Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Maana ya Ndoa​

Ndoa ni muunganiko kati ya mwanamume na mwanamke, walio amua kwa ridhaa yao wenyewe kuishi pamoja kama mke na mume mpaka mwisho wa maisha yao ya ndoa.

Aina za ndoa kwa mujibu wa sheria
Kuna aina mbili tu za ndoa zinazotambulika na sheria ya ndoa Tanzania
  • Ndoa ya mke mmoja na mume mmoja tu.
  • Ndoa ya wake wengi.
Ndoa hizo zinaweza kusherehekewa kufuatana na misingi na taratibu za kidini, kimila au kiserekali, kushuhudiwa na watu wasiopungua wawili na kusajiliwa kwa mujibu wa sheria.

Hatua za kuchukua kabla ya ndoa kufungwa
  • Lazima taarifa ya nia ya kufunga ndoa itolewe siku 21 kabla ya ndoa kufungwa, kama kutakuwa na mwenye pingamizi budi litolewe itoe kabla ya ndoa kufungwa
  • Majina ya wale wanaotarajia kufunga ndoa, umri, majina ya wazazi wao na mahali wanapoishi yatajwe.
  • Tamko kwamba wanaotarajia kufunga ndoa hawana uhusiano unaokatazwa kisheria kufunga ndoa
KUSAJILI NDOA
Ndoa inaweza kufungwa Kiserikali au kwa madhehebu ya Kikristo au Kiislam au kufuatana na mila na desturi za wale wanaofunga ndoa.
Msajili wa ndoa atatoa cheti cha ndoa. Kila Ndoa inapofungwa lazima iwe na mashahidi wawili

Mambo ambayo sheria ya ndoa inakataza katika suala zima la kuoa au kuolewa
  • Mwanamke na au mwanaume kuolewa/kuoa bila ridhaa yake mwenyewe
  • Mwanamke na mwanaume wenye undugu wa damu kuoana
  • Mwanamke na mwanaume kuoana kabla ya kutimiza umri unaoruhusiwa kisheria (kwa mwanaume miaka 18 na kwa mwanamke miaka 18 au 15 kwa idhini ya wazazi/mlezi wake)
  • Kuoana watu wa jinsia moja
  • Mwanamke na mwanaume kutaka kuoana kwa mkataba wa kipindi maalum.
Haki za mume na mke katika ndoa
  • Wote wana haki ya kumiliki mali kama nyumba, shamba n.k. kwa majina yao binafsi;
  • Wote wana haki ya kutoa idhini katika uuzaji au kwa pamoja kuweka dhamana mali yoyote ya familia;
  • Wote wana haki ya kuishi katika nyumba ya familia iwapo mume/mke amemkimbia;
  • Mke ana haki ya kupewa matunzo yake na ya watoto wakati wa ndoa au iwapo mume amemkimbia, wameachana kwa amri ya mahakama. Na mume ana haki ya kupewa matunzo iwapo ana ulemavu hawezi kujiingizia kipato kutokana na ulemavu au ugonjwa wake;
  • Wote wana haki ya kutokupigwa na au kufanyiwa ukatili wa aina yoyote;
  • Wote wana haki ya kupeana unyumba;
  • Wote wana haki ya kutumia mali ya ndoa;
  • Wote wana haki kuomba amri ya talaka.
Ukomo wa ndoa Ukomo wa ndoa uko wa aina mbili:
  • Kifo cha mwanandoa mmoja wapo
  • Talaka ambayo imetolewa na Mahakama pekee pale inapojiridhisha kwamba kuna sababu ya msingi kufanya hivyo.
Baraza la usuluhishi la Ndoa
Baraza la usuluhishi la Ndoa, ni baraza lililoanzisha na kifungu 102 cha Sheria ya Ndoa ya mwaka 1971, sura ya 29 kama sheria zilizopitiwa mwaka 2002, kwa madhumuni ya kusuluhisha wanandoa ambao wanaingia kwenye migogoro ya Ndoa. Kazi za Baraza la Usuluhishi la Ndoa:-
  • Kusuluhisha Wanandoa walioko kwenye Ndoa baada ya kupokea lalamiko toka kwa mmoja wapo wa Wanandoa
  • Kutoa hati maalum kuthibitisha kuwa suluhu imeshindikana na kuelekeza wanandoa kwenda Mahakamani kwa amri zaidi.
MUHIMU: Mahakama peke yake ndiyo ina mamlaka ya kutoa amri ya kutengana au talaka
Sababu zinazopelekea au kuishawishi mahakama kuvunja ndoa:-
  • Uzinzi kati ya wanandoa
  • Ukatili kati ya wanandoa au watoto wa ndoa
  • Dharau au kupuuza kulikokidhiri dhidi ya mwenzi
  • Kumtelekeza mwenzi kwa zaidi ya miaka mitatu Pale mwenzi anapofungwa kifungo cha maisha au kwa kipindi kisicho pungua miaka miaka mitano
  • Ikiwa mwenzi ameugua ugonjwa wa akili na imedhibitishwa na daktari kwamba hakuna uwezekano wa kupona.
  • Kubadili dini baada ya ndoa kufungwa pale wanandoa wote walikuwa wakifuata imani ya dini moja.
Haki za wanandoa zinazoambatana na amri ya talaka
  • Mgawanyo wa mali za ndoa /familia
  • Matunzo ya mke Hifadhi na matunzo ya watoto
  • Kizuizi cha kutobugudhiwa
  • Kuoa/Kuolewa tena
  • Fidia ya uzinzi
  • Gharama za kuendesha Shauri la Talaka
Haki ya Mgawanyo wa mali za familia/ ndoa Mali yoyote ambayo imepatikana wakati wa uhai wa ndoa na kwa nguvu na au machango wa pamoja wa wanandoa.

