Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Cha msingi umeelewa hoja yake.sio kila mtu anajua kiswahili fasaha.
Ile mbona iko wazi ni picha ikielezea Yesu akijumuika na watu mbali mbali, kwani kuna shida gani hapo? Ila background mmeikuuuza hata waliopiga picha hawaonekani! Mnajidanganya eti mmepata ushahidi hata wasabato wanachonga sanamu. Waroma Bwana! Acheni kuabudu sanamu, hazina macho wala hazisikii na zaidi sana Mungu anachukizwa sana kuabudu sanamu.Huyo wenye akili timamu tulishampuuza...Ila wajinga wanaona kuna kitu kaandika ...
Usiturudishe kule tulikotoka..
Bado hujanijibu yule kwenye back ground picture ni nani. .? Huwa sina tabia ya kusahau
Unakubali ile ni picha ya Yesu sio? Mmeitolea wapi...? Ilichorwa na nani...?? Tangu lini kikundi cha kiharakati cha Kusabato mmeanza kutumia picha...??? Kwanini mmeamua kujifanyia picha..? Nini kimetokea...??? .....Jibu lako hili la kutumia picha nitalihifadhi kisha nitakuumbua nalo..Ile mbona iko wazi ni picha ikielezea Yesu akijumuika na watu mbali mbali
Shida ipo hapa kwenye Kutoka 20:...., kwani kuna shida gani hapo?
Nani kakuza...?? Hata ukikuza kwani siyo picha halisi...?? Hiyo iliyokuzwa nani waliipiga .?? Walijuaje ni Yesu, ? Tangu lini SDA mneanza kutumia picha ..? Tangu liniiii...???Ila background mmeikuuuza hata waliopiga picha hawaonekani!
Nani kasema tulikuwa tunatafuta ushahidi ..? Umejuaje tumeupata...???Mnajidanganya eti mmepata ushahidi hata wasabato wanachonga sanamu
Ni kweli tupu Mungu anachukizwa na kuabudu sanamu.....Aliyekuambia Wakatoliki wanaabudu sanamu ni nani...?. Waroma Bwana! Acheni kuabudu sanamu, hazina macho wala hazisikii na zaidi sana Mungu anachukizwa sana kuabudu sanamu.
Enyi waroma tambueni kwamba kazi ya uandishi wa Biblia iliongozwa na Roho Mtakatifu.Hata kazi ya kukusanya pamoja agano la kale na jipya ili kupata Biblia moja ilifanyika kwa uongozi wa Roho Mtakatifu.Ni kweli yapo mengi yaliandikwa na waandishi mbali mbali lakini hayakuwekwa katika Biblia kwani kama kila kitu kingewekwa humo tangu uumbaji,ukombozi, kazi za Yesu akiwa hapa duniani na unabii wa siku za mwisho basi nafasi isingetosha na hiyo Biblia sijui ingekuwaje kwa ukubwa. Hivyo Roho Mtakatifu aliwaongoza Mitume na wakristo wa awali wakakamilisha Biblia yenye vitabu 66.Kama alivyoeleza Ndaga,hivyo vitabu 7 vilikataliwa na Wakristo wa awali mnamo karne ya kwanza na wakristo wakati huo wengi wao walikuwa ni wayahudi.Sababu kubwa ya kuvikataa bitabu hivyo haikuwa lugha pekee, bali pia muafaka na vitabu vingine ulikosekana na hivyo kuona havina ulazima wowote kuvijumuisha katika Biblia takatifu. Hivyo Roho Mtakatifu aliongoza uandishi na ukusanyaji wa Vitabu hivi 66 katika Biblia tuliyonayo leo. JAMBO LA AJABU Roman Catholic Church baada ya ukengeufu mwingi tu walidiriki kuvirejesha hivyo vitabu vilivyokataliwa na ndipo Ruther na wengine wakapinga jambo hilo. Nadhani maelezo haya yantosha kukufungua akili.Msituharibie uzi....Kuna wachingiaji wenye akili timamu tumeshaanza kwenda vizuri....
Kama unazo sababu zilifanya Luther kuondoa vitabu vya Biblia lete hapa....Usituharibie uzi....
Biblia sijui ingekuwaje kqa ukubwa. Hivyo Roho Mtakatifu aliwaongoza Mitume na wakristo wa awali wakakamilisha Biblia yenye vitabu 66.K
Biblia haijaandikwa...Biblia ni mkusanyiko wa vitabu mbali mbali...Enyi waroma tambueni kwamba kazi ya uandishi wa Biblia iliongozwa na Roho Mtakatifu.
