MJADALA: Kwanini Padri Luther aliondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia, na kwanini alijiondoa kanisa Katoliki?

MJADALA: Kwanini Padri Luther aliondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia, na kwanini alijiondoa kanisa Katoliki?

Neema hii ya bure iliyotolewa na Yesu Mwana Mungu.
Kituko .....Hii ni typically Jehova Witness jinsi wanavyomchukulia Yesu...

Nilivyosoma ile Article ya Biblia ya Kisabato, walikuwa wana jaribu kuua Uungu wa Yesu na kuweka Msisitizo wa Mwana Wa Mungu....

Leo Ukweli nimeupata...Kwa Wasabato Yesu siyo Mungu ila na Mtoto wa Mungu....laana hii

Nakuuliza Kitaja kwa mara ya mwisho..Yesu ni Nani ..?
 
Ni wapi kwenye andiko kunasemekana Yesu kaingia hekalu la Mbinguni...? Mbinguni kuna hekalu..? Tokea lini...? Haya mafundisho potofu ndio mmeyatoa kwenye manuscript ya Ellena...??

Sasa nimeelewa kwanini mlisema Yesu alipotea njia akaingia patakatifu pa patakatifu....

Hapa patamu
Yesu ni Mwana wa Mungu, ni Mungu Mwana katika Utatu Mtakatifu "Trinity" kama ulikuwa hujui ndo uelewe sasa. Kuhusu hekalu la Mbinguni na huduma anayofanya Yesu kwa damu yake mwenyewe, soma sura yote ya Waebrania 9. Natambua ulikuwa hujui ikiwa Yesu ndiye Kuhani wetu mkuu, sio kosa lako, kutokujua sio vibaya na ndio maana Yesu aliwapa wanafunzi wake jukumu la kufundisha ulimwenguni kote,ili watu wote wamjue Yesu na kumfuata.Tatizo ni pale unapofundishwa ukajua lakini bado unaifanya shingo yako kuwa ngumu.
 
ni Mungu Mwana katika Utatu Mtakatifu "Trinity"
Utatu Mtakatifu maana yake ni nini..?

Unaposema ni Mungu mwana Katika Utatu Mtakatifu inamaana kuna Mungu wa Tatu...??

Hebu twende taratibu hapa...hiki ni kitu kipya kwangu..
 
Hoja zake nyingi zilikuwa za msingi sana. Katika karne ya 14 Martin Luther alikuwa church reformer wa keanza na wa muhimu kwa wakati huo Kanisa Katoliki liliondoka kwenye midingi ya kiroho na kuhatamia mifumo ya kisiasa kupitis Roma Empire. Issue ya misamaha ya dhambi na deviation from the bible ilikuwa dhshiri. Hsta Biblia hiyo ys vitabu 72 kanisa liliacha kusoma na kutumia vijitabu vilivyoandikwa na filosofa wa kanisa. Aliyegundus kitabu cha Biblia ni Martin Luther. Sio kweli kwamba Martin Luther alifukuzwa kwa sababu ya kupunguza vitabu bali alisha asi kanisa na alikuwa akitafutwa auawe na dola ya kirumi. Kilichamsaidia ni ulinzi kutoka kwenye dola ya Kijerumani. Kanisa Katoliki limefaidika sana na reformation aliyoleta Martin Luther. Asingekuja Luther kanisa lisingekuwa na sura iliyopo sasa
 
kiukweli umekuwa mkristo usie na faida.
kuabudu miungu na kuvunja amri za Mungu ndiko kunakutesa mpaka umkosoe martini luther.
kajipange upya na hoja zako zenye kukinzana na imani ya ukristo.

Hoja zake nyingi zilikuwa za msingi sana. Katika karne ya 14 Martin Luther alikuwa church reformer wa kwanza na wa muhimu kwa wakati huo Kanisa Katoliki liliondoka kwenye misingi ya kiroho na kuhatamia mifumo ya kisiasa kupitia Roma Empire. Issue ya misamaha ya dhambi na deviation from the bible ilikuwa dhahiri. Hasa Biblia hiyo ya vitabu 72 kanisa liliacha kusoma na kutumia vijitabu vilivyoandikwa na filosofa wa kanisa. Aliyegundua kitabu cha Biblia ni Martin Luther. Sio kweli kwamba Martin Luther alifukuzwa kwa sababu ya kupunguza vitabu bali alisha hasi kanisa na alikuwa akitafutwa auawe na dola ya kirumi. Kilichamsaidia ni ulinzi kutoka kwenye dola ya Kijerumani. Kanisa Katoliki limefaidika sana na reformation aliyoleta Martin Luther. Asingekuja Luther kanisa lisingekuwa na sura iliyopo sasa
 