Iwapo mali iliyopatikana na mwanandoa mmoja wapo kabla ya ndoa au kwa nguvu zake mwenyewe lakini imeboresha/imetunzwa na mwanandoa mwingine mali hiyo itatambulika kama mali ya ndoa.

Lakini kama kuna mali yoyote ambayo mwanandoa mmoja amempa mwanandoa mwenzake kama zawadi, mali hiyo itakuwa ya yule aliyepewa pekee.

Aina za mchango
Kutekeleza kazi nyumbani hasa kutunza familia; mfano kuosha vyombo, kupika, kufua nguo, kubeba maji na kazi zingine zinazofanana na hizo kwa maslahi ya familia.

Kutunza mali za ndoa: mfano kufyeka, kulima, kuvuna shamba, kufanya marekebisho ya mali za ndoa kwa maslahi ya familia.

Mchango wa fedha wa mwanandoa katika kununua mali.

Haki ya Matunzo ya mwanandoa
Jukumu la kutoa matunzo kwa mke na watoto ni la mume, jukumu hilo litatekelezwa wakati wa uhai wa ndoa na baada ya talaka.

Haki ya Hifadhi na matunzo ya watoto
Hifadhi ya watoto hutolewa kwa mume au mke au mtu baki (mlezi) hasa kwa kuzingatia ustawi na maslahi ya wale watoto. Zaidi ya hayo, mahakama pia inaweza kuzingatia yafuatayo:

Umri wa wale watoto, mfano, watoto walio chini ya miaka saba kipaumbele cha hifadhi hupewa mama mzazi; labda kama kutakuwa na sababu za msingi za kuto fanya hivyo. Mfano kama mama mzazi ana matatizo ya kiakili, anaishi katika mazingira hatarishi.

Mazingira ya mahali watakapoishi watoto, mfano, kama mazingira ya upande mmoja ni hatarishi kwa ustawi wa mtoto, basi haki ya hifadhi atapewa mzazi mwingine bila kujali umri.

Matakwa ya wazazi wa mtoto nani kati yao angependa kupewa hifadhi ya watoto Mila na desturi za jamii ambayo wanandoa wametokea.

Kama mtoto anaumri zaidi ya miaka saba na ana uelewa wa kutoa mapendekezo yake, basi matakwa/maoni yake yatasikilizwa zaidi.

Haki ya hifadhi ya mtoto haimnyimi mzazi mwenza haki ya kumuona na au kumtembelea mtoto/watoto. Haki ya hifadhi ya mtoto haiondowi jukumu la baba kutoa matunzo.
images

----------
Baadhi ya hoja za wanaokataa ndoa
  • Ndoa ni utumwa
  • Ndoa ni kitega uchumi kwa wanawake
  • Ongezeke la usaliti kwenye ndoa
  • Ndoa huondoa uhuru binafsi wa mtu
  • Ndoa ni utapeli
==========

Wajumbeeee salama?

