MJADALA: Kwanini Padri Luther aliondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia, na kwanini alijiondoa kanisa Katoliki?

MJADALA: Kwanini Padri Luther aliondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia, na kwanini alijiondoa kanisa Katoliki?

Yaaani majibu yote hayo umetoka kapa! Pitia tena hizo sanamu halafu uniambie mmepata wapi kibali cha kuzisujudia kama ilivyoonyeshwa hapo.Kama huna jibu, nyamaza na uwe tayari kielimishwa.
Mkuu, hujanipa jibu ni wapi imeandikwa tujifanyie picha kwa ajili ya kufundishia....Nipe hilo andiko...Ndio ninachosubiri hapa....

Nipe...
 
Hayo mapicha wanayo weka sii maandiko y biblia wala hayana visibitisho vyovyote vya biblia..ndomaana ninasema haya madhehebu makubwa yanawalaghai watu nakupotosha ukweli.. Ndiomaana ninasema acheni kuamini madhehebu bali muiamini biblia inasema nn
 
Mkuu, hujanipa jibu ni wapi imeandikwa tujifanyie picha kwa ajili ya kufundishia....Nipe hilo andiko...Ndio ninachosubiri hapa....

Nipe...

Kaka huyo mtu ameshakuelewa anakuzungusha tu, Wasababto wanajichanganya tu mafundisho yaliyo kinyume cha Biblia.
Atakusumbua na kukuzungusha tu

amri inakataza Kuziabudia na kuzitumainia hizo Sanamu, uwepo wake kama alama ya kuonyesha mateso, matendo ya viongozi wetu wa kidini halina tatizo lolote
 
Lkn swala la masanamu limeonya sana ndani ya biblia na limesababisha maafa makubwa.kipindikile cha musa watu waliangamizwa hazalani..halafu yesu iliyafanyia malekebisho baazi yamambo km vyakula talaka na mengine mengi lkn swala la sanamu yesu aliliacha kama lilivyo ..alijua kuabudu sanam nikosa kubwa sana
 
Kaka huyo mtu ameshakuelewa anakuzungusha tu, Wasababto wanajichanganya tu mafundisho yaliyo kinyume cha Biblia.
Atakusumbua na kukuzungusha tu

amri inakataza Kuziabudia na kuzitumainia hizo Sanamu, uwepo wake kama alama ya kuonyesha mateso, matendo ya viongozi wetu wa kidini halina tatizo lolote
Na mimi lengo langu la kumuomba andiko ni baada ya kuona huko kwao pia waneweka picha...
 
Naomba tukiwa tunatoa mada tuwe na evidance maana kuna watu tutawajenga au kuwapoteza hivyo naomba tuwe makini,tusitoe mada kishabiki
 
Masanamu yakuchonga yamo makanisani kwenu na biblia inasema wazi katika kitabu cha kutoka usijifanyie sanamu ya kuchonga..haisemi picha mbona mnapindisha lugha
 
Ushaidi wakuwa zile nisanamu tunao mkubwa sana maana picha ukiitupa chini haibomoki lakini zile sanamu zikitupwa chini zinabomoka ...halafu sanamu nikitu cha kuunda au kuchonga hakipishani na vinyago.. Lkn picha sii kitu cha kuunda wala kichonga ebu kuweni wakweli.. Nahoja yangu haikua sanamu. hoja yangu ilikuwa kwann wafu wawaombee walio hai. Mm nilitalajia kuwa mtaleta majibu ya kimaandiko hata ya vitabu mnavyo lalamikia kuwa vilipungu..mlete maandiko hatakutokea huko lkn mmekoswa..
 
Masanamu yakuchonga yamo makanisani kwenu na biblia inasema wazi katika kitabu cha kutoka usijifanyie sanamu ya kuchonga..haisemi picha mbona mnapindisha lugha
Hao ni sikio la kufa, wanachojua wao ni kupotosha ukweli hata ambapo kila mtu anaona.
 
Kaka mbona povu sana mpaka unashindwa kuandika vizuri?