Ni mitume gani hao unaongelea...? Mitime wanekufa hata biblia hawajaiona....Sasa ni mitume gani hao unaoongelea wewe..?Hivyo Roho Mtakatifu aliwaongoza Mitume na wakristo wa awali w
Kwa maelezo yako mwenyewe unakiri kuwa sanamu zimekatazwa katika Biblia kitabu cha kutoka 20.Ila ili kulinda imani yako unatafuta "kichaka cha karanga" kuhalalisha sanamu. Eti mnareform kanisa letu" huu ni wehu uliopitiliza! Tangu lini Roman Catholic afanye kazi ya Roho Mtakatifu Ku-reform kanisa la SDA? Hivi zinakutosha kweli?Unakubali ile ni picha ya Yesu sio? Mmeitolea wapi...? Ilichorwa na nani...?? Tangu lini kikundi cha kiharakati cha Kusabato mmeanza kutumia picha...??? Kwanini mmeamua kujifanyia picha..? Nini kimetokea...??? .....Jibu lako hili la kutumia picha nitalihifadhi kisha nitakuumbua nalo..
Tunawavuta mtakuja kwenye 18 zetu...muda unaongea
Shida ipo hapa kwenye Kutoka 20:....
Nani kakuza...?? Hata ukikuza kwani siyo picha halisi...?? Hiyo iliyokuzwa nani waliipiga .?? Walijuaje ni Yesu, ? Tangu lini SDA mneanza kutumia picha ..? Tangu liniiii...???
Ndio nina kuambia tunali-reform kanisa lenu taratibu ...na nyie mashabiki ndio mrakuwa wa kwanza kupokea mabadiliko...Kama jinsi unavyotetea hapa
Nani kasema tulikuwa tunatafuta ushahidi ..? Umejuaje tumeupata...???
Ni kweli tupu Mungu anachukizwa na kuabudu sanamu.....Aliyekuambia Wakatoliki wanaabudu sanamu ni nani...?
Stay tuned nakuja na moree!!!
Petro mnayedai ni papa wenu alinukuu maandishi ya Paulo na kuwatahadharisha wale waliokuwa wanayapotosha.Ni mitume gani hao unaongelea...? Mitime wanekufa hata biblia hawajaiona....Sasa ni mitume gani hao unaoongelea wewe..?
Na hao Wakristo wa Kwanza unaongelea ni kina nani...? Kwanini unakwepa hili swali...?
Ndaga,hivyo vitabu 7 vilikataliwa na Wakristo wa awali mnamo karne ya kwanza na wakristo wakati huo wengi wao walikuwa ni wayahudi.S
Kwa maelezo yako mwenyewe unakiri kuwa sanamu zimekatazwa katika Biblia kitabu cha kutoka 20.Ila ili kulinda imani yako unatafuta "kichaka cha karanga" kuhalalisha sanamu. Eti mnareform kanisa letu" huu ni wehu uliopitiliza! Tangu lini Roman Catholic afanye kazi ya Roho Mtakatifu Ku-reform kanisa la SDA? Hivi zinakutosha kweli?
Petro mnayedai ni papa wenu alinukuu maandishi ya Paulo na kuwatahadharisha wale waliokuwa wanayapotosha.
Hatuna muda wa kupoteza na vikundi vya Kiharakati.....Mabadiliko mtayafanya wenyewe huko...Tangu lini Roman Catholic afanye kazi ya Roho Mtakatifu Ku-reform kanisa la SDA? Hivi zinakutosha kweli?
Ukiamua kufanya "quotation" chukua sentensi nzima ilibijulikane unacho quote ni nini vinginevyo unachofanya ni kulenga kupotosha wasomaji. Sasa nikurudishe kwenye darasa la Theology halisi sio ile mnayokaririshwa seminari. Yesu alikamilisha kazi yake manamo mwaka 34 AD, mnamo mwaka 37 AD Mitume walianza kusambaza injili maeneo ya mataifa baada ya mauaji ya Stephano. Mnamo mwaka 70 AD hekalu la Yerusalemu liliangamizwa na jeshi la kirumi kama Yesu alivyotabiri.Waliokuwa waaminifu waliondoka mara baada ya Mji wa Yerusalemu kuzingirwa na majeshi.Waliopuuza unabiii kwa makusudi au kutojua waliangamia. Wakristo hawa waliosalia ndio waliokamilisha kazi ya kukusanya pamoja vitabu vya Biblia. Na hii kazi ilikamilika karne ya kwanza yaani miakaya 100 AD hapo hakukuwa na kitu kinaitwa Roman Catholic Churc bali kundi la waumini wakiitwa Wakristo.Wakristo wa Awali ndio kina nani hao...?
Ni wapi Ndaga kasema Wakristo wa awali walivikataa...!? Hebu m-quote ndaga nione hapo aliposema ..? Kwanini unamlisha uongo...??
Hivi unaijua Karne ya kwanza wewe...??? Aliyekuambia Wakristo wa kwanza ni Wayahudi ni nani...? Kwanini unajitungia maneno...?