Ni yuleyule Mfichua maovu ili awanusuru vijana na hili JANGA la Ndoa.

Si mlishaambiwa ndoa NDOANO na MSIOE? Ila mmekuwa WABISHI..

Kwa ukweli halisi bila kuongeza Wala Kupunguza naomba kuongea na wewe ambaye .

1. Mkeo ni askari magereza anasoma chuo Iringa na wewe ni mwalimu Songea. Mkeo umempa ruhusa ya kusoma, akaishi off campus. Sasa huko ghetoni kwake kuna baharia anajilalia kama yeye ndio katoa mahari.

2. Mkeo ni mwalimu ndani ya moja ya wilaya mkoa wa Songwe, mkeo ni mweupe na anashape fulani amaizing. Basi Kuna kijana ni mtendaji wa kijiji kimoja yupo ndani ya kata hiyo hiyo anayofundisha mkeo. Baharia anasugua mbususu ya mkeo kama kaoa yeye.

3. Mkeo anafanyia kazi moja ya chuo Iringa, na wewe upo kazini Sumbawanga. Basi huko Iringa huko raia wanampindukia balaa na mkeo.

4. Mkeo ni askari magereza (rafiki wa 01) ambae anasoma chuo kimoja na 01. Na wewe mwanaume ni mwanajeshi JWTZ huko Morogoro. Yaaani baharia pamoja na kuwa una vaa magwanda yanayo ogopesha ila raia wanachomfanya mkeo huko Iringa, Dah ni machungu sanaa.

5. Mkeo anafanya Kazi private company ya kilimo huko Mngeta (Morogoro >> Ifakara ndani ndani hukoo) na wewe unaishi Morogoro mjini. Basi bana Kuna mabosi wa kampuni wanajilia kama wao ndio wamemuoa.

6. Mkeo ni mwalimu huko Iringa, Kilolo ndani ndani huko na wewe upo sijui wapi. Aisee mabaharia wanaruka nae hasaa. Na mkeo ana bahasha wake mtu mzima hasa.

Mkeo anasemaga "Yule Mzee nimpeleke wapi mi nataka pesa zake tu". Basi bana mkeo hua anasafiri kutoka Iringa mpaka Dodoma ili akakutane na huyo babu. Mkeo anatoa utamu, babu anatoa pesa.

7. Mkeo ni Nesi ndani ya Songwe na wewe ni mwalimu Tabora. Bana eeh Nesi bana anatibu mpaka visivyotibika huko.

7. Mkeo ni mwalimu ajira mpya za juzi ndani mkoa uliokaribu na mkoa wa Mbeya. Sasa bana mkeo kaolewa huko, Kuna baharia alimpokea na kamfanya mkewe.

8. Mkeo ni HR, mweusi na ana chura fulani hivi amaizing. Wewe ni muuza magodoro huko mjini ya wilaya aliyopo mkeo kama HR wa halmashauri. Bana eeh huko kazini mabaharia nao Wana mHR chumbani.

9. Mkeo ni mfanyakazi bandarini Tanga na wewe upo Dar. Aisee wasambaa wanaenda nae sawaa hasaaa.

10. Mkeo ana duka kubwaa Iringa mjini na wewe unaishi mafinga unafanya Kazi kampuni ya simu. Bana bana mabaharia huwa wanachangia sanaa mtaji pale.

11. Mkeo ni mama mchungaji. Ni mweupe na mzuri hasaa. Anasoma uchungaji moja ya chuo hapa nchini. Aisee Kuna raia ni mwanafunzi mmoja wapo hapo Chuoni huwa wanakemea sanaa nae mapepo chumbani.

12. Mkeo ni engineer na kapata ajira juzi tu. Aisee mkuu wa Idara ya ujenzi (Engineer mwenzake) kamuoa kabisaaa.

13. Mmmmh ni wengine aiseee ni wengi sanaaaa. Nimetembea sanaa na nimejionea mengii wafanyayo wake zenu walio mbali na upeo wa macho yenu. Hawa ndio niliokutana nao kwenye kuzurula kwangu na wengine nimewasahau.

Nachotaka kusema ni kwamba ""Wewe unayeishi mbali na mkeo, aiseee mabaharia A.K.A wakurungwa wanaruka nae hasaa""

Mabaharia hawana hurumaa kabisa na zile laki kadhaa wengine mpaka milioni huko mlizotoa za mahari.

