, kamwambia mke wake aondoke arudi kwao mwanamke amegoma hataki kuondoka jamaa anawaza afanyaje? Maana Kila akimuona mwanamke wake anawaza kufanya kitu kibaya mno, na jinsi wanawake walivyo kagoma kabisa kuondoka kamwambia "wewe kama unanipiga wewe nipige Lakini siondoki" mshikaji ananiambia anataka aondoke Kabisa apotee aende mkoa Mwingine akaanze maisha. kwa sababu sijaoa nikakosa Cha kumshauri kabisa, Lakini alichonisaidia ni Mimi kuongeza miaka mbele ya kuvuta tu mwanamke kumweka ndani (sio kuoa).....

Waliooa Wana stress nyingii mno. Just imagine unakutana na mwanamke kalelewa katika mazingira yao na wewe umelelewa katika mazingira yenu, ukitaka kumbadilisha tabia Hapo ndani lazima moto uwake.
Kijana USIOE ukioa utakutana na vingi vya ajabu, ukikutana na mwanamke anapenda kuchat USIOE, ukikuta mwanamke anao marafiki wa kiume USIOE (broo hakunaga urafiki wa Mwanaume na mwanamke ataliwa tu), ukikutana na mwanamke anaejifanya charming saana anazoeleka na wanaume kihurahisi USIOE , Ukiwa na Mwanamke anapenda kuvaa nguo za kubana saaana kwa ajili ya ku_impress mtu USIOE. SASA WEWE JIFANYE MKAIDI.

NDOA ni utapeli tu, unamleta mwanamke ndani kula Hela yako na Bado akufanyie kiburi, just imagine ujaoa na unaingiza kipato Cha 800k na kuendelea, hayo maraha yake yakoje mzee? Yaani kazi yako ni kwenda vacation, kula maisha kufanya unalolitaka bila kuulizwa na mtu Wala stress na kitu furaha iliyoje? Ukipata likizo nenda sehemu ambayo hujawahi kufika furahia maisha.

Ukioa utaweza kufanya hayo?...kwanza ndani ya miezi 6 tu ya ndoa utapigwa wimbi la stress mpaka unyonyoke kama kuku😀😀

MWISHO!
WANAWAKE WAZURI BADO WAPO NA WENYE HESHIMA RUDI KWA WAZEE WAKUTAFUTIE MKE KIJIJINI KWENU.
Shida mnaoa Malaya kuliko wake
 
Kamwe huwez pangia maisha watu ya kuishi na uzuri neno lako sio sheria
Wako wanaofurahia ndoa na wako ndo zimewashinda hayo ndo maisha kila mtu anaishi kwa ajili akili yake inavyomtuma
Ukiona unatumia nguvu nyingi kupush agenda flani ujue kuna shida mahali

Umeongea as if watu wote walioko single wana-maisha mazuri, Kuna watu wako single wanamaisha magumu kuliko hata wenye ndoa

Kwa kukushauri tafuta wanawake ambao ni level zako haya makasiriko hutakua nayo, unahangaika na wanawake ambao sio level yako wanakukataa alafu unaichukia ndoa,
 
Back
Top Bottom