Unamuongelea bi mkubwa wako au sio. Maana huko ndo ulikoona
Nina manzi yangu mmoja alikua akiniambia hivyo anataka mimba maana maumivu ya period yanamchosha, kwa hio usipinge kitu unachokifahamu labda itakua najadiliana na mwanaume aliekaa upande wa wanawake
 
Nina manzi yangu mmoja alikua akiniambia hivyo anataka mimba maana maumivu ya period yanamchosha, kwa hio usipinge kitu unachokifahamu labda itakua najadiliana na mwanaume aliekaa upande wa wanawake
Sasa huyo manzi wako ndo wanawake wote au sio. Mi kutwa huku naona mapunga wanazurula basi niseme wanaume wote ni mapunga
 
Sasa nikikwambia tulikuwa na ugomvi kwa kipindi chote hicho ila tukaamua kuficha ugomvi wetu ili tulee tu watoto wetu utabisha?
 
Sasa huyo manzi wako ndo wanawake wote. Mi kutwa huku naona mapunga wanazurula basi niseme wanaume wote ni mapunga
Hio ni sample specimen na sio yeye tu ni wengi wanasema hivyo jiulize, wanawake mnataka mimba sio ndoa, ndoa ni sehemu ya kuwarahisishia upigaji wenu, mimba tutawapa Ila ndoa sahau
 
Mulezee mshamba huyo

Sijui tunabishana na form 4 leaver hapa
 
Sasa nikikwambia tulikuwa na ugomvi kwa kipindi chote hicho ila tukaamua kuficha ugomvi wetu ili tulee tu watoto wetu utabisha?
Mlee watoto wa nani ? Nyie wanandoa Tyr huwezi kupinga ndoa wakati ndio ulichokifanya.

Ndoa ni nomino.

Kuoa ni kitenzi.

Ni kama kupinga usingizi wakati unasinzia.

Nitaelewa ukibadili heading na kusema unapinga Sheria Mbovu za ndoa na sio kupinga ndoa.
 
Ndio nimekwambia huyo unaeishi NAE Tyr ni mkeo.

Hicho Cheti ni sehemu tu ya ushahidi wa ndoa .
Sasa kwanini watu hufunga ndoa kwa kusaini cheti.., cheti cha nini ilihali miezi sita tayari ni ndoa? Unasaini iki iweje?! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hio ni sample specimen na sio yeye tu ni wengi wanasema hivyo jiulize, wanawake mnataka mimba sio ndoa, ndoa ni sehemu ya kuwarahisishia upigaji wenu, mimba tutawapa Ila ndoa sahau
Kwahiyo unapita kuuliza wanawake walio period wanajiskiaje? We ni vampire?

Mimba mtawapa hao mazombie
Wasiojielewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…