Wakathoric hili swala la bikira maria kuawaombea watu zambi zao nilakubumba.. Halipo kwenye bibilia .. Halafu nilisha waambia mufu hawezi kumuombea mzima nawakati yeye hajitambui..bibilia inavifungu vingi vyakimaandiko vinavyosibitisha kuwa mtu alie kufa amelala mauti na hakuna nachokifahamu.. Na Maria alishakufa sikunyingi zilizopita.. Atawezaje kuwaombea ambao wako hai..ili tukubaliane na ninyi leteni andiko wapi bibilia inasema maria alipaa mbinguni..