PSL god
JF-Expert Member
- Nov 18, 2023
- 8,435
- 6,476
I'm fine namshukuru Mungu!Nipo mdgo wangu...kwema lakini? πππ
Tunawaombeni msichepuke maofisini mnatuumiza ujue dada angu πππ.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I'm fine namshukuru Mungu!Nipo mdgo wangu...kwema lakini? πππ
Usijali hatuwezi chepuka...halafu ni tabia ya mtu ujue...ππππI'm fine namshukuru Mungu!
Tunawaombeni msichepuke maofisini mnatuumiza ujue dada angu πππ.
Angalia Sasa mwanaume mwenzangu unanitukana kitaalabu.Taarifa za mke wangu unazo ww π au ww ndo mke wangu umekuja kuniandaa kiakili baada ya kulambwa huko nje?
Inasikitisha sanaAngalia Sasa mwanaume mwenzangu unanitukana kitaalabu.
Mzee wangu uhalisia ni kwamba mwanamke ambaye alikuwa na mahusiano kabla ni huyo ni Malaya Tu sababu lazima atatamani mwanaume mwingine.Kwahiyo hatuwezi kubadirisha ukweli kupitia matusi.
Balaa kabisa Mzee wanguInasikitisha sana
The Whole truth. Whole truth!Listen brothers, the harsh truth is, if you spend your life bending over backward, sacrificing everything and putting yourself last for a woman, you are setting yourself up for a world of pain. Cut that bullyshit
If you found her broke leave her to be broke alone, if you found her with nothing leave her the same way you found her.Anataka mwanaume atakaefanya kazi ili yeye aishi maisha rahisi kadili iwezekanavyo, anataka mwanaume atakaemlipia bill zake, mwanaume atakaemmalizia matatizo yake.
Mwanaume huyu mtumwa anapata nini in return? Hakuna chochote ni maangaiko, maumivu na majuto kwa sababu mwanamke uyo haleti thamani yoyote mezani. She bring nothing on the table.
Ukiondoa sex kwenye mahusiano almost wanawake wote hawana cha kingine cha ku-offer
Gharama za maisha kwa mwanamke ambaye yupo single ni kubwa ukilinganisha na akiwa kwenye mahusiano, wakati gharama za maisha kwa mwanaume ambae yupo single ni ndogo ukilinganisha akiwa kwenye mahusiano. Unajua kwanini? Kwa sababu wanaume wengi ni watumwa kwenye mahusiano yao.
Listen brothers, the harsh truth is, if you spend your life bending over backward, sacrificing everything and putting yourself last for a woman, you are setting yourself up for a world of pain. Cut that bullyshit.
Tilia mkazo kuyajenga maisha yako, acha ujinga wa kujiumiza na kujirudisha nyuma kimaendeleo kwa ajiri ya mtu ambae ndani ya sekunde mbili anaweza kusahau sacrifices zako zote endapo atakutana na mwanaume atakaemuwekea kibunda mezani.
Ikiwa haongezi thamani yoyote kwenye maisha yako mchukulie kama kahaba tu wa kupiga na kusepa.
Your energy, your money, your time all of it should be invested in you first. If you found her broke leave her to be broke alone, if you found her with nothing leave her the same way you found her.
Kataa kuwa mtumwa.
MODS Active mbona hii mada mmekuja kuitupa huku wakati havihusiani?Leo watumishi wa serikali tunafanyia kazi nyumbani kwa hiyo ni mwendo wa kuchati tu leo.
Wanasema bata ukimchunguza sana hauwezi kumla.
Imagine umekutana na pisi kali katika mazingira ya kawaida tu ya maisha ila katika kuchunguza mienendo yake ukagundua uchumi wake unategemea zaidi mali za urithi, yaani kwa lugha ngumu mwili wake mwenyewe.
Unaweza kuoa mwanamke wa namna hiyo? Mkienda madhabahuni mkafanya toba si fresh au kuna katabia anaweza asikaache?
Tukumbuke kila mtu ana historia yake, ni kwa kiasi gani unaenda kumchunguza mwenza wako kabla haujaingia katika mahusiano rasmi ya ndoa?