MJADALA: Kwanini Padri Luther aliondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia, na kwanini alijiondoa kanisa Katoliki?

Ni upi! Tulikua hatuna tumaini, lakini sasa tuna tumaini la uzima wa milele! MWanzo mwanadamu alipata msamaha Wa dhambi Kwa kutoa dhabihu za wanyama.

Lakini Mungu amemtoa Yesu ili kupitia yeye tupate msamaha Wa dhambi
Na wale waliokuwa wakulima, walitoa dhabiu gani? Au wao hawakusamehewa? Watu mnapenda kuamini myths bila kufikiri.
 
Ndio makosa mnayofanya hayo, YESU SIO MWOMBEZI
Tatizo lenu Wakatoliki hata hamsomi Biblia ila mmekaririshwa hadithi za kutunga. Soma Waebrania 7:25. "Naye aweza kuwaokoa kabisa wao wamwendea Mungu kwa yeye, kwani yu hai siku zote awaombee."
 
Leta hoja sio vioja mama maria she is nobody on this world "mama tuna mini Mimi nawe" alisema yesu karamuni
Alikuwa anatufundisha tusiwaheshimu mama zetu kama tunakuwa na uwezo wowote zaidi??? mama tunanini mimi nawewe?? mama what we share?? mama by the way u aint ma really mama?? mama you aint shit ....mama you are nothing... Ni tafsiri ya kishetani.
Na kwa nini aliendelea kufanya miracle anyway??
Yesu wako aliyemshushua mama yake aliendelea na muujiza kama kawaida disregarding alichosema.
Na kwanini mama alikuwa strong na kutokatishwa tamaa hadi akasema chochote atakachowaambieni fanyeni??

Mama was revealing something nobody else knew (1st miracle) kwamba Jesus can do miracles.......
Jesus was joking to his mother and not disrespecting and was trying to tell his mama (logically) my time to show all this powers to the world isnt ready yet..

Na ya kama Yesu alilenga kumdharau mama yake mbele ya kadamnasi (kwa tafsiri yako nyepesi) basi mafundisho hayo yana ushetani ulio wazi.
 
Tatizo lenu Wakatoliki hata hamsomi Biblia ila mmekaririshwa hadithi za kutunga. Soma Waebrania 7:25. "Naye aweza kuwaokoa kabisa wao wamwendea Mungu kwa yeye, kwani yu hai siku zote awaombee."
Yesu awaombee kwa nani?, unamfahamu Yesu kweli?, badala ya kusamehe yeye ndio akuombee kwa nani?
 
Tatizo lenu Wakatoliki hata hamsomi Biblia ila mmekaririshwa hadithi za kutunga. Soma Waebrania 7:25. "Naye aweza kuwaokoa kabisa wao wamwendea Mungu kwa yeye, kwani yu hai siku zote awaombee."
Yesu ni Mungu, Haya niambie tangu lini Mungu akafanya maombi..? Anamuombea nani...? Mungu anaombea...?

Au hii umetoa kwenye ile biblia yenu inayopinga Utatu Mtakatifu (Polytheisism)...?
 
Yesu awaombee kwa nani?, unamfahamu Yesu kweli?, badala ya kusamehe yeye ndio akuombee kwa nani?
Kwa hiyo unapingana na Biblia inapoosema Yesu ni kuhani wetu mkuu, yu hai siku zote akituombea? Waroma kwa kupotosha Biblia mmekubuhu hata aibu hamna?
 
Kwa hiyo unapingana na Biblia inapoosema Yesu ni kuhani wetu mkuu, yu hai siku zote akituombea? Waroma kwa kupotosha Biblia mmekubuhu hata aibu hamna?

Waroma hawawezi kupotosha wala kubadirisha Biblia kwa lolote, hata Papa hana uwezo huo
Kwa Wakatoliki YESU NI MUNGU
 
Yesu ni Mungu, Haya niambie tangu lini Mungu akafanya maombi..? Anamuombea nani...? Mungu anaombea...?

Au hii umetoa kwenye ile biblia yenu inayopinga Utatu Mtakatifu (Polytheisism)...?
Yesu ni Mwana wa Mungu na ni mmojawapo katika Utatu Mtakatifu.Mungu Baba mwenyewe ndiye aliyempa ukuhani milele.Soma Waebrania 5:5-10. Kama ulikuwa hujui, kazi ya ukuhani ni kufanya upatanisho baina ya Mungu na wanadamu kwa maana ya kuwaombea msamaha wa dhambi. Kazi hii anaifanya Yesu katika hekalu la mbinguni alimoingia baada ya kummshinda shetani kupitia mauti yake,hivyo alilipa deni la dhambi kwa damu yake.Ni yeye pekee anayestahili kuwa mwombezi wetu hakuna kiumbe awaye yote anayestahili isipokuwa Yesu pekee.Waebrania 7:25...."Yu hai siku zote akituombea." Mawakala wa shetani lazima wapotoshe ukweli huu, lengo la shetani ni kupotosha watu wasikubali Neema hii ya bure iliyotolewa na Yesu Mwana Mungu.
 

Unajichanganya, unasema madai yake hayakuwa na msingi wowote na wakati huo huo unakiri alikuwa Great thinker! Iliwezekanaje??
 
Wewe ni mgumu kuelewa umeambiwa lile tendo kwe harusi ya Kana,

Leo nataka nirudi nyuma kidogo hivi pale kichaka kilipo waka moto kikimwambia Mose vua viatu apa ni patakatifu......swali Leo hii enyi wa-protestant mnapoingia kwenye nyumba zenu za kuabudu mnavua viatu.....?kama hapana kwann mnashindwa kuelewa hiki kinachofanywa na Wakotoliki leo,

Guyz Theology its important to you,wale wanafunzi wangemfuata Yesu moja kwa moja kwenye ile harusi ilishindikana nn......?au sasa hvi mnapoingia kwenye nyumba zenu za kuabudu vueni viatu kama Mose wkt kichaka kinawaka moto.

Its real sad leo mnapowabeza watu wanao mheshimu/kuomba msaada wa maombezi kwa mama wa Muokozi na kushabikia mafundisho ya kina Luther,Ellen G White, na wengine

NB:Acheni Katoliki waendelee na utaratibu wao nanyi endeleeni na utaratibu wenu.
 
Katoliki hawakushiriki kwenye mauaji ya mitume/watakatifu....walioshiriki ni wapinga kristo... Au kama kuna ushahidi ebu tujuze.....pengine ni mafundisho ya uongo umepewa tujuwe.
 
Hawa watu ni wagumu sana kuelewa.
 
Kwa hiyo Yesu si Mungu ila ni Mwana wa Mungu...?? Ni jibu hapa



Utatu Mtakatifu maana yake ni nini..?

Madhara ya Clear Word Bible...(Popytheisism)
 
Kazi hii anaifanya Yesu katika hekalu la mbinguni alimoingia baada ya kummshinda shetani kupitia mauti yake,hivyo alilipa deni la dhambi kwa damu yake.N
Ni wapi kwenye andiko kunasemekana Yesu kaingia hekalu la Mbinguni...? Mbinguni kuna hekalu..? Tokea lini...? Haya mafundisho potofu ndio mmeyatoa kwenye manuscript ya Ellena...??

Sasa nimeelewa kwanini mlisema Yesu alipotea njia akaingia patakatifu pa patakatifu....

Hapa patamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…