MJADALA: Kwanini Padri Luther aliondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia, na kwanini alijiondoa kanisa Katoliki?

Yesu kazi yake ni kutuombea..?
YES,
Wabrania 7:22-25 "Basi kwa kadiri hii Yesu amekuwa mdhamini wa agano lililo bora zaidi. ... yeye, kwa kuwa anakaa milele, anao ukuhani wake usioondoka. Naye, kwa sababu hii, aweza kuwaokoa kabisa wao wamjiao Mungu kwa yeye; maana yu hai siku zote ili awaombee."
 
Mtu yoyote anaetaka kujua historia ya biblia asome dibaji ilio mwanzoni mwa biblia ya STANDARD VERSION..Biblia ya kwanza iliandikwa na William tyndale..ila biblia sahihi Kama KING JAMES VERSION ilipoandikwa imetokana na kazi sahihi ilioandikwa na Tyndale ambae walimuua watu wanafki na wapumbaf.Swala la Luther kwamba hakuwa na mantiki katika thesis na maamuzi yake ni upuuzi mtupu.Luther hakuangalia faida za binafsi ila alitaka watu wawe huru kifikra,,na kimaamuzi.Zaidi wewe mtoa maada jua kwamba unapofungwa na mtazamo wa kidhehebu Huwezi kuwa na fikra zilizo huru.
 
Kwa nini pale msalabani Bwana Yesu alimwambia Petro amuangalie mama yake? Na haikuwa kumwambia Petro mwambie mama akuombee?

Na washawasha!
Biblia IPI Yesu alimwambia petrol??? Kasome tena!!
 
Chimbuko la imani ya Katoliki ni Petro, pale alipoambiwa juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa, fuatilia. Kanisa katoliki lilianzishwa na Yesu
Mkuu hayo maandiko usiyatafsiri kwa akili zako na utashi wako! Neno la Mungu lina pumzi ya Mungu ndani yake,hivyo unaposoma neno bila kuwa au kuongozwa na roho mtakatifu ambaye ndo huwa anayafunua na kuyadadavua hayo maandiko utajikuta unalibeba andiko kama lilivyo bila kufahamu linamaanisha nini,Naomba nikukosoe kbsa kwmba warumi (roman) ndio walio waua hao mitume walio kuwa wanasambaza injili ya Yesu kristo alie hai,ndo maana petro alipokamatwa na warumi walitaka kumsulubisha kama yesu lakini yeye akakataa akasulubishwa kichwa chini miguu juu msalabani na wakati kasulubishwa aliendelea kuwahubiria habari njema ya wokovu,sasa nashangaa unanambia ye ndo kaanzisha u katoliki,how?? na nyie warumi ndo mlimtesa??? haya mtume mwningne ni paulo yeye alikatwa kichwa na warumi ili asiendelee kueneza injili!! Hv maandiko huwa hamyaoni??? kama Yesu ndo muanzilishi wa ukatoliki au petro mbona mafundisho yao hamyabebi na kuyatekeleza??? Ni kwann mnabatiza watt wadogo??? wachanga??? na akati mitume wote walipokuwa wanaeneza injili walisema tubuni mkabatizwe katika Jina la Yesu,hata Yesu pia alibatizwa akiwa mtu mzima na baada ya ubatizo akaanza kueneza injili,sasa hao watt mnaowabatiza mnatoa kwnye andiko gani hayo mamlaka ya kubatiza watt wadogo?? je watt wadogo wana dhambi hata watubishwe ndo muwabatize??? maana kutubu ni kujutia na kutamka kwa ukiri lakini nyie hata hao watt wengine hata kuongea hawawezi na hawana ufahamu wa mabaya na mema,then useme kanisa katoliki lilianzishwa na Yesu?? au Petro?? how kwnza Yesu hakuja kuleta madhehebu wala dini.,nna mengi ya kuongea lakini ngoja niishie hapo
 
Mtoa mada anazungumzia Luter sasa Mama Maria ametoka wapi jamani , jamii forum na ma hopless wengi kweli
 
Naweka haya mafungu hapa chini nitaomba uyafafanue maana naona umeyajengea hoja sasa nitakuuliza maswali kutokana na haya mafungu mkuu.

Revelation Chapter 12
1And there appeared a great wonder in heaven; a woman clothed with the sun, and the moon under her feet, and upon her head a crown of twelve stars:

2And she being with child cried, travailing in birth, and pained to be delivered.

3And there appeared another wonder in heaven; and behold a great red dragon, having seven heads and ten horns, and seven crowns upon his heads.

4And his tail drew the third part of the stars of heaven, and did cast them to the earth: and the dragon stood before the woman which was ready to be delivered, for to devour her child as soon as it was born.

5And she brought forth a man child, who was to rule all nations with a rod of iron: and her child was caught up unto God, and to his throne.

6And the woman fled into the wilderness, where she hath a place prepared of God, that they should feed her there a thousand two hundred and threescore days.

Kaka nilikuwa mbali, lakini sijajua unataka niseme nini?, mimi naona kila kitu kipo wazi hapo, Kitabu cha ufunuo wala hakina ugumu wa kukilewa unless upate mchungaji anaewachanganya watu kwa kutengeneza interpretation zake binafsi

Hebu niambie unataka kujua nini kwenye hiyo mistari yako ili nikufafanulie
 
Mkuu nataka kujua mambo kadhaa.

Kuna mwanamke aliekua akimzaa Yesu. Ambae joka alitaka kummeza mwanae huyu bila shaka ni Maria na Kuna mwanamke aliechukuliwa nyikani huyu atakua ni nani????
 
