Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
Aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
waoaji tupo , sema ndio hivyo hatuna hela na hamtutaki😅[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji15][emoji23][emoji15][emoji15]
Nimecheka Hali!!
Kumbe sie hatoelewi sababu ya wauza vyakula?
Na wengine wanaolewa kwajili ya kuwa wapishi tu,sio upendo?
Haya vipi madobi na dada poa?
Kama mimi napenda nikiwa naoa niwe fully organised nyumba,gari n.k.waoaji tupo , sema ndio hivyo hatuna hela na hamtutaki[emoji28]
Kuna dada m'moja alikuwa mfua nguo, ana mtoto m'moja akawa anapitia nguo za wateja na kufua.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji15][emoji23][emoji15][emoji15]
Nimecheka Hali!!
Kumbe sie hatoelewi sababu ya wauza vyakula?
Na wengine wanaolewa kwajili ya kuwa wapishi tu,sio upendo?
Haya vipi madobi na dada poa?
Wewe sio kazi yako kuheshimu unatakiwa kusema kupenda tu. Unajua maana ya kuheshimu tafsiri yake kwa mwanaume?Kama mimi napenda nikiwa naoa niwe fully organised nyumba,gari n.k.
Kama yupo anayesema tutavipata tukiwa wote karibu tuanze kuijenga family. Kikubwa nitamheshimu na kumpenda.
Heshima ni kwa pande zote za shilingi mkuu.Wewe sio kazi yako kuheshimu unatakiwa kusema kupenda tu. Unajua maana ya kuheshimu tafsiri yake kwa mwanaume?
Huo ndio upumbavu utakaokuponza.....utaona vumbu kijana.....Heshima ni kwa pande zote za shilingi mkuu.
MR. KATAA NDOA nakuunga mkono kwnye hii kampen japo nimeoa na nina watoto wa 2....wote below 5yrs.....kuna ishu (alibahatika kuona sms za mchepuko wng, tena zikiashiria ana ujauzo wang, which is true) itliokea juz Kat,wife akadai anataka tuachane......ila nikatumia janja nying ila ishu iishe ili tulee watoto (japo nilikuwa tayar hata tungeachana) ......maendeleo ya watoto ndio kipngele sabab sitaki kuwaacha wakiwa wadogo hvyo........Baraka ya kuzulumiwa?
#YNWA
Achana nae huyu atakuwa mtu wa upinde anajiita tamuuuWewe sio kazi yako kuheshimu unatakiwa kusema kupenda tu. Unajua maana ya kuheshimu tafsiri yake kwa mwanaume?
Mi Sina makuu mwaya muolewaji nipo.sema nanyi wanaume wengi siku hizi akili hamnawaoaji tupo , sema ndio hivyo hatuna hela na hamtutaki[emoji28]
Imekaa vizuri hiyoKuna dada m'moja alikuwa mfua nguo, ana mtoto m'moja akawa anapitia nguo za wateja na kufua.
Kuna mshikaji akataka huduma zaidi, akataka na kupikiwa na kufanya usafi wa ndani jambo ambalo bi dada alikubali akawa anampikia chakula cha jioni na kumfanyia usafi.
Mwisho wa siku jamaa alihama pale akahamia sehemu nyingine. Cha ajabu yule dada akawa haonekani tena kufanya kazi za kufua za wakazi wa mitaa ile.
Sasa story iliyokuja ni kwamba jamaa aliamua kuchukua mwanamke jumla na mtoto wake akaenda kumuoa na ana ujauzito. Wadau walimuona kata nyingine huko yupo kwenye duka la jamaa ambalo alifungua ndio mkewe anakaba maokoto hapo asizunguke na mambo ya kufuliana na raia.
Kweli kabisa mimi nina 4Nioe halafu itokee nini?
Kilicho kikuu ni kwamba TAFUTA PESA.
Umuoni Dangote na kina Bill gates, na wengine.
Hawajaoa wengine wameziacha ndoa.
Unadhani wanakosa chochote?
#YNWA
Kwa mustakabali wa watoto,MR. KATAA NDOA nakuunga mkono kwnye hii kampen japo nimeoa na nina watoto wa 2....wote below 5yrs.....kuna ishu (alibahatika kuona sms za mchepuko wng, tena zikiashiria ana ujauzo wang, which is true) itliokea juz Kat,wife akadai anataka tuachane......ila nikatumia janja nying ila ishu iishe ili tulee watoto (japo nilikuwa tayar hata tungeachana) ......maendeleo ya watoto ndio kipngele sabab sitaki kuwaacha wakiwa wadogo hvyo........
NB. Ndoa ina 5yrs .........nko 34yrs, she 30
Je kwnye kipengele hcho ww ungefanya nn Mr. Kataa ndoa?!?!
Ndipo nilipo.Kwa mustakabali wa watoto,
Bora kuvumilia japo mauvumilivu yasilete mateso.
#YNWA
Tuwape pole sanaaaaaLeo kuna wanetu waliooa watumishi wa serikali wanachapiwa wake zao Dodoma
Yaani nguo zinakufanya uone ndoa changamoto[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndoa changamoto sana, mfano mdogo tu tu kwenye ndoa kabati langu kubwa kidogo milango 3 lote limejaa nguo zake tu, zangu saivi nimeweka kwenye jaba.