Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Hiyo Sinod inahusiano gani na Martin Luther kupunguza vitabu...???sinodi ya africa 1990 iliyoandikwa na Karol Luangwa akisaidiana na eusebius
unafikiri wote wanaoapa kwa kusema haki ya Mungu wana sema ukweli siku zote,vivyohivyo kumalizia maombi na jina la Yesu siyo uhalali wa maombi yako kukubalika mbele za Mungu,bali ni sawa na kulipaka tu kaburi kwa nje ndani ni mifupaNdio maana sala zote za kikatoliki mwisho tunamalizia "tunaomba hayo kwa njia ya Kristo Bwana wetu amen"
Sasa hoja yako ipo wapi hapa??unafikiri wote wanaoapa kwa kusema haki ya Mungu wana sema ukweli siku zote,vivyohivyo kumalizia maombi na jina la Yesu siyo uhalali wa maombi yako kukubalika mbele za Mungu,bali ni sawa na kulipaka tu kaburi kwa nje ndani ni mifupa
66Hiyo Sinod inahusiano gani na Martin Luther kupunguza vitabu...???
Kabla martin luther hajapunguza, biblia hiyo unayosema ilikuwa inasomwa na watu wa chache ilikuwa na jumla ya vitabu vingapi..?
umeshindwa kuelewa hoja kwa sababu wewe siyo great thinker umejichanganya tu humuSasa hoja yako ipo wapi hapa??
KWANINI PADRE Luther ALIFUKUZWA KANISA KATOLIKI? NA KWANINI ALIONDOA BAADHI YA VITABU KWENYE BIBLIA AGANO LA KALE?
deogratius Nalimi Kisandu.
1. 1. 2017.
Hahahahahahaha......
Sema Biblia niliyoamua kutumia mimi...biblia tunayotumia ni hii hii wanyotumia wakristo wengine wa kipentekoste
Kiongozi kaa sawa kusoma bible. That lady was trusted by God to handle Jesus. To me she is some one. Why not other women? About her praying for us... That's debatable.Leta hoja sio vioja mama maria she is nobody on this world "mama tuna mini Mimi nawe" alisema yesu karamuni
Hoja siyo kufasiri kutoka Kilatini kwenda kijerumani, hoja ni kwanini alipunguza vitabu 7 vya Agano la kale...??Luther alitafsiri Biblia sio kwa kibiashara bali alihoji kwa nini Neno la Mungu libakie katika lugha wasioielewa watu wengi
wewe ndo hujitambui naona hujui mambo vizuri eti 72/73....... kesho utakuja hapa tena na hoja dhaifu zaidi ya hizi kutuaminisha bibilia inavitabu 80Hahahahahahaha......
Hebu nenda kule jukwaa la celebrity na jokes bana ..
Biblia imekamiliks mwaka 300Ad....ikiwa na jumla ya vitabu 72/73... Sasa hiyo ya vitabu 66 imetokea wapi..?
Hivi unajielewa kweli wewe..?
Toka mwanzo hata mwisho wa dunia biblia itabaki kuwa na vitabu 72/73..,wewe ndo hujitambui naona hujui mambo vizuri eti 72/73....... kesho utakuja hapa tena na hoja dhaifu zaidi ya hizi kutuaminisha bibilia inavitabu 80
Hujaelewa nini kasome Biblia msituchosheNimejaribu kuconnect hoja yako na niliyoyaandika sijapata connection.... Hebu isome tena mkuu halafu ucomment bila kutumia lugha kali bro. Well, kama hujawahi kutenda dhambi ya uasherati au uzinzi, hongera sana mkuu!!! Nadhani moyo wako utasema zaidi ya vidole vyako!!!
Hoja siyo kufasiri kutoka Kilatini kwenda kijerumani, hoja ni kwanini alipunguza vitabu 7 vya Agano la kale...??
Kwanini Complete biblia ya Martin Luther, kabla calvin hajamshauri ilikuwa na vitabu pungufu vya Agano jipya....Yani, kwann aliondoa kitabu cha Yakobo, ufunuo na Waebrania..?
Hoja siyo kufasiri kutoka Kilatini kwenda kijerumani, hoja ni kwanini alipunguza vitabu 7 vya Agano la kale...??
Kwanini Complete biblia ya Martin Luther, kabla calvin hajamshauri ilikuwa na vitabu pungufu vya Agano jipya....Yani, kwann aliondoa kitabu cha Yakobo, ufunuo na Waebrania..?
Kukubalika na kanisa gani..?Luther kwanini Mark na Hebrews vilichelewa kukubalika na Kanisa.