Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Hii ipo mahususi kwa sisi wakataa ndoa nin???[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Screenshot_2023-02-23_130403.jpg
 
NDOA ni kwaajili ya wanaume dhaifu wasioweza kuishi wenyewe na kujitegemea, mwisho wa siku wanapata sonona wanakufa mapema.

Embu fikiria hoja kama usipooa eti uzeeni utateseka hutapata wakukuhudumia, sijui wapenda ndoa huwa wanawaza nini.

Fikiria tu unakutana na mwanamke mtu mzima, unamuoa, unaanza kuishi kwa wasi wasi akicheka na mwanaume unahisi hajiheshimu atakuwa analiwa [emoji23][emoji23] upuuzi tu.

Itokee mkeo huyo akaliwa na jamii ikajua, mzigo woote unatupiwa wewe mwanaume unaonekana bwege mzembe, wakati kaamua kuliwa yeye kwa starehe zake.

Mliooa komaeni na tabu yenu, tunajua mnatamani kuwa kama sisi ila mnaogopa wakwe na wake zenu. [emoji23][emoji23]
Huu upuuzi wa eti unaogopa wazazi na jamii watakuonaje wakati ukifa wanakuja kukuzika ni ujinga.
 
1. KATAA NDOA ( HII KITU NI SAFI SANA)
2. KATAA KUNUNUA MALAYA
3. KATAA NEGOTIATION NA MASHOGA
4. KATAA KUANZISHA MAHUSIANO NA SINGLE MATHER/SINGLE MATHER PROMAX
5. KATAA KUTEMBEA NA WAKE ZA WATU
6. KATA KUFANYA MASTURBATION
7. KATAA KUANZISHA MAHUSIANO NA WACHEZA NGOMA, VIGODORO NA WATU WA SHUHURI(MADERA WACHEZA UCHI)
8. KATAA KUTUMA NAURI NA PESA ZA SALON, ISIPOKUWA KAMA NA YEYE ANATUMA NA YA KUTOLEA
9. KATAA KUONGEA SANA, KUJIBISHANA NA WANAWAKE
10. KATAA KUWATAFUTA WATU, WASIO KUTAFUTA
11. KATAA KUANZISHA MAHUSIANO NA WAVAA VIPINI NA VIKUKU, BREACH,SIKIO MOJA, HERENI 6, WAPIGA TATOO,
12. KATAA KUANZISHA MAHUSIANO NA WANAWAKE WASIO JISHUGHULISHA, MIZIGO PROMAX
13. KATAA KUSOMESHA MPENZI, MKE
14. KATAA KUJIBEMBELEZA SANA, KWA WANAWAKE ( TAFUTA PESA)
15. KATAA KUBEBA POCHI YA MWANAMKE NJIANI NI USALITI WA CHAMA
16. MWANAMKE AKIKUACHA, HAKUNA KURUDI TENA, KATAA UBWEGE

NI kupiga kazi, tafuta pesa, tafuta kibunda, wakumbuke wazazi wako, kula vizuri, fanya mazoezi, tembelea Mbuga za wanyama, Mrudie Mungu wako,nunua asset za viwanja na mashamba, anzisha biashara zako, weka mbali ndoa, weka mbali wanawake hawa sio ndugu zako wapende watoto wako.
 
HER PAST BRO,
Huwa tunatizama historia yake bro
narudi wanaume huwa tunajali historia ya mwanamke hatujali kesho , hatujali atakuja kuwa tajir au nin!

wanawake huwa hawajali ulidate na nani body count yako ipoje, they don't give a damn about your excellent track record , your past behaviour mean nothing to her THEY ONLY BASE ON CURRENT ENERGY.

Her past will always come back and haunt you.

Her past always comeback. She will repeat it again . Is how you react to it thats the difference
 
Mkuu sema yote ila usifike mahali ukasema tukatae papuchu.
 
Ni habari za kwel kabisa, toka october nilimaliza jambo hilo. Namshukuru Mungu haikuwa rahisi
Hongera sana aisee.

Nami nataka nijitose japo ni kama nimechelewa kidogo. I think I have found the right person labda aje anibadilikie huku huku ndani....I am ready to give it my all and everything...

Mungu Yupo na Atubariki sisi ambao angalau tunajaribu kutimiza kusudi lake....[emoji1545]
 
Hongera sana aisee.

Nami nataka nijaribu japo ni kama nimechelewa kidogo. I think I have found the right person labda aje anibadilikie huku huku ndani....I am ready to give it my all and everything...

Mungu Yupo na Atubariki sisi ambao angalau tunajaribu kutimiza kusudi lake....[emoji1545]
Amen. Mungu yupo upande wetu mkuu, hujachelewa huenda ndio yakawa majira yako
 
Back
Top Bottom