Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Kituko .....Hii ni typically Jehova Witness jinsi wanavyomchukulia Yesu...Neema hii ya bure iliyotolewa na Yesu Mwana Mungu.
Nilivyosoma ile Article ya Biblia ya Kisabato, walikuwa wana jaribu kuua Uungu wa Yesu na kuweka Msisitizo wa Mwana Wa Mungu....
Leo Ukweli nimeupata...Kwa Wasabato Yesu siyo Mungu ila na Mtoto wa Mungu....laana hii
Nakuuliza Kitaja kwa mara ya mwisho..Yesu ni Nani ..?