Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Kituko .....Hii ni typically Jehova Witness jinsi wanavyomchukulia Yesu...Neema hii ya bure iliyotolewa na Yesu Mwana Mungu.
Mkuu, huyo jamaa hana akili timamu..mimi nilishaacha ku-quote post zake..unapoteza muda...NB:Acheni Katoliki waendelee na utaratibu wao nanyi endeleeni na utaratibu wenu.
Yesu ni Mwana wa Mungu, ni Mungu Mwana katika Utatu Mtakatifu "Trinity" kama ulikuwa hujui ndo uelewe sasa. Kuhusu hekalu la Mbinguni na huduma anayofanya Yesu kwa damu yake mwenyewe, soma sura yote ya Waebrania 9. Natambua ulikuwa hujui ikiwa Yesu ndiye Kuhani wetu mkuu, sio kosa lako, kutokujua sio vibaya na ndio maana Yesu aliwapa wanafunzi wake jukumu la kufundisha ulimwenguni kote,ili watu wote wamjue Yesu na kumfuata.Tatizo ni pale unapofundishwa ukajua lakini bado unaifanya shingo yako kuwa ngumu.Ni wapi kwenye andiko kunasemekana Yesu kaingia hekalu la Mbinguni...? Mbinguni kuna hekalu..? Tokea lini...? Haya mafundisho potofu ndio mmeyatoa kwenye manuscript ya Ellena...??
Sasa nimeelewa kwanini mlisema Yesu alipotea njia akaingia patakatifu pa patakatifu....
Hapa patamu
Utatu Mtakatifu maana yake ni nini..?ni Mungu Mwana katika Utatu Mtakatifu "Trinity"
Kazi ya kuhani ni nini...?Natambua ulikuwa hujui ikiwa Yesu ndiye Kuhani wetu mkuu, sio kosa lako,
Nilishaeleza kazi ya kuhani, rejea post iliyopita.Kazi ya kuhani ni nini...?
Hivyo unakubali Original Canon ya Biblia ilikuwa na vitabu 72....Hsta Biblia hiyo ys vitabu 72 kanisa liliacha kusoma na kutumia vijitabu vilivyoandikwa na filosofa wa kanisa.
Nilishaeleza kazi ya kuhani, rejea post iliyopita.
kiukweli umekuwa mkristo usie na faida.
kuabudu miungu na kuvunja amri za Mungu ndiko kunakutesa mpaka umkosoe martini luther.
kajipange upya na hoja zako zenye kukinzana na imani ya ukristo.
Hoja zake nyingi zilikuwa za msingi sana. Katika karne ya 14 Martin Luther alikuwa church reformer wa kwanza na wa muhimu kwa wakati huo Kanisa Katoliki liliondoka kwenye misingi ya kiroho na kuhatamia mifumo ya kisiasa kupitia Roma Empire. Issue ya misamaha ya dhambi na deviation from the bible ilikuwa dhahiri. Hasa Biblia hiyo ya vitabu 72 kanisa liliacha kusoma na kutumia vijitabu vilivyoandikwa na filosofa wa kanisa. Aliyegundua kitabu cha Biblia ni Martin Luther. Sio kweli kwamba Martin Luther alifukuzwa kwa sababu ya kupunguza vitabu bali alisha hasi kanisa na alikuwa akitafutwa auawe na dola ya kirumi. Kilichamsaidia ni ulinzi kutoka kwenye dola ya Kijerumani. Kanisa Katoliki limefaidika sana na reformation aliyoleta Martin Luther. Asingekuja Luther kanisa lisingekuwa na sura iliyopo sasa
Yesu ni Mwana wa Mungu, ni Mungu Mwana katika Utatu Mtakatifu "Trinity" kama ulikuwa hujui ndo uelewe sasa. Kuhusu hekalu la Mbinguni na huduma anayofanya Yesu kwa damu yake mwenyewe, soma sura yote ya Waebrania 9. Natambua ulikuwa hujui ikiwa Yesu ndiye Kuhani wetu mkuu, sio kosa lako, kutokujua sio vibaya na ndio maana Yesu aliwapa wanafunzi wake jukumu la kufundisha ulimwenguni kote,ili watu wote wamjue Yesu na kumfuata.Tatizo ni pale unapofundishwa ukajua lakini bado unaifanya shingo yako kuwa ngumu.

Unauliza maswali kama mtoto wangu anayejifunza kuongea.Nilishakueleza kuwa Yesu ni Mungu ni nafsi mojawapo katika Utatu Mtakatifu. Yohana 1:1-3 Anamwelezea kuwa ni Neno aliyefanyika mwili akaja kwetu.Huyo neno ni Mungu.Hakuna jibu ulilotoa...Maana mbinguni hakuna Hekalu....
Nipe jibu .Yesu ni nani...?
Hongera unayejua.Na sanamu ya maria inachukua nafasi gani kwenye utatu wenu unaoujua?W
Wewe uhujui utatu mtakatifu
Unauliza maswali kama mtoto wangu anayejifunza kuongea.Nilishakueleza kuwa Yesu ni Mungu ni nafsi mojawapo katika Utatu Mtakatifu. Yohana 1:1-3 Anamwelezea kuwa ni Neno aliyefanyika mwili akaja kwetu.Huyo neno ni Mungu.

Hii ni serious....Usilete mzaha hapa...mimi nachukulia unayoandika hapa ndio mafundisho ya Wasabato..Hongera unayejua.Na sanamu ya maria inachukua nafasi gani kwenye utatu wenu unaoujua?