MJADALA: Kwanini Padri Luther aliondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia, na kwanini alijiondoa kanisa Katoliki?

Hapa sasa nazidi kuamini kuwa UIASLAM, nidini isiyo na shaka
Kaka usilete issue ya Uislam hapa, humu ndani kuna wasomi sana wa masuala ya kiimani, hiyo imani itachambuliwa mpaka utakosa mahali pa kushika. Hata hivyo kwenye uislam pia kuna madhehebu hivyo hata wao wanaweza kupitia mvutano kama huu.
 
Mama Maria... Mama wa Mungu utuombee sisi wakosefu.. sasa na saa ya kufa kwetu.....(Naona mmempitisha)

Sasa sijui Yesu alikuja kufanya nini......
 
We kaa kimya kabisa ukusikia mpaka mkulu juzi anasema Rozari ya bikira maria ilimpa ushindi wa Urais!
 
Ivi kale kamstali "Maria mama wa mungu "kanamaanisha nn?
 
[QUOTE="Kituko,

Naweka haya mafungu hapa chini nitaomba uyafafanue maana naona umeyajengea hoja sasa nitakuuliza maswali kutokana na haya mafungu mkuu.



Revelation Chapter 12
1And there appeared a great wonder in heaven; a woman clothed with the sun, and the moon under her feet, and upon her head a crown of twelve stars:

2And she being with child cried, travailing in birth, and pained to be delivered.

3And there appeared another wonder in heaven; and behold a great red dragon, having seven heads and ten horns, and seven crowns upon his heads.

4And his tail drew the third part of the stars of heaven, and did cast them to the earth: and the dragon stood before the woman which was ready to be delivered, for to devour her child as soon as it was born.

5And she brought forth a man child, who was to rule all nations with a rod of iron: and her child was caught up unto God, and to his throne.

6And the woman fled into the wilderness, where she hath a place prepared of God, that they should feed her there a thousand two hundred and threescore days.
 

Man go back to school
 
PUMBA!!!
Historia ya Ukristo huijui...Historia ya Martin Luther huijui....hata KU Google umeshindwa???
 
Hao watoto na Yusifu unaweza wataja..?
Yakobo, Yosefu, Simoni, Yuda na dada zake.
mathayo 13.
53 Yesu alipomaliza kusema mifano hiyo alitoka mahali hapo, 54 akaenda kijijini kwake. Huko akawa anawafundisha watu katika sunagogi hata wakashangaa, wakasema, "Huyu amepata wapi hekima hii na maajabu? 55 Je, huyu si yule mwana wa seremala? Je, mama yake si anaitwa Maria, na ndugu zake si kina Yakobo, Yosefu, Simoni na Yuda? 56 Na dada zake je, si wote wako hapa pamoja nasi? Basi amepata wapi haya yote?" 57 Basi, wakawa na mashaka naye. Lakini Yesu akawaambia, "Nabii hakosi kuheshimiwa, isipokuwa katika nchi yake na nyumbani mwake!" 58 Kwa hiyo, hakutenda miujiza mingi pale kwa sababu ya kutoamini kwao.
 
Martin Luther alishapata cheo cha , 'uaskofu' wakati huo. Dhana kwamba alifuta vitabu 7 napata shida mamlaka hayo aliyapata wapi? Mnyonge mnyonge lakini haki yake mpe
Mkuu Luther hakuwa askofu!!
 
.
*uandishi wako unaonyesha kua huijui historia ya kanisa,,,
kwa mfano huzungumzii sala kwa bikira maria na cheo chake cha umalkia, ubatizo,,, imani, na neno..
Wewe umeenda nje ya topic kabisa. Anayeongelewa ni Martin Luther
 

Pombe imehalalishwa kwenye Biblia lakini kwa kunywa kiasi. Na ndio maana hata nuhu alitoa laana kwa wanae akiwa amekunywa pombe, na laana zikashika. NB: Roman Catholic ni kanisa lilianzishwa na Petro chini ya unabii wa Yesu kuwa juu ya Mwamba huu nitalijenga kanisa, kaburi la Petro liko Vatican
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…