YES,Yesu kazi yake ni kutuombea..?
Biblia IPI Yesu alimwambia petrol??? Kasome tena!!Kwa nini pale msalabani Bwana Yesu alimwambia Petro amuangalie mama yake? Na haikuwa kumwambia Petro mwambie mama akuombee?
Na washawasha!
Mkuu embu tupe na mistari ya biblia tuifate kabisakitabu cha YUDITHI kinamtaja NEBUKADREZA kuwa ni mfalme wa ninawi,,, Kitabu cha TOBITI ni hadithi za kutunga.
Mkuu hayo maandiko usiyatafsiri kwa akili zako na utashi wako! Neno la Mungu lina pumzi ya Mungu ndani yake,hivyo unaposoma neno bila kuwa au kuongozwa na roho mtakatifu ambaye ndo huwa anayafunua na kuyadadavua hayo maandiko utajikuta unalibeba andiko kama lilivyo bila kufahamu linamaanisha nini,Naomba nikukosoe kbsa kwmba warumi (roman) ndio walio waua hao mitume walio kuwa wanasambaza injili ya Yesu kristo alie hai,ndo maana petro alipokamatwa na warumi walitaka kumsulubisha kama yesu lakini yeye akakataa akasulubishwa kichwa chini miguu juu msalabani na wakati kasulubishwa aliendelea kuwahubiria habari njema ya wokovu,sasa nashangaa unanambia ye ndo kaanzisha u katoliki,how?? na nyie warumi ndo mlimtesa??? haya mtume mwningne ni paulo yeye alikatwa kichwa na warumi ili asiendelee kueneza injili!! Hv maandiko huwa hamyaoni??? kama Yesu ndo muanzilishi wa ukatoliki au petro mbona mafundisho yao hamyabebi na kuyatekeleza??? Ni kwann mnabatiza watt wadogo??? wachanga??? na akati mitume wote walipokuwa wanaeneza injili walisema tubuni mkabatizwe katika Jina la Yesu,hata Yesu pia alibatizwa akiwa mtu mzima na baada ya ubatizo akaanza kueneza injili,sasa hao watt mnaowabatiza mnatoa kwnye andiko gani hayo mamlaka ya kubatiza watt wadogo?? je watt wadogo wana dhambi hata watubishwe ndo muwabatize??? maana kutubu ni kujutia na kutamka kwa ukiri lakini nyie hata hao watt wengine hata kuongea hawawezi na hawana ufahamu wa mabaya na mema,then useme kanisa katoliki lilianzishwa na Yesu?? au Petro?? how kwnza Yesu hakuja kuleta madhehebu wala dini.,nna mengi ya kuongea lakini ngoja niishie hapoChimbuko la imani ya Katoliki ni Petro, pale alipoambiwa juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa, fuatilia. Kanisa katoliki lilianzishwa na Yesu
Naweka haya mafungu hapa chini nitaomba uyafafanue maana naona umeyajengea hoja sasa nitakuuliza maswali kutokana na haya mafungu mkuu.
Revelation Chapter 12
1And there appeared a great wonder in heaven; a woman clothed with the sun, and the moon under her feet, and upon her head a crown of twelve stars:
2And she being with child cried, travailing in birth, and pained to be delivered.
3And there appeared another wonder in heaven; and behold a great red dragon, having seven heads and ten horns, and seven crowns upon his heads.
4And his tail drew the third part of the stars of heaven, and did cast them to the earth: and the dragon stood before the woman which was ready to be delivered, for to devour her child as soon as it was born.
5And she brought forth a man child, who was to rule all nations with a rod of iron: and her child was caught up unto God, and to his throne.
6And the woman fled into the wilderness, where she hath a place prepared of God, that they should feed her there a thousand two hundred and threescore days.
Mkuu nataka kujua mambo kadhaa.Kaka nilikuwa mbali, lakini sijajua unataka niseme nini?, mimi naona kila kitu kipo wazi hapo, Kitabu cha ufunuo wala hakina ugumu wa kukilewa unless upate mchungaji anaewachanganya watu kwa kutengeneza interpretation zake binafsi
Hebu niambie unataka kujua nini kwenye hiyo mistari yako ili nikufafanulie
Una matatizo ya akiliKWANINI PADRE Luther ALIFUKUZWA KANISA KATOLIKI? NA KWANINI ALIONDOA BAADHI YA VITABU KWENYE BIBLIA AGANO LA KALE?
