Walisamaki
Senior Member
- Nov 28, 2022
- 199
- 324
Hakuna cha peke yako .wote tunashea cha muhimu ni kuwa na uvumilivu na kutokuwa na jazba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu hawaelewi ukiwa na mke haimaanishi hatatongozwa, ataendelea kutongozwa kama kawaidaHivi nyie wakati wazee wa zamani wanatoka Safar na kutofika kwake Kwanza na kutuma koti nyumbani mlifikiri ni Wajinga?
Wanajua lolote laweza tokea na hawakutaka kukutana nayo
Sasa nyie kinachowafanya mpekue Simu za wake zenu mlitarajia nini?
Sio kweliAsilimia kubwa Hawa mabinti wa siku hizi ni walewale tu
Wakati mwingine huwa stress tunazitaka wenyewe Tu chiefWatu hawaelewi ukiwa na mke haimaanishi hatatongozwa, ataendelea kutongozwa kama kawaida
Kama amegongewa kwani wanawake wameisha atafute mwingine kwani wanawake wameisha, kwa sasahivi hatuna wanaume bali tuna wanaume surualiNarudia tena ndoa ni utumwa mkubwa saaana, broo tafuteni tu watoto Lakini tusioe kabisa.
Jamaa yangu mmoja kafunga ndoa mwaka Juzi tena kwa mbwembwe nyingii saaana, Lakini jana kakuta sms kutoka kwa mke wake "akichat" na Mwanaume mwingine (hawakufanya mapenzi Lakini walikua wanapangana wakadinyane), kambana mke wake kasema huyo jamaa ni classmate wake huko mikoani so wamekutana mkoa Mwingine baada ya miaka mingi ndio wakapeana namba.
Msela yupo na stress nyingii mno, kamwambia mke wake aondoke arudi kwao mwanamke amegoma hataki kuondoka jamaa anawaza afanyaje? Maana Kila akimuona mwanamke wake anawaza kufanya kitu kibaya mno, na jinsi wanawake walivyo kagoma kabisa kuondoka kamwambia "wewe kama unanipiga wewe nipige Lakini siondoki" mshikaji ananiambia anataka aondoke Kabisa apotee aende mkoa Mwingine akaanze maisha. kwa sababu sijaoa nikakosa Cha kumshauri kabisa, Lakini alichonisaidia ni Mimi kuongeza miaka mbele ya kuvuta tu mwanamke kumweka ndani (sio kuoa).....
Waliooa Wana stress nyingii mno. Just imagine unakutana na mwanamke kalelewa katika mazingira yao na wewe umelelewa katika mazingira yenu, ukitaka kumbadilisha tabia Hapo ndani lazima moto uwake.
Kijana USIOE ukioa utakutana na vingi vya ajabu, ukikutana na mwanamke anapenda kuchat USIOE, ukikuta mwanamke anao marafiki wa kiume USIOE (broo hakunaga urafiki wa Mwanaume na mwanamke ataliwa tu), ukikutana na mwanamke anaejifanya charming saana anazoeleka na wanaume kihurahisi USIOE , Ukiwa na Mwanamke anapenda kuvaa nguo za kubana saaana kwa ajili ya ku_impress mtu USIOE. SASA WEWE JIFANYE MKAIDI.
NDOA ni utapeli tu, unamleta mwanamke ndani kula Hela yako na Bado akufanyie kiburi, just imagine ujaoa na unaingiza kipato Cha 800k na kuendelea, hayo maraha yake yakoje mzee? Yaani kazi yako ni kwenda vacation, kula maisha kufanya unalolitaka bila kuulizwa na mtu Wala stress na kitu furaha iliyoje? Ukipata likizo nenda sehemu ambayo hujawahi kufika furahia maisha.
Ukioa utaweza kufanya hayo?...kwanza ndani ya miezi 6 tu ya ndoa utapigwa wimbi la stress mpaka unyonyoke kama kuku😀😀
MWISHO!
WANAWAKE WAZURI BADO WAPO NA WENYE HESHIMA RUDI KWA WAZEE WAKUTAFUTIE MKE KIJIJINI KWENU.
Bora sisi tunaokiri udhaifu ili kupelekea maboresho na mabadilikoMnaopinga ndoa ni dhaifu, waoga wa changamoto, mmeoa au mnadate vimeo...
Bora sisi tunaokiri udhaifu ili kupelekea maboresho na mabadiliko
Soma content uje na hojaSio kukiri udhaifu pekee, namaanisha ni dhaifu yaani kama ulemavu vile na hakuna namna mnasaidika...
Fact.Bora sisi tunaokiri udhaifu ili kupelekea maboresho na mabadiliko
😅Unapinga ndoa then unapromote nini? Ushoga au unapinga ndoa na huna suluhu yake?
Kweli ndoa sio kwa kila mtu lakini usije na mabango yako hapa kupinga kusudi la Mungu, unataka tuwe na kizazi gani kisicho na wazazi wote wa kuwalea?