KWANINI PADRE Luther ALIFUKUZWA KANISA KATOLIKI? NA KWANINI ALIONDOA BAADHI YA VITABU KWENYE BIBLIA AGANO LA KALE?

Padre Luther alikuwa miongoni mwa Mapdre wenye karama nyingi ndani ya Kanisa katoliki wakati wake, Yeye alikuwa na Madai mengi sana juu ya mapungufu kwa kanisa. Hata hivyo madai yake mengi hayakuwa na msingi wowote.

Moja ya madai yake ilikuwa ni kuondoa kibali cha kwamba baada ya kuungama muumini asipewe stakabadhi ya kuonesha ameungama kwa kuwa kitubio ni siri ya MTU. Hili lilifanyiwa kazi. Mengine ikiwemo kurekebisha mfumo WA sala ya Kanuni ya Imani. Na mambo mengine mengi ambayo alipojibiwa, yeye hakuridhika pamoja na kueleweshwa vya kutosha. Alikuwa ni Great Thinker sana.

Mbaya zaidi alipokuja kusababisha mpaka akajitenga na kanisa ni kitendo cha kuondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia ikiwemo pia kupunguza baadhi ya mistari kwenye vitabu kama cha Esta na Cha Danieli.
Aliondoa vitabu vya Deutrokanoni na vingine baadhi na kuwa jumla ya vitabu 7 vilivyotolewa kwenye Biblia. Na kila kitabu alikuwa na sababu yake aliyoibainisha. Kimsingi alipata wafuasi wengi WA kumuunga mkono hoja yake hasa wale ambao walikuwa wanatafta njia ya kuchuma pesa kiulaini. Na hapo Biblia mpya ilianza yenye Vitabu pungufu.

Na ndio maana Leo watu hawaujui Ukristo vizuri na wanakinzana bila kujua historia ya kanisa. Watumishi wengi WA Mungu hasa HAWA WA kileo wasiojua nhistoria vizuri wao kila kitu wanapinga. Sio kosa lao Bali ni kosa la kutokujua historia ya kanisa.
Matumizi ya Ubani yalipingwa sana, na hapa ilikuwa ni kuondoa idadi ya waelewa. Kutokana na watu wengi walikuwa wamegeuka kama waganga kila mapepo ya kiwakabili walitumia ubani kuyafukuza na yalikimbia, lakini watu walijisahau kusali na kuomba na hata kufika ibadani ikawa nadra maana wanajua kujiponya kuondokana na majini na wachawi. Hapa Padre Luther na wenzake wakapiga marufuku matumizi ya ubani na kuwa sihi wakazanie Neno zaidi.

Hapa walichotakiwa kufanya ni kuliishi Neno la Mungu na wakati WA ibada basi ubani uchomwe kama Mungu alivyo agiza.
Luther na wenzake lengo lao lilikuwa ni biashara hapo baadae na kimsingi mpango huo ulifanikiwa. Na ndio maana mpaka Leo watu wametawaliwa na mfumo WA majini katika maisha yao kwa kuwa wamefungwa akili ya kujitambua na wanaamini maneno ya mdomoni na sio Maandiko ya Biblia kama yanavyosema.
Nimengi ya kujifunza sana Leo hii lakini kwa Leo naishia hapa.

deogratius Nalimi Kisandu.
1. 1. 2017.
Una matatizo ya akili

Luther alisimamia ukwel mpk mwisho wa maisha yake na alipitia mateso mengi sana. Lakin leo hii wale wanaoitwa wafuasi wa Martin Luther kupitia kwa viongozi wao wanarudi kwa kasi sana kuelekea pale alipowatoa Luther yaan wanarudi kule RC.
 
Sasa tatizo liko wapi kufikia trh 31 mwezi wa 10 mwaka huu Rc wanafikia kilele cha muungano wa makanisa yote ya upinzani

Hivyo usihofu karibuni mnakuwa dhehebu moja

Hlf hapo kwenye msamaha umesahau cheti cha msamaha kuuzwa na mapadre kupanda ngazi kwa magoti kumfuata papa kama ishara ya utakatifu

Umesahau pia sasa ndani ya Rc huduma nyingi ni fedha ubatizo, kumunyo, kuombewa yaani kusomewa misa ni pesa mbele kwanza n.k
 
YES,
Wabrania 7:22-25 "Basi kwa kadiri hii Yesu amekuwa mdhamini wa agano lililo bora zaidi. ... yeye, kwa kuwa anakaa milele, anao ukuhani wake usioondoka. Naye, kwa sababu hii, aweza kuwaokoa kabisa wao wamjiao Mungu kwa yeye; maana yu hai siku zote ili awaombee."
Yesu ni nani. ??
 
Sasa tatizo liko wapi kufikia trh 31 mwezi wa 10 mwaka huu Rc wanafikia kilele cha muungano wa makanisa yote ya upinzani
Sasa we ndugu umechanganyikiwa au umelewa gongo.....

Mada inasema kwanini Luther alipunguza vitabu 7 vya Agano la Kale na Jipya wewe unaleta porojo zako hapa...

Anzisha mada tuje tukujibu...Shwain wewe
 
Mkuu nataka kujua mambo kadhaa.

Kuna mwanamke aliekua akimzaa Yesu. Ambae joka alitaka kummeza mwanae huyu bila shaka ni Maria na Kuna mwanamke aliechukuliwa nyikani huyu atakua ni nani????
Mwanamke wa ufunuo 12 ni kanisa
 
Back
Top Bottom