Wao wanaruka nae bureee.

Note:-
1. Ukiamua kuoa hebu kaa na mkeo ndani ya paa moja.

2. Kama wote ni wafanyakazi basi lazima mmoja akubali kuacha Kazi ili kulea hiyo ndoa. Vinginevyo mwanaume mwenzangu utasaidiwa sanaaa.

Na ushauri uliomkuu ni kwamba...

ACHA KUOA KABISA, MTAKUFA KWA MAWAZO NA MATESO YA NAFSI.

Nikutonye kitu: Nimekua na safiri sanaa kununua mpunga mikoa ya Moro, Mbeya na Songwe. Sasa ipo siku nitawaletea NYUZI ya wake zenu wanayoyafanya tunapokua nao tukinunua mpunga.

Aisee wanachofanya na huku mmewaoa tena kwa ndoa halali dah sina la kusema zaidi ya ""Mungu saidia ndoa za hawa mabaharia wenzangu""

Halafu msisahau kutafuta hela; Yes money can't buy everything, ila HAKIKISHA una pesa nyingi kabla hujaropoka huu ujinga..!!!!

#YNWA

Pia soma: Mjadala kwa wanaokubali kuoa (Ndoa)
Kuwa shoga uepukane na hayo yote.
 
Sifa za Mke Bora (Kielelezo)
Maswali:
SWALI:






Mimi ni kijana ninaishi Zanzibar. Sina suala ila nimefikia umri wa kutaka kuowa hivyo naomba munitumie sifa sahihi na vigezo vya mke bora katika uislam. Najua mtume katuamrisha kuwa tuangalie vitu vinne, kama mali, uzuri, ukoo au familia pamoja na dini. Ila naomba munielimishe sifa nyengine muhim za kuangalia kwan unapochagua mchumba unatakiwa kuwa makini kwan mke ndie anaetangeneza familia na anae harib familia. Pia wake zetu ni mtihan kwetu hivyo ili kuweza kujikinga na mtihan huu ningepend munipatie siza hizo.




Ahsanten, Nakutakieni kazi njema na inshhaallah awalipe ujira ulio mwema kwa jihan yenu.

Assallam alaikum warrahmatullahi wabarakat







JIBU:




Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘Alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwisho.







Shukrani zetu za dhati kwa swali lako kuhusu sifa zinazohitajika katika kuchagua mke. Uislamu ikiwa ndiyo Dini ya kimaumbile imetupatia muongozo katika kila nyanja ya maisha pamoja na kuchagua mke, ambaye ni mshirika wa mwanaume wa maisha. Miongoni mwa sifa zinazohitajika katika kuchagua mke ni:




Mwanamke kuwa na Dini, tabia na maadili mema. Ama mas-ala ya Dini ni ile Hadiyth ya Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ‘Alayhi wa aalihi wa sallam) aliyosema: Chagua mwenye Dini usije ukapata hasara (al-Bukhaariy na Muslim). Dini si ya kinadharia bali imfanye abadilike katika mambo yake yote kama kuwa na tabia njema na maadili mema.



Kumpendeza mume anapomuangalia. Kupendeza na uzuri ni vitu ambavyo kila mwanamme ana kile anachokiona kuwa ni kizuri. Ndiyo nasaha aliyotoa Mtume (Swalla Allaahu ‘Alayhi wa aalihi wa sallam) kwa Mughiyrah bin Shu‘bah (Radhiya Allaahu ‘anhu): Kamwangalie kwali kufanya hivyo kutaleta mapenzi baina yenu (an-Nasaa’iy).



Kuwa ni mwenye kuingiliana na watu na mwenye moyo wa bashasha kabisa. Mafungano ni baina ya familia mbili, yako na yake. Kwa ajili hiyo anatakiwa awe ni mwanamke mwenye kufanya mahusiano na watu wako wa karibu ili kuwe na maendeleo na uhusiano mwema.



Mwenye kuzaa, na hili kama wanavyuoni walivyosema ni kuangalia kizazi cha madada zake na jamaa zake wa karibu



Hata hivyo, muhimu zaidi ni Dini na ikiwa ana sifa nyingine ziwe ni baada ya hiyo sifa ya kwanza.
 
