HABARI NDIYO HIYO, MBINGUNI HAKUNA MALKIA!!! KASOME VIZURI HAYO MAANDIKO, AND SO FAR VITU VINGINE KWENYE BIBLE NI VIGUMU SANA KUVIELEZA NA KUELEWEKA KWA MTU ANAYESOMEWAGA BIBLIA TO VATICAN CITY...Unapingana na maandiko. ??
Kwanini Luther alipunguza vitabu 7 vya Agano la Kale..??Umesahau pia sasa ndani ya Rc huduma nyingi ni fedha ubatizo, kumunyo, kuombewa yaani kusomewa misa ni pesa mbele kwanza n.k
Simu imekosea yenyewe wewe masalia hiyo tunaita Autocorrect !!nilimaanisha petro.Ni kweli hamna Biblia yenye neno petrol, wewe utuambie umelitoa wapi?
Na washawasha!
Habari gani...??HABARI NDIYO HIYO
Hivyo kitabu cha Ufunuo kilikuwa kinatuongopea sio...??, MBINGUNI HAKUNA MALKIA!!!
Vizuri ni kwa namna gani..?KASOME VIZURI HAYO MAANDIKO
Vigumu kwa mujibu wa nani...?? Kwanini unasema ni vigumu...? Kilichokigumu kwako unafikiri kwangu ni kigumu pia.. ?, AND SO FAR VITU VINGINE KWENYE BIBLE NI VIGUMU SANA
Vatcan City inasomeaga watu biblia..? Unaakili timamu kweli wewe...?KUVIELEZA NA KUELEWEKA KWA MTU ANAYESOMEWAGA BIBLIA TO VATICAN CITY...
Kanisa gani...?? Kwa tafsiri ya nani hasa..???Mwanamke wa ufunuo 12 ni kanisa
tena atuache kbsaa,hatutaki mazoeaNaona siasa tu me kushinda sasa umeingilia ya dini tuache na kanisa letu
Kumfuata akiwa hai ni sahihi maana yesu ni mwanae na pale walikuwa duniani ni kitu cha kawaida, ila hakuna maelekezo ya kumuomba mama Maria baada ya kifo chake biblia haijasema kuwa ana nguvu yoyote ya ajabu ambayo anaweza kuwasiliana na yesu baada ya kifo chakeKwani kwenye harusi ya kana kinywaji kilipoisha, walimfuata nani ili awaombee kwa Yesu?, tatizo haya makanisa ya kilokole yanayoendeshwa na wachungaji ambao ni darasa la saba wanawapotosha, hawaijui biblia
nasubir majibu na mieJamani hili swala lakanisa kathoriki ninayo maswali.mengi sana yakuhoji wanisaidie ili nielewe tena wanisaidie kimaandishi bibilia ikowazi msitake kujua habali zawatu waliokufa maana mkifahmu mtafazaika kisha inaendelea kusema .. mtu aliekufa nisawasawa namtu alie lalausingizi .. Sasanajenga hoja yangu kwabikla malia .bikila malia alishakufa nakama alishakufa inamaana hakuna anachofahamu maana amelala usingizi sasahoja yangu nihii munamwambiaje mtu alielala usingizi awaombee kwa mungu nawakati kuna anchokifahamu ... Jamani hiliswala lipimeni cheo mlichompa malia mbona sikioni kwenyebibilia..hiloandiko lakuwaombea mlilitoa wapi
Mhubiri 7:12mtu aliekufa nisawasawa namtu alie lalausingizi ..
Hoja ipi .?Sasanajenga hoja yangu
Umeandika kitu gani hicho...???kwabikla malia
Unawazimu...??.bikila malia
Sasa hivi ukienda kulala, utakuwa umekufa...? Ipi ni tofauti ya kulala usingizi na kufa . ??alishakufa nakama alishakufa inamaana hakuna anachofahamu maana amelala usingizi
Kumfuata akiwa hai ni sahihi maana yesu ni mwanae na pale walikuwa duniani ni kitu cha kawaida, ila hakuna maelekezo ya kumuomba mama Maria baada ya kifo chake biblia haijasema kuwa ana nguvu yoyote ya ajabu ambayo anaweza kuwasiliana na yesu baada ya kifo chake
Naninataka niwaondoe shaka watu wanao aminishwa uongo kua bikila malia alipaa mbinguni huu niuongo ulikomaa ..katika oloza yawatu waliopaa mbinguni bikila malia hayumo ..kwanini hayumo nikwasababu hakupaa mbinguni..acheni kulishwa uongo somenibibilia
Yesu Kristo ni Mungu, sasa tangu lini Mungu akawa ni muombezi...?Tunalo jina kuu kuliko majina yote tena huyu ndie muombezi wetu yesu kirsto ..bibilia inasema hivyo ....sasa wapi andiko bikila malia anatajwa kua muombezi wawatu
Simu imekosea yenyewe wewe masalia hiyo tunaita Autocorrect !!nilimaanisha petro.
HAUWEZI UKAONA KAMA NINA AKILI TIMAMU KWA KUWA HATA CHUPA YA BIA NA SIGARA ZOTE ZINA ONYO LA 'HATARI' ILA SIDHANI KAMA USHAWAHI KUMSAIDIA MTUMWA MMOJAWAPO WA VATICANI AACHANE NA HIYO KITU, BY THE WAY KITABU CHA UFUNUO NI MAONO, NA TAFSIRI YA MAONO MARA ZOTE SI YA MOJA KWA MOJA, KUONA MWANAMKE ANATAJWA HAINA MAANA KWAMBA NI MALKIA WENU UNAYEMSEMA, NYOTA 12 NI FUMBO AMBALO LAWEZA KUWA KABILA 12 ZA ISRAELI AU MITUME 12, MWANAMKE KWA TAFSIRI NYEPESI NI KANISA. MUNGU HANA MKE KUSEMA KUWA TUTAMKUTA NA MALKIA TENA HUKO MBINGUNI...BIBI ARUSI ALIYETAJWA KWENYE UFUNUO SIYE MALKIA WENU NAPO NI KANISA...YAANI WALIOMKIRI KRISTO NA KUSHINDA DHAMBI!!!! ENDELEA KUIPIGANIA VATICAN KWA KUSOMA MISHALE/MISALE YA WAAMINIHabari gani...??
Hivyo kitabu cha Ufunuo kilikuwa kinatuongopea sio...??
Vizuri ni kwa namna gani..?
Vigumu kwa mujibu wa nani...?? Kwanini unasema ni vigumu...? Kilichokigumu kwako unafikiri kwangu ni kigumu pia.. ?
Vatcan City inasomeaga watu biblia..? Unaakili timamu kweli wewe...?
Nakuuliza na Wale 4 na Wazee 24 wanaokizunguka kiti cha Mwanakondoo pamoja na vinubi na vitasa wakiwa na Maombi ya Watakatifu walikuwa wapo wapi..???Haya nimaandiko yabibilia simimi bibilia inasema mustake kujua mambo yawatu walio kufa maana mukifahamu mta fazaika .. Inaendelea kusema maana mtu aliekufa nakama amelala usingizi . Maana hakuna nalolifahamu.. Hayo nimaandiko ya bibilia