chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 11,541
- 23,999
NANI KAKWAMBIA MWANAMKE ANAPENDA? JUKUMU LA KUPENDA NI LA MWANAUME FULLSTOP.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnanamke hawezi kumheshimu na kumtii mwanume asiyempendaNANI KAKWAMBIA MWANAMKE ANAPENDA? JUKUMU LA KUPENDA NA LA MWANAUME FULLSTOP.
Bora umeamua kuwa mkweli mwanetu. Najua wengi watashupaza mafuvu na kubisha lakini wanaelewa ukweli. Pole sana mkuuNi UKWELI MTUPU! Juzi mwanamke wangu amenikimbia. NDOA NI UTAPELI! UTAPELI! SITAKI KUSIKIA TENA MAMBO YA NDOA. IT IS VERY VERY DANGEROUS. MARRIAGE IS EVIL! NI UPUUZI MTUPU. Ndoa za kweli zilikuwa zamani. Siku hizi ni utapeli tu!
Imeandikwa, mwanamke huwa hapendi anapendwa. Upendo wa kweli wa mwanamke hujengwa taratibu. Cc Leejay49Mwanamke anaweza kumpenda sana mwanaume fulani, lakini kama mwanaume huyo hayupo tayari au anasuasua kumuoa ataolewa na mwanaume aliye tayari kumuoa.
Wazungu wanasema women marry the available men. When it comes to women, they settle for who's ready not who they love.
Huyo mwanamke uliyemuoa sio kwamba anakupenda ni wewe tu ulikuwa na kimbelembele cha kumuoa ulikuwa available man.
Love and marriage is two big gap when it comes to women
Mwanamke kuwa tayari kuolewa nawe sio kwamba anakupenda ni utapeli tu.
Yule mwanaume aliyempenda lakini hakuolewa naye atakuchapia sana mkeo.
Nani kakwambia "waulize wapalestina gaza huko au rwanda na mauaji ya halaiki"Cha peke yako kaburi
Heshimu mawazo ya mtu kama yako YANAVYO HESHIMIWA.Vijana wa hovyo post zenu za hovyo.
Kwa hiyo watu wasioe au?
Harakat za kijinga mnazofanya zinawasaidia nini?
Hii ni kampeni ya kipepo iliyoasisiwa kuzimu Ili kuharibu hiki kizazi....na nyie mmeingia mkenge tu kuiga.NDOA NI UTAPELI