Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Hivi nyie wakati wazee wa zamani wanatoka Safar na kutofika kwake Kwanza na kutuma koti nyumbani mlifikiri ni Wajinga?

Wanajua lolote laweza tokea na hawakutaka kukutana nayo

Sasa nyie kinachowafanya mpekue Simu za wake zenu mlitarajia nini?
 
Hivi nyie wakati wazee wa zamani wanatoka Safar na kutofika kwake Kwanza na kutuma koti nyumbani mlifikiri ni Wajinga?

Wanajua lolote laweza tokea na hawakutaka kukutana nayo

Sasa nyie kinachowafanya mpekue Simu za wake zenu mlitarajia nini?
Watu hawaelewi ukiwa na mke haimaanishi hatatongozwa, ataendelea kutongozwa kama kawaida
 
Narudia tena ndoa ni utumwa mkubwa saaana, broo tafuteni tu watoto Lakini tusioe kabisa.
Jamaa yangu mmoja kafunga ndoa mwaka Juzi tena kwa mbwembwe nyingii saaana, Lakini jana kakuta sms kutoka kwa mke wake "akichat" na Mwanaume mwingine (hawakufanya mapenzi Lakini walikua wanapangana wakadinyane), kambana mke wake kasema huyo jamaa ni classmate wake huko mikoani so wamekutana mkoa Mwingine baada ya miaka mingi ndio wakapeana namba.

Msela yupo na stress nyingii mno, kamwambia mke wake aondoke arudi kwao mwanamke amegoma hataki kuondoka jamaa anawaza afanyaje? Maana Kila akimuona mwanamke wake anawaza kufanya kitu kibaya mno, na jinsi wanawake walivyo kagoma kabisa kuondoka kamwambia "wewe kama unanipiga wewe nipige Lakini siondoki" mshikaji ananiambia anataka aondoke Kabisa apotee aende mkoa Mwingine akaanze maisha. kwa sababu sijaoa nikakosa Cha kumshauri kabisa, Lakini alichonisaidia ni Mimi kuongeza miaka mbele ya kuvuta tu mwanamke kumweka ndani (sio kuoa).....

Waliooa Wana stress nyingii mno. Just imagine unakutana na mwanamke kalelewa katika mazingira yao na wewe umelelewa katika mazingira yenu, ukitaka kumbadilisha tabia Hapo ndani lazima moto uwake.
Kijana USIOE ukioa utakutana na vingi vya ajabu, ukikutana na mwanamke anapenda kuchat USIOE, ukikuta mwanamke anao marafiki wa kiume USIOE (broo hakunaga urafiki wa Mwanaume na mwanamke ataliwa tu), ukikutana na mwanamke anaejifanya charming saana anazoeleka na wanaume kihurahisi USIOE , Ukiwa na Mwanamke anapenda kuvaa nguo za kubana saaana kwa ajili ya ku_impress mtu USIOE. SASA WEWE JIFANYE MKAIDI.

NDOA ni utapeli tu, unamleta mwanamke ndani kula Hela yako na Bado akufanyie kiburi, just imagine ujaoa na unaingiza kipato Cha 800k na kuendelea, hayo maraha yake yakoje mzee? Yaani kazi yako ni kwenda vacation, kula maisha kufanya unalolitaka bila kuulizwa na mtu Wala stress na kitu furaha iliyoje? Ukipata likizo nenda sehemu ambayo hujawahi kufika furahia maisha.

Ukioa utaweza kufanya hayo?...kwanza ndani ya miezi 6 tu ya ndoa utapigwa wimbi la stress mpaka unyonyoke kama kuku😀😀


MWISHO!
WANAWAKE WAZURI BADO WAPO NA WENYE HESHIMA RUDI KWA WAZEE WAKUTAFUTIE MKE KIJIJINI KWENU.
Kama amegongewa kwani wanawake wameisha atafute mwingine kwani wanawake wameisha, kwa sasahivi hatuna wanaume bali tuna wanaume suruali

Nyie ndo wale ukipitia changamoto ngumu kwenye maisha mnajinyonga
 
Mimi nipo kwenye ndoa na ninapambana bila kuchoka nichomoke kwenye ndoa kutokana na mambo ya ndani ya ndoa yalivyo.

Nilikuwa kimya nasoma maoni ya wanaokataa ndoa na wanaoipa chapuo ndoa.

Hoja yangu imebase kwenye mantiki zolizowekwa na sheria. Sheria ya ndoa ya Tanzania inapeleka hasara kubwa kwa wanaume na kumfaidisha sana mwanamke.

  1. Sheria ya ndoa inamtaka mwanaume kumtunza mke wakati wote wawapo kwenye ndoa
  2. Sheria ya ndoa inammilikisha mwanamke mali za mwanaume za ndani ya ndoa. Hapa maana yake jasho la mwanaume linagawanywa kuwa jasho la wanandoa wote wakati wa ndoa
  3. Endapo wakaamua kutalikiana, mwanaume hupewa gawio lisiloakisi jasho lake na mwanamke hupata gawiwo zaidi ya jasho lake.
  4. Sheria ya ndoa haimpi jukumu mwanamke ndani ya ndoa bali majukumu.yote anapewa.mwanamume
KUna vitu vingi havijakaa sawa kwenye ndoa ambavyo vinawasababisha vijana kuwa bold and clear kukataa ndoa.


Tuzungumze maboresho ya sheria ya ndoa ndipo vijana waanze kurejea ndoani.

Mie.mwenyewe nataka leo kesho.kutemana na mwanandoa mwenzangu..
 
Unapinga ndoa then unapromote nini? Ushoga au unapinga ndoa na huna suluhu yake?

Kweli ndoa sio kwa kila mtu lakini usije na mabango yako hapa kupinga kusudi la Mungu, unataka tuwe na kizazi gani kisicho na wazazi wote wa kuwalea?
 
Unapinga ndoa then unapromote nini? Ushoga au unapinga ndoa na huna suluhu yake?

Kweli ndoa sio kwa kila mtu lakini usije na mabango yako hapa kupinga kusudi la Mungu, unataka tuwe na kizazi gani kisicho na wazazi wote wa kuwalea?
😅
 
Back
Top Bottom