Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Fungu gani la biblia ...? Yani unataka nikuambie Kichaa Ellen G White alisabanisha mauaji mwaka 1844(Great disappointment) kuwa inatoka Mathato 99:45...?? Unaakili timamu...?Thibitisha kwa fungu la Biblia
Wewe unaijua...??Hivi unajua historia ya roman catholic church au unaongea tu.
Sidhani kama unafahamu dhima ya kitabu cha Apokalipse ya Yohana..!!!Narudia soma ufunuo 13:1-16
Huyo yule mnyama aliebadilisha nyakati na majira
Bila Kanisa wale Yesu nisingemjua...Usihadaike na hilo kanisa eti litakupeleka mbinguni!
Hio sahau!!!!
Soma andiko acha seraSidhani kama unafahamu dhima ya kitabu cha Apokalipse ya Yohana..!!!
Unafahamu...?
Wewe unaijua...??
Usikute unaleta copy and Paste za Google....Ngoja nikuletee ushahidi hapa. Uache ngojera
Nimekuuliza unafahamu dhima ya Kitabu cha Apokalpse ya Yohana..??Soma andiko acha sera
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Usikute unaleta copy and Paste za Google....
Huu uzi toka page ya kwanza nipo nao....[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Mbona una wasi wasi mkuu? Hujiamini na kanisa lako ninj
Huna ushahidi wa Biblia kuthibitisha hayo usemayo ndio maana unatumia nguvu kubwa.Ukiniuliza nithibitishe ukahaba wa kanisa katoliki ninao tele katika ufunuo 13, 14, 17.sura zote hizi zinaelezea mama wa makahaba na machukizo ya nchi. "Wafalme wa dunia wamezini nae" Yaani kanisa hili limefanya mapatano na wafalme wa dunia hii kubadili amri za Mungu.Historia ni mwalimu mzuri, ukifuatilia kwa uaminifu historia inaeleza wazi Roman Catholic Church ndiye kahaba mkuu wa Ufunuo 17:5.Fungu gani la biblia ...? Yani unataka nikuambie Kichaa Ellen G White alisabanisha mauaji mwaka 1844(Great disappointment) kuwa inatoka Mathato 99:45...?? Unaakili timamu...?
Kwamba Ellen Gould White alifukuzwa Kanisa la Methodist unataka nikuambie ilitoka Marko 100:79....Unakichaaa
Acha kupanic rafiki ushahidi ni ushahidi tu uwe wa kimaandishi, kihistoria etc. Leta Ushahidi sio maneno tu ya "here say"Hebu acha ujinga wewe....Unataka Ushahidi gani sasa...? Wa kimaandishi, ki historia au Ki Theolojia..?
ushahidi ni ushah
Acha kupanic rafiki ushahidi ni ushahidi tu uwe wa kimaandishi, kihistoria etc. Leta Ushahidi sio maneno tu ya "here say"
Huna ushahidi wa Biblia kuthibitisha hayo usemayo ndio maana unatumia nguvu kubwa.Ukiniuliza nithibitishe ukahaba wa kanisa katoliki ninao tele katika ufunuo 13, 14, 17.sura zote hizi zinaelezea mama wa makahaba na machukizo ya nchi. "Wafalme wa dunia wamezini nae" Yaani kanisa hili limefanya mapatano na wafalme wa dunia hii kubadili amri za Mungu.Historia ni mwalimu mzuri, ukifuatilia kwa uaminifu historia inaeleza wazi Roman Catholic Church ndiye kahaba mkuu wa Ufunuo 17:5.
Huyo aliyekabidhiwa ufunguo alikuja kuwa kiongozi wa Kanisa lipi........?ebu tuambie tunakusubiri.Tupa mbali uongo hapa! Kanisa alilosema Yesu si Roman Catholic
Huna ushahidi wa Biblia kuthibitisha hayo usemayo ndio maana unatumia nguvu kubwa.Ukiniuliza nithibitishe ukahaba wa kanisa katoliki ninao tele katika ufunuo 13, 14, 17.sura zote hizi zinaelezea mama wa makahaba na machukizo ya nchi. "Wafalme wa dunia wamezini nae" Yaani kanisa hili limefanya mapatano na wafalme wa dunia hii kubadili amri za Mungu.Historia ni mwalimu mzuri, ukifuatilia kwa uaminifu historia inaeleza wazi Roman Catholic Church ndiye kahaba mkuu wa Ufunuo 17:5.
Ila naamini iko cku mtakuja kuwaelewa Wakotoliki sasa hv ni vgumu sana kuwaelewa....!
Tupa mbali uongo hapa! Kanisa alilosema Yesu si Roman Catholic