Umeshapata copy yako ya Biblia mpya ya Kisabato? Ipakue hapa

Clear Word Exposed

Ni ajabu sana, Katoliki wamekaa na hiyo Biblia kwa zaidi ya miaka 2000 na hawakuthubutu kubadirisha hata nukta moja ya andiko lolote na walikuwa na uwezo wa kufanya hivyo, lakini walikuwa na hofu ya Mungu na katiak ukatoliki hata Papa hawezi ku temper na Bible,

Kaja Luther kaanza kutemper na bible mara sitaki Ufunuo mara Makabayo, mara Jakobo, mara rudisha ufunuo, uzuri wake yeye alikuwa na misingi ya Kikatoliki hivyo alitoa vitabu vizima vizima,

Cha ajabu hawa wasabato ambao hawana hata miaka 200, wameshaanza kuibadirisha Biblia, wanaweka maneno yatakayoendana na mafundisho ya uongo ya nabii wa Uongo Mpinga Kristo bibi Ellen,

Someni hiyo link hapo juu kuona hiyo Bibliamya Kisabato

Cc: Otorong'ong'o , jiwe la majiwe kandere , Kitaja , Ntuzu
Mimi hoja yangu ya msingi hapa ni Mwanadamu kumkubali Yesu kristo kama mwokozi Wa maisha Yake, wote tunajua namna dhambi ilivyoingia ulimwenguni

Mara nyingi nasema Yesu ndie amepewa mamlaka mbinguni na duniani ya kusamehe na kuhukumu.

Catholic, au sijui SDA Church na hizo dini za ajabu hazitatupeleka mbinguni.
Atakaeingia mbinguni ni Yule tu atakae mkubali Yesu kama mwokozi, na kumpokea na kumwani na kuzishika amri zake
 
Kwa kuna upendeleo? Kabla ya kuja kwake kulikuwa hakuna ukombozi?
Ni upi! Tulikua hatuna tumaini, lakini sasa tuna tumaini la uzima wa milele! MWanzo mwanadamu alipata msamaha Wa dhambi Kwa kutoa dhabihu za wanyama.

Lakini Mungu amemtoa Yesu ili kupitia yeye tupate msamaha Wa dhambi
 
Sasa wenzetu wa Rc wanamunyangˊanya yesu mamlka ya ukombozi na kumukabizi mariamu na wafu wengine wakisema wawaombee kwa Mungu naku biblia inasema wazi tunae muombezi mmoja tu Yesu ..
 
Hawa watakatifu wakathoric kifupi mm sikubaliani nao kutokana nawanavyo patikana maana juzijuzi hapa Rc iliwahi kupendekeza mwalimu nyerere awe mtakatifu .. Sasa ninajiuliza huu utakatifu wakupeana ndio umushawishi Mungu kusamehe watu zambi zao haiwzekini..jamani hawa wafu mnao waomba waombee kwa Mungu huuniupagani wahazalani.. Mtu mwenye mamlaka yakuwaombea msamaha kwa Mungu ni Yesu kiristo prkeyake.. Hakuna cha Mariamu wa watakatifu
 
Nionyeshe hata andiko moja tu kutoka katika Biblia ulilowahi kutumia tangu mjadala huu uanzishwe hapa. Kama ni mafungu ya ibada ya sanamu yapo tele katika kutoka 20: 4-5. "Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia.
5. Usivisujudie wala kuvitumikia; kwa kuwa mimi, Bwana, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu; nawapatiliza wana maovu ya baba zao, hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao'. Zaburi 115:4-8. "sanamu zao za fedha na dhahabu, kazi ya mikono ya wanadamu...."; Ufunuo 9: 20-21. " Na wanadamu waliosalia, wasiouawa kwa mapigo hayo, hawakuzitubia zile kazi za mikono yao, hata wasiwasujudie mashetani, na sanamu za dhahabu na za fedha na za shaba na za mawe na za miti, zisizoweza kuona wala kusikia wala kuenenda".
Umeona picha ikisemwa hapo? Mafungu yote hayo yanaeleza kuwa sanamu ni nini na adhabu itakayowapata wanaozitengeneza/chonga na kuzisujudia. Hapa zimetajwa kabisa ni sanamu za fedha, dhahabu, shaba, mawe, miti, Hizi ndizo sanamu zinazosemwa upo hapo? na hizo ndizo zimejaa Roman Catholic. Hakuna kichaka cha kujificha, acheni ibada ya sanamu, Mungu amekataza.

Kaka huwa unasoma kwa kurukaruka nini, nimekuwekea hayo maandiko mbona hujasoma?
Efeso 5:5
Kolosai 3:5
 
Hawa watakatifu wakathoric kifupi mm sikubaliani nao kutokana nawanavyo patikana maana juzijuzi hapa Rc iliwahi kupendekeza mwalimu nyerere awe mtakatifu .. Sasa ninajiuliza huu utakatifu wakupeana ndio umushawishi Mungu kusamehe watu zambi zao haiwzekini..jamani hawa wafu mnao waomba waombee kwa Mungu huuniupagani wahazalani.. Mtu mwenye mamlaka yakuwaombea msamaha kwa Mungu ni Yesu kiristo prkeyake.. Hakuna cha Mariamu wa watakatifu

Hivi unavyosema umeokoka huwa unamaanisha nini?
 
Back
Top Bottom