Let me ask you some questions. When the first time the word Catholic was used to describe the church? Second, in which context the word was used for? Third, can you find the word in the Bible?Followers wa St Thomas ni part of the Catholic Church kama ulikuwa hujui.....Most of Eastern Church including Armenian na Chaldean wote ni part of Catholic Church...
Coptic Ni part of Eastern Rite....Easter Orthodox Churches zote walijitenga na Kanisa Katoliki mwaka 1100..,
Zote hizo zinasngukia kwebye Eastern Orthodox Churches...
Utengano wa kwanza ulitokea mwaka 1100... Before that kulikuwa na Kanisa Katoliki pekee.....
Which word..? Catholic...?Third, can you find the word in the Bible?
Jipange vizuri...urudi tenaYesu kazi yake ni kutuombea..?
Jibu hilo swali...? Yesu ni Mungu...anatuombea kwa nani angali yeye ni Alpha na Omega..?Jipange vizuri...urudi tena
Umemuuliza maswali magumu sana sidhani kama atajaribu hata kukujibu.Hawa vijana wa seminari wamezoea kukaririshwa rozari tu.Let me ask you some questions. When the first time the word Catholic was used to describe the church? Second, in which context the word was used for? Third, can you find the word in the Bible?
In your answers, you seem to put the Eastern and Oriental Orthodox churches in one basket. They are different. Please read your history and then come back to argue with me
Majibu nilishampa hapo....Wewe tulia historia huijui kaa kimya kabisa....Wewe soma manuscript za Ellena White ndio size yako..Umemuuliza maswali magumu sana sidhani kama atajaribu hata kukujibu.
Mimi, ninaweledi wa maandiko ndugu, naijua historia vizuri....histori chafu ya SDA naifahamu vizuri, kuanzia Miller, Bates na wenzako mpaka White wote hao nawajua vilivyo....Huwezi nidanganya chochote.....Hawa vijana wa seminari wamezoea kukaririshwa rozari tu.
Kanisa katoliki wanamuhitaji Mungu kwakwl na ndo mana wengi wanaoelewa neno huwa wanakimbia,Japo sijawahi kuwa mkatoliki lakini naskia ukifa siku ya kuzikwa padri akikuombea rehema basi unasamehewa makosa yako! Na pia mama maria ndo anawaombea wakatoliki,pia ndo dhehebu pekee ambalo pombe imehalalishwa!! Mungu atusaidie sana
Safi waelimishe,huenda wakafumbuliwa macho.wakathoric acheni jaziba hili swala kanisa kathoric kuwauwa mitume na wakiristo wamwanzo sio hadisi ni jambo lakweli.. Hata wakina yohane petro na wengine wengi walifia roma chini ya uongozi wa dola la kiroma.. Petro alisulubiwa..nakazikwa hapo yalipo makao makuu yakanisa la Rc.. itary.. Na waliomuuwa ni hawahawa naoijiita Romani kathoc.. Kipindihicho walikuwa wanafanya mamboyao kama dola..nakisha wakajibadilisha nakujiita kanisa.. Kunamambo mengi hili kanisa limeyaficha..na limeongoza uuwaji wa mitume wengi na ushaidi upo
Wewe sali uwezavyo haya Maria yanahitaji elimu pana sana na usiwabeze wengine.Habali za bikira maria zili ziliishia pale yesu alipoitwa na mmojawapo wa wanafunzi wake .wakamwambia bwana mama yako na nduguzo wako inje wanakuita yesu akasema mama yangu na ndugu zangu niwale wanao lishika neno la Mungu..na aliendelea kuhubili.. Kwamujibu wa andiko hili hakuwaona nduguze wala mama yake sasa hicho cheo mnacho mubandika maria mmekitoa wapi.. Simutuwekee nasisi vifungu vya kibibilia vinavyompa maria mamlaka ili nasisi tuvisome
Hebu tuelimishe nasi tukuelimishe hiyo ndiyo itakayotoa mwanga kwa wasomaji wengi..!Kwa taarifa yako, sio kujua hayo mafumbo ya vitu na watu, ni kuwa kitabu chote cha Apokalpse ya Yohana nina weledi nacho ..
Vipi unataka tuelimishane...??
Mbona unatukana na una hasira...punguza hasira..rudi kwenye swali na elezea ili tukuelewe!!Hebu wewe nieleze....Sitaki kurudia mara kumi kumi kitu kile kile.....
Wewe unafikiri hao wazee 24 na wale 4 ni nyanya zako wako dongobeshi...?
Nadhani tuiangalie Biblia inasemaje..Theology isikufunge maana hiyo siyo Maandiko, Ukiisoma Biblia haijichanganyi imesema moja kwa moja...'Hakuna mtu anaweza kusimama badala ya Yesu Kristo ili kumfikia Mungu Baba..hiyo ni Biblia inasema, sasa kama Theology inataka kupindisha hilo haliwezi kuwa matakwa ya Kibiblia bali matakwa ya hao wanatheology na utashi wao wa kuelewa.Ndio maana nikasema apa panahitatajika Taaluma Mungu(THEOLOGY) huwezi kuelewa hili jambo,ila kwa kifupi Wakatoliki hawamwombi Maria/Watakatifu direct Bali wanamwomba Mungu kwa njia ya mwanae Yesu Kristo na pia wanakazia sala zao kupitia watakatifu akiwemo Maria Mtakatifu mama wa Mungu,njoo na Uzi unaohusu mambo haya kisha tutakuja,ila Taaluma Mungu muhimu sana kwako na mengine style yako.
Hebu tupe tafsiri yako ili kujenga uelewa zaidi na kama ni tofauti utapingwa tu..maana Biblia itabaki kuwa ilivyo na tafsiri za wanadamu zitabaki kuwa tafsiri...karibuLaiti ungejua hata hiyo tafsiri unayoamini chanzo chake ni nini usingeangaika kumshangaa mwenzako....kwani nini unaamini tafsiri yako ni sahihi na huyu ni potofu? Mchungaji wako? Tumieni akili kwenye vitu vinavyohitaji akili tu!
Usitukane..We mjibu hoja yake ili kujenga uelewa nadhani ndiyo msingi wa forum hii!Yesu aliacha kanisa katoliki lini? Wakristo wenzangu hamna tofauti na walevi.