Yesu ni Mwana wa Mungu, ni Mungu Mwana katika Utatu Mtakatifu "Trinity" kama ulikuwa hujui ndo uelewe sasa. Kuhusu hekalu la Mbinguni na huduma anayofanya Yesu kwa damu yake mwenyewe, soma sura yote ya Waebrania 9. Natambua ulikuwa hujui ikiwa Yesu ndiye Kuhani wetu mkuu, sio kosa lako, kutokujua sio vibaya na ndio maana Yesu aliwapa wanafunzi wake jukumu la kufundisha ulimwenguni kote,ili watu wote wamjue Yesu na kumfuata.Tatizo ni pale unapofundishwa ukajua lakini bado unaifanya shingo yako kuwa ngumu.

1: Sisi watatu ni umoja,
2: Hapo mwanzo alikuwako NENO nae NENO alikuwako kwa Mungu nae NENO ni Mungu
3: Mungu akasema (alitoa NENO) iwe nuru
4: Ibrahimu asijakuwako mimi nipo
5: Mimi ndio Bwana wa Sabato ( ndie mwenye Sheria, ndiye aliyetunga sheria )
6: Adamu na Ava walijificha waliposikia SAUTI (NENO) likipita Bustanini
7: Philipo niko na wewe siku zote unaniambia nikuonyeshe Baba
8: Mitume wanapewa AGANO na Mungu mwenyewe kuwa MTAKACHOKIFUNGIA DUNIANI KITAKUWA KIMEFUNGWA MBINGUNI NA MTAKACHOKIFUNGILIA DUNIANI KITAKUWA KIMEFUNGULIWA MBINGUNI

YEYE SIO WA KUTUOMBEA
YEYE NI WA KUHUKUMU, YEYE NI WA KUSAMEHE, YEYE NI WA KUGUNGA NA YEYE NDIO WA KUFUNGA,

YEYE NDIE ALPHA (MWANZO) na ndio OMEGA (MWISHO)
 
W
Yesu ni Mwana wa Mungu, ni Mungu Mwana katika Utatu Mtakatifu "Trinity" kama ulikuwa hujui ndo uelewe sasa. Kuhusu hekalu la Mbinguni na huduma anayofanya Yesu kwa damu yake mwenyewe, soma sura yote ya Waebrania 9. Natambua ulikuwa hujui ikiwa Yesu ndiye Kuhani wetu mkuu, sio kosa lako, kutokujua sio vibaya na ndio maana Yesu aliwapa wanafunzi wake jukumu la kufundisha ulimwenguni kote,ili watu wote wamjue Yesu na kumfuata.Tatizo ni pale unapofundishwa ukajua lakini bado unaifanya shingo yako kuwa ngumu.

Wewe uhujui utatu mtakatifu
 
Hakuna jibu ulilotoa...Maana mbinguni hakuna Hekalu....

Nipe jibu .Yesu ni nani...?
Unauliza maswali kama mtoto wangu anayejifunza kuongea.Nilishakueleza kuwa Yesu ni Mungu ni nafsi mojawapo katika Utatu Mtakatifu. Yohana 1:1-3 Anamwelezea kuwa ni Neno aliyefanyika mwili akaja kwetu.Huyo neno ni Mungu.
 
Sasa nijibu hapa....

Utatu Mtakatifu ni kitu gani...?

Yesu ni Mungu au si Mungu...?

Tunaposema "Mungu mmoja katika nafsi tatu unaelewa nini...???
 
Otorong'ong'o,
Maskini vijana wa misale ya waumini wana shida.Huko kanisani mnafundishwa nini kama hata hujui Utatu Mtakatifu? Tatizo lenu mnajifanya mnajua wakati hamjui kitu, kwani tangu utoto mmekaririshwa misale na rozari tu.

Nilishasema na narudia Yesu ni Mungu, ndiye Bwana wa Mabwana na Mfalme wa Wafalme, yeye ndiye njia kwenda kwa Baba. Yu hai siku zote na ndiye hutyombea kwa Baba.Maria hana sifa ya kukiombea,alishakufa, amepumzika kama watakatifu wengine akisubiri ufufuo Yesu arudipo mara ya pili ili atupeleke nyumbani kwa Baba Mbinguni.
 
Back
Top Bottom