Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Nina usinga yeyote mjinga mjinga anayejaribu kichakata mke lazima awe na matako laini laini

Mke wa mtu sumu chunga sana🤣
😂😂😂😂 Utajua sasa sisi huku bible tu plus kukupaka wese utashushia water la mwamposa
Naam,, mwamba huyu hapa [emoji4] kikosi kinazidi kukua tu.
Kikosi kinapanukaaaaa tu
Naomba kuuliza
Hivi ukitaka ku-reply watu wengi kama hv kwa mara moja kama ulivofanya hapa unafanyeje fanyeje?
Kama unatumia web au ile app mpya kwenye kila message unayoona bonyeza +quote baada ya kubonyeza kwa message zote ulizoona unataka kureply rudi chini sehemu ya kuandika reply bonyeza insert quote kisha insert baada ya hapo unajibu moja moja unareply

Message==reply==comment;
Utakuwa walewale. Pole
Hehehe et walewale poleeeee
Unaandika kisha unabonyeza Reply kwa kila moja...

Km hivi hapo umeona lakini?

Hivi km hivi si unaona?
😂😂😂 Mkuu hivyo ni kupoteza mda huwezi quote message nyingi kwa njia hiyo
Mtajiunga wengi kwa chama ni swala la muda tu
Kabisaaaa mkuu
NDOA NI UTAPELI KAMA WA QNET TU KATAA KWA MOYO WOTE wanawake washakua wangese siku hizi tamaa mbele kujikuta kina kim kardashian wanataka mapenz ya wakorea wakat tuko TZ aisee kwa mliioa miaka ya 80 huko hongera kwenu ila kuanzia 90 huku usijaribu KATAA NDOA KATAA NDOA NASEMAJEEE KATAA NDOA NASEMAJEE KATAA WANAWAKE ZENU TUNAWALA MNO NA WANAWASEMA VIBAYA SANA
Kataaaa ndooooaaaa
 
Mungu awaponye vijana wetu na mawazo mabaya kama haya......mmeibuka siku za karibuni na thread za kijinga sana...Wazazi wenu wasingeoa mngepatikanaje.....
 
Hiki ni kizazi cha irresponsible youth , vijana wanao BET, wavivu, wala chips kachumbali, wasiojua maisha ni nini?

Imagine kijana amechukua SIMU kitu cha kwanza anataka kutom** mke wa mtu. This is the reason cars, computers, phones etc are made in China na Mkongo unatengenezwa Tanzania.
 
Ewe mwanaume mbishi mbishi ambae hutaki kusikia.. nakuambia hivi oa alafu tukugongee mke wako na tukusaidie kumjaza mimba na kumzalisha ili akili ikukae sawa ....

Sasa endelea kushupaza shingo tutakuchapia mpaka ujue kwanini tunasema wanawake ni mapepo

Shauri yenu waoaji...
Ukute pimbi alieandika hivi nae katoka kwenye hiyohiyo ndoa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mungu awaponye vijana wetu na mawazo mabaya kama haya......mmeibuka siku za karibuni na thread za kijinga sana...Wazazi wenu wasingeoa mngepatikanaje.....
Aliyekuka-ririsha mtoto anapatikana kwenye ndoa tu ni nani uyo???
 
Sasa ninachoshIndwa kuelewa, kwanini umfanyie mtu kitu ambacho hupendi kufanyiwa. Kwanini ulaumu kitu ambacho wewe mwenyewe ni chanzo cha kukiharibu. Unajua it's one way kumsema mwanamke kuwa ni emotional beings hivyo mawazo yao yamegubikwa na hisia ila ni jambo la hatari kusema wewe mwanaume ambaye unajiita kichwa kwa familia kufanya mawazo yanayogubikwa na hisia. Yaani kipofu anataka kumuongoza kipofu mwenziwe.

Unajua wanaume tumejawa na ujinga mwingi sana kipindi hichi kiasi ambacho wanawake wengi wamewavuka wanaume wengi kwamaendeleo na maono. Sijui, ila the reverse psychology haifanyi kazi hivyo maana in the long run unamuangamiza mwanaume mwenzio na kizazi kijacho. Tunawaza sana mapenzi vijana kuliko hata hao wanawake wenyewe wanavyoyawaza.

It's like tumegeuka jinsia, wanaume kuwa wanawake na wanawake kuwa wanaume. Mwanamke ameelimika na akaacha vijitabia vya kugombania na kukomoana kisa mwanaume, chakushangaza sisi wanaume ndio tunaanza. I don't know, ila nafikiri wenzetu wanasonga mbele sisi tunarudi nyuma.

Anyway it's your life, ila mwanaume hujivunia alichowaachia watoto wake ikiwemo mali elimi navinginevyo nasi wanawake wengi.
 
Back
Top Bottom