Kuwa shoga uepukane na hayo yote.
Hamnaga hoja zaidi ya matusi?
Kama hukubaliani si "Just agree to disagree"

Nani kakwambia kutomb-a kunahusiana na ndoa?

Isitoshe yule askari wa zenji alikuwa ni Mume wa mtu.

#YNWA
 
Hamnaga hoja zaidi ya matusi?
Kama hukubaliani si "Just agree to disagree"

Nani kakwambia kutomb-a kunahusiana na ndoa?

Isitoshe yule askari wa zenji alikuwa ni Mume wa mtu.

#YNWA
Usipambane na nature hutafanikiwa. Unatakiwa uje na takwimu kwamba. Tangu ujue ndoa ni ngap zimeishi na ngapi zimekufa na kutokana na ndoa tumefanikiwa kupata taasisi ya familia au jamii bora ngap au zimefeli ngapi. Usiige huu ujinga wa wazungu. Wao kwanza wamemkataa Mungu kwenye fahamu zao na kuamini sayansi. Pili wakaanza kupambana na taasisi ya ndoa kwa kukataa utawala wa mwanaume na kujifanya wanaleta haki sawa kitu ambacho kwa asili hakiwezekani. Tatu baada ya kuua taasisi ya familia sasa wamekuja na LGBTQ kuua uzao kabisa. Na ukiwasikiliza nyie wote ni kama mna hoja lakin chanzo ni kumkataa Mungu kuwatawala. Mungu ndie aliyeumba hii dunia na akaweka utaratibu ili tuishi vizur lazima ufuatwe. Sasa watu wanapambana na nature matokeo yake wanatokea masingle mothers kibao. Watoto wanalelewa bila baba. Wengine watoto wa maabara. Broda mtoto kwenye ukuaji asipoisikia sauti ya baba na Mama kwenye ukuaji kisaikolojia hayuko sawa. Huko ulaya Asia na Amerika leo hii serikali zinachangangikiwa watu hawazai kisa nini maisha magumu. Broda Rudi kwenye asili acha mbambamba. Hatuumbi dunia mpya. Ulikuwa watu wako hiv usifikir unavumbua dunia nyingine.
 
Kiasi fulani ni kweli, lakini wangapi wanaishi nao paa moja lakini wanatembeza balaaa?!!hayo mambo sio hesabu kuwa lazima iwe na jibu moja tu, kuna wake wa wapemba hata sokoni hawaendi lakini hapo hapo ndani, kuna watu wanawashughurikia, hapo utasemaje?
Mwanamke anayejitambua na kumthamini mumewe, hawezi kuvua chupi hata aishi mbali na mumewe.

Hao wote ni wale wanawake wasiojiheshimu.
 
Inawezekana kukaa bila.

Hebu google marriage status za matajiri duniani HAWANA MPANGO NA NDOA.

Na waliokua nazo WAMEACHANA NAZO.

Achana na kuoa upunguze matatizo.

#YNWA
Wao ni wao, na sisi ni sisi. Halafu wewe ni wewe.

Kila mmoja na maamuzi yake.
 
Mnajifanya kukataa ndoa baadaye mnataka kubaka,kupiga nyeto na kulawitiwa na kulawiti kizazi Cha nyoka,mwanamume rijaal lazima uwe na mke ,kenge wee
Mke na kuwa na mademu wengi kuna tofauti gani, kwasisi tulioa ukipata chance ya kuwa single usiichezee
 
Mnajifanya kukataa ndoa baadaye mnataka kubaka,kupiga nyeto na kulawitiwa na kulawiti kizazi Cha nyoka,mwanamume rijaal lazima uwe na mke ,kenge wee
Kenge wewe sikia.

Kutomb-a hakuna uhusiano wowote na ndoa mbwa wewe.

Wanaowatomb-a wake zenu Wamewaoa nyau wewe?

#YNWA
 
Sijui vijana mmepatwa na nini? Wengine mko tu mnaingia wazima wazima kwenye kampeni msizojua agenda zake..

Braza due to all respect ...

1. Kwamba waliumizwa na ndoa
2. Wanaoteseka na ndoa
3. Walioteseka na ndoa
4. Wanaumizwa na ndoa
5. Waliofilisika na ndoa

WOTE HAWA HUWAJUI?

Na kwanini wasiwe ni hao wanaopinga ndoa?

#YNWA
 
Back
Top Bottom