Ni kwl hata mimi siku nkiona andiko linalosema bikra maria yupo hai na anatuombea siku hiyo ntarudi kama hiyo imani ya roma,ninae mjua yuko hai ni Kristo yesu peke yake yuko hai milele na ndo atakaekuja kunyakua kanisa n mtu haendi kwa baba bila kupitia kwake,na ndo muombezi wetu,Swala la kwnn alitumiwa kubeba mimba Roho mtakatifu au Mungu huweza kumtumia yoyote aliemuumba na ndo maana Balaki alipo mwambia mchawi balaamu awalaani wana wa israel,wakati balaamu anaenda kuwalaani wana wa israel alikuwa amepanda punda na siku hiyo Mungu alimtumia huyohuyo punda kutamka maneno kama mwanadamu,kwahyo hatuwez kusema punda ni mtakatifu anafaa kutuombea kisa alitumiwa na Bwana Mungu,Mungu anaweza kumtumia yoyote kwa ajili ya kazi yake maana vyote alivyoviumba viko ndani ya uwezo wake kuvitumia atakavyo,Kwhiyo mariam ni mtakatifu kwa sababu alimbeba mtakatifu na ni mbarikiwa kwa sababu alimbeba katika tumbo lake yule aliekuwa amebarikiwa hata neno linasema hata sisi tutakuwa watakatifu maana alie ndani yetu ni mtakatifu,kwhiyo maryam kumzaa Yesu alitumiwa tu lakini haimpi mamlaka ya yeye kuwa mwombezi wenu!! hana mamlaka hayo na wala hakuna mtume wala nabii ambaye amepewa mamlaka hayo ni kristo peke yake!! Hivi mbona neno liko wazi hizo biblia huwa mnasoma mkiwa timamu kwa kuongozwa na roho mtakatifu kwl?? au tatzo roho mtakatifu wenu huwa anakaa upande wa kulia ndo maana lakini akikaa moyoni mwako neno utalielewa vzuri sana.