Mjadala kwa wanaokubali kuoa (Ndoa)
Kwahiyo hutaoa ?
Kuishi ni mwanamke si lazima kumuoa.

Kama mmekutana watu wawili mnaopendana, hakuna haja ya ndoa.

Mnaweza kuishi bila ndoa ili mkichokana kila mtu ashike njia yake.

Sio mkichokana mmoja aanze kutaka mali za mwenzake kwa kigezo cha ndoa.
 
Back
Top Bottom