Padre Luther alikuwa miongoni mwa Mapdre wenye karama nyingi ndani ya Kanisa katoliki wakati wake, Yeye alikuwa na Madai mengi sana juu ya mapungufu kwa kanisa. Hata hivyo madai yake mengi hayakuwa na msingi wowote.
Moja ya madai yake ilikuwa ni kuondoa kibali cha kwamba baada ya kuungama muumini asipewe stakabadhi ya kuonesha ameungama kwa kuwa kitubio ni siri ya MTU. Hili lilifanyiwa kazi. Mengine ikiwemo kurekebisha mfumo WA sala ya Kanuni ya Imani. Na mambo mengine mengi ambayo alipojibiwa, yeye hakuridhika pamoja na kueleweshwa vya kutosha. Alikuwa ni Great Thinker sana.
Mbaya zaidi alipokuja kusababisha mpaka akajitenga na kanisa ni kitendo cha kuondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia ikiwemo pia kupunguza baadhi ya mistari kwenye vitabu kama cha Esta na Cha Danieli.
Aliondoa vitabu vya Deutrokanoni na vingine baadhi na kuwa jumla ya vitabu 7 vilivyotolewa kwenye Biblia. Na kila kitabu alikuwa na sababu yake aliyoibainisha. Kimsingi alipata wafuasi wengi WA kumuunga mkono hoja yake hasa wale ambao walikuwa wanatafta njia ya kuchuma pesa kiulaini. Na hapo Biblia mpya ilianza yenye Vitabu pungufu.
Na ndio maana Leo watu hawaujui Ukristo vizuri na wanakinzana bila kujua historia ya kanisa. Watumishi wengi WA Mungu hasa HAWA WA kileo wasiojua nhistoria vizuri wao kila kitu wanapinga. Sio kosa lao Bali ni kosa la kutokujua historia ya kanisa.
Matumizi ya Ubani yalipingwa sana, na hapa ilikuwa ni kuondoa idadi ya waelewa. Kutokana na watu wengi walikuwa wamegeuka kama waganga kila mapepo ya kiwakabili walitumia ubani kuyafukuza na yalikimbia, lakini watu walijisahau kusali na kuomba na hata kufika ibadani ikawa nadra maana wanajua kujiponya kuondokana na majini na wachawi. Hapa Padre Luther na wenzake wakapiga marufuku matumizi ya ubani na kuwa sihi wakazanie Neno zaidi.
Hapa walichotakiwa kufanya ni kuliishi Neno la Mungu na wakati WA ibada basi ubani uchomwe kama Mungu alivyo agiza.
Luther na wenzake lengo lao lilikuwa ni biashara hapo baadae na kimsingi mpango huo ulifanikiwa. Na ndio maana mpaka Leo watu wametawaliwa na mfumo WA majini katika maisha yao kwa kuwa wamefungwa akili ya kujitambua na wanaamini maneno ya mdomoni na sio Maandiko ya Biblia kama yanavyosema.
Nimengi ya kujifunza sana Leo hii lakini kwa Leo naishia hapa.
deogratius Nalimi Kisandu.
1. 1. 2017.
KWANINI PADRE Luther ALIFUKUZWA KANISA KATOLIKI? NA KWANINI ALIONDOA BAADHI YA VITABU KWENYE BIBLIA AGANO LA KALE?

Biblia IPI Yesu alimwambia petrol??? Kasome tena!!
amen amen..jibu limejitoshelezaHuna jipya kajipange urudi tena ukiujua ukweli nayo kweli itakuweka huru kweli kweli.
hakika, huyu ndiena utakuwa mpinga kristo
Sasa tatizo liko wapi kufikia trh 31 mwezi wa 10 mwaka huu Rc wanafikia kilele cha muungano wa makanisa yote ya upinzaniKWANINI PADRE Luther ALIFUKUZWA KANISA KATOLIKI? NA KWANINI ALIONDOA BAADHI YA VITABU KWENYE BIBLIA AGANO LA KALE?
Padre Luther alikuwa miongoni mwa Mapdre wenye karama nyingi ndani ya Kanisa katoliki wakati wake, Yeye alikuwa na Madai mengi sana juu ya mapungufu kwa kanisa. Hata hivyo madai yake mengi hayakuwa na msingi wowote.
Moja ya madai yake ilikuwa ni kuondoa kibali cha kwamba baada ya kuungama muumini asipewe stakabadhi ya kuonesha ameungama kwa kuwa kitubio ni siri ya MTU. Hili lilifanyiwa kazi. Mengine ikiwemo kurekebisha mfumo WA sala ya Kanuni ya Imani. Na mambo mengine mengi ambayo alipojibiwa, yeye hakuridhika pamoja na kueleweshwa vya kutosha. Alikuwa ni Great Thinker sana.
Mbaya zaidi alipokuja kusababisha mpaka akajitenga na kanisa ni kitendo cha kuondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia ikiwemo pia kupunguza baadhi ya mistari kwenye vitabu kama cha Esta na Cha Danieli.
Aliondoa vitabu vya Deutrokanoni na vingine baadhi na kuwa jumla ya vitabu 7 vilivyotolewa kwenye Biblia. Na kila kitabu alikuwa na sababu yake aliyoibainisha. Kimsingi alipata wafuasi wengi WA kumuunga mkono hoja yake hasa wale ambao walikuwa wanatafta njia ya kuchuma pesa kiulaini. Na hapo Biblia mpya ilianza yenye Vitabu pungufu.
Na ndio maana Leo watu hawaujui Ukristo vizuri na wanakinzana bila kujua historia ya kanisa. Watumishi wengi WA Mungu hasa HAWA WA kileo wasiojua nhistoria vizuri wao kila kitu wanapinga. Sio kosa lao Bali ni kosa la kutokujua historia ya kanisa.
Matumizi ya Ubani yalipingwa sana, na hapa ilikuwa ni kuondoa idadi ya waelewa. Kutokana na watu wengi walikuwa wamegeuka kama waganga kila mapepo ya kiwakabili walitumia ubani kuyafukuza na yalikimbia, lakini watu walijisahau kusali na kuomba na hata kufika ibadani ikawa nadra maana wanajua kujiponya kuondokana na majini na wachawi. Hapa Padre Luther na wenzake wakapiga marufuku matumizi ya ubani na kuwa sihi wakazanie Neno zaidi.
Hapa walichotakiwa kufanya ni kuliishi Neno la Mungu na wakati WA ibada basi ubani uchomwe kama Mungu alivyo agiza.
Luther na wenzake lengo lao lilikuwa ni biashara hapo baadae na kimsingi mpango huo ulifanikiwa. Na ndio maana mpaka Leo watu wametawaliwa na mfumo WA majini katika maisha yao kwa kuwa wamefungwa akili ya kujitambua na wanaamini maneno ya mdomoni na sio Maandiko ya Biblia kama yanavyosema.
Nimengi ya kujifunza sana Leo hii lakini kwa Leo naishia hapa.
deogratius Nalimi Kisandu.
1. 1. 2017.
Yesu ni nani. ??YES,
Wabrania 7:22-25 "Basi kwa kadiri hii Yesu amekuwa mdhamini wa agano lililo bora zaidi. ... yeye, kwa kuwa anakaa milele, anao ukuhani wake usioondoka. Naye, kwa sababu hii, aweza kuwaokoa kabisa wao wamjiao Mungu kwa yeye; maana yu hai siku zote ili awaombee."
Sasa we ndugu umechanganyikiwa au umelewa gongo.....Sasa tatizo liko wapi kufikia trh 31 mwezi wa 10 mwaka huu Rc wanafikia kilele cha muungano wa makanisa yote ya upinzani
Mwanamke wa ufunuo 12 ni kanisaMkuu nataka kujua mambo kadhaa.
Kuna mwanamke aliekua akimzaa Yesu. Ambae joka alitaka kummeza mwanae huyu bila shaka ni Maria na Kuna mwanamke aliechukuliwa nyikani huyu atakua ni nani????