Kaka mbona povu sana mpaka unashindwa kuandika vizuri?
Umeshapata copy yako ya Biblia mpya ya Kisabato? Ipakue hapa
Clear Word Exposed
Ni ajabu sana, Katoliki wamekaa na hiyo Biblia kwa zaidi ya miaka 2000 na hawakuthubutu kubadirisha hata nukta moja ya andiko lolote na walikuwa na uwezo wa kufanya hivyo, lakini walikuwa na hofu ya Mungu na katiak ukatoliki hata Papa hawezi ku temper na Bible,
Kaja Luther kaanza kutemper na bible mara sitaki Ufunuo mara Makabayo, mara Jakobo, mara rudisha ufunuo, uzuri wake yeye alikuwa na misingi ya Kikatoliki hivyo alitoa vitabu vizima vizima,
Cha ajabu hawa wasabato ambao hawana hata miaka 200, wameshaanza kuibadirisha Biblia, wanaweka maneno yatakayoendana na mafundisho ya uongo ya nabii wa Uongo Mpinga Kristo bibi Ellen,
Someni hiyo link hapo juu kuona hiyo Bibliamya Kisabato
Cc:
Otorong'ong'o ,
jiwe la majiwe kandere ,
Kitaja ,